Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) yalaani Mauaji yanayoendelea nchini

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,890
Heshima kwenu wakuu,

Jumuia ya Kikristo nchini Tanzania, wametoa tamko na kulaani mauaji yanayoendelea.

Wamesema walipokea kwa Mshituko habari za Kushambuliwa kwa Tundu Lissu.

Wameongelea mambo mengi sana. Nawawekea hapa Chini Full Text.
IMG_20170915_215958.png
IMG_20170915_220100.png
 
Attachments

  • TAMKO LA CCT-MAUAJI, MASHAMBULIZI NA UTEKAJI.pdf
    2.5 MB · Views: 67
Viongozi wa dini ni watu muhimu sana katika nchi hii. Lakini kitendo cha kukaa kimya kinatufanya tuamini nao ni sehemu ya tatizo kwa kushindwa kukemea uovu
 
Heshima kwenu wakuu,

Jumuia ya Kikristo nchini Tanzania, wametoa tamko na kulaani mauaji yanayoendelea.

Wamesema walipokea kwa Mshituko habari za Kushambuliwa kwa Tundu Lissu.

Wameongelea mambo mengi sana. Nawawekea hapa Chini Full Text.
Labda niulize kwa Nini hawakutoa tamko la mauaji ya askari na raia kibao kibiti hawakuwa waumini wao au? Hivyo hata wakiuawa kwao ilikuwa Sawa tu au ni nini?
 
Tuwaeleweje wachunga kondoo wanapokaa kimya kondoo wao wanaposhambukiwa na simba ama fisi?? Leo ndo wanagundua kuwa kondoo wao wanakwisha, wanateswa na kufanywa kitoweo cha meza kuu???
 
Tuwaeleweje wachunga kondoo wanapokaa kimya kondoo wao wanaposhambukiwa na simba ama fisi?? Leo ndo wanagundua kuwa kondoo wao wanakwisha, wanateswa na kufanywa kitoweo cha meza kuu???
Waliouawa kibiti askari na raia wanawachukulia kama ngedere tu waliokufa mbona hawakutoa tamko? Kuna tatizo waache uvyama. Wabaki viongozi wa dini
 
Hawa jamaa wananikumbusha marehemu Sitta, alivyowadhihaki viongozi wa dini na kuwaambia hawana upako!! Sijui leo yuko wapi?!

Kwa hiyo asingewadhihaki asingekufa?
Kwa hiyo na Askof Laizer wa Arusha nae alikufa kwa kuwa alishiriki kuwanywesha Watu akiwemo Mtukufu Rais Magufuli Mimaji michafu ( Kikombe cha Babu)?
 
Kulaani tu haitoshi , kitendo hichi kikomeshwe kabisa na mamlaka husika
 
Back
Top Bottom