Jumuiya ya Afrika Mashariki zitenge Tanzania na Burundi

Tanzania ni Pillar katika hio unayoita EAC, Halafu unataka mikakati ipi kama Mkuu wa nchi ameshalitambua Janga na kutoa tahadhari ila pia Waziri wa afya ana toa update ya kinachojili, Sasa ivi sehemu ya kushikiria bango ni kuomba Serikalini inunue Testing kits ili tuweze kufanya mass testing ila sio porojo kuwa EAC itu isolate Hiyo hata jumuiya yenyewe haita kuelewa EAC wanatuhitaji zaidi
 
Rafiki nakuhakikishia Corona itakapoisha huko kwingine Tanzania itabakia ni kitovu cha kuzalisha Corona duniani na itapigwa lockdown na mataifa yote, yaani hakuna raia yeyote wa kigeni ataruhusiwa kuingia nchini wala ng'ombe atakaeruhusiwa kutoka Tanzania kwenda nje!
Sipendi approch ya Magu dhidi ya Covid 19 pandemic lakini tusidanganye hamna nchi itamaliza Corona bila dawa au chanjo. Nimeona New zealand wanajidai wameimaliza lakini wape wiki 2 tu.
 
Walisha wahi iunda inaitwa coalition of the willing(CoW) ikiitenga Tanzania na Burundi haikudumu walisambaratishana Uganda na Kenya wakavurugana kugombea kisiwa cha Migingo mpaka majeshi yakawekwa tayari kwa vita.Rwanda na Uganda wakafungiana hadi mipaka na kuwekeana majeshi tayari kwa vita Rwanda ikiiituhumu Uganda kuhifadhi waasi

Tanzania na Burundi tulibaki na uhusiano wetu Nkurunzinza alipotaka kupinduliwa na waasi Wa Rwanda Tanzania tukamrudisha madarakani kwa nguvu yuko hadi Leo anadunda sasa hivi hakuna Wa kuitoa Tanzania na Burundi jumuiya ya Afrika mashariki sababu wao wenyewe hawaivi kivile
We don't care wafanye lolote
Nkurunziza aendelee kuing'ang'ania Tz la sivyo siku akijifanya kukengeuka tu ajue atajikuta porini tena.

Nchi yenye total budget isiyozidi $500mil per year huku ikiwa na FDI ya $200,000 sijui hata ina faida gani kwa Tz.
 
Kuwa mzalendo,ipende nchi yako. Uongozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania umefanya maamuzi ambayo ni sahihi kulingana na hali halisi ya taarifa walizonazo na si kwa kufuata mkumbo! Na kama ww kweli ni Mtanzania,unatakiwa uitakie mema nchi yako katika hali yoyote!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huelewi impact ya Tz kwenye EAC ndo maana unaleta porojo...Muulize Kenyatta ni nini kilichomfanya afunge safari hadi chattle...Wewe EAC umeijulia jf halafu unaanzisha mada zilizokuzidi umri..,Nenda jukwaa lako la MMU huko hapa hapakufai.

Mnapata faida gani kutetea ujinga ingali mnaangamia?
Yani hapa unaijiona basi umetumia akili na screenshot umemtumia anayewaagiza mitandaoni.

Yani kujifanya wajuaji wa kila kitu enyi wapumbavu wa kuimba mapambio mwisho wenu utakuwa mbaya sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Walisha wahi iunda inaitwa coalition of the willing(CoW) ikiitenga Tanzania na Burundi haikudumu walisambaratishana Uganda na Kenya wakavurugana kugombea kisiwa cha Migingo mpaka majeshi yakawekwa tayari kwa vita.Rwanda na Uganda wakafungiana hadi mipaka na kuwekeana majeshi tayari kwa vita Rwanda ikiiituhumu Uganda kuhifadhi waasi

Tanzania na Burundi tulibaki na uhusiano wetu Nkurunzinza alipotaka kupinduliwa na waasi Wa Rwanda Tanzania tukamrudisha madarakani kwa nguvu yuko hadi Leo anadunda sasa hivi hakuna Wa kuitoa Tanzania na Burundi jumuiya ya Afrika mashariki sababu wao wenyewe hawaivi kivile
We don't care wafanye lolote

Kituko hiki, ni serikali ya awamu ipi hiyo iliyomrudisha nkurunzinza madarakani?
Hiyo kamati iliongozwa na nani ya kumrudisha madarakani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnapata faida gani kutetea ujinga ingali mnaangia?
Yani hapa unaijiona basi umetumia akili na screenshot umemtumia anayewaagiza mitandaoni.

Yani kujifanya wajuaji wa kila kitu enyi wapumbavu wa kuimba mapambio mwisho wenu utakuwa mbaya sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Natumwa na nani si maoni yangu hayo au ulitaka yafanane na yako
 
Mkiambiwa kuhusu serikali kuchukua hatua akili yenu inakimbilia kwenye lockdown tu kutafuta weak points za kuwatetea wanaowatuma mitandaoni.

Macho na masikio yenu hayataki kuona wala kusikia uzembe unaofanywa na wanaowatuma.

Hamuoni kabisa jinsi ambavyo ushauri wa madaktari unavyopuuzwa waziwazi.

Hamuoni kabisa jinsi tangu mwanzo viongozi wameweka kipaombele kwenye uchumi na kupuuza kuhusu ugonjwa. Wote mlimsikia msemaji wenu akisema tangu awali hatufungi mipaka ili tusikose fedha za utalii, ziko wapi sasa hizo za utalii,

leo mnahimiza watu wachape kazi bila kuweka utaratibu mzuri wa wao kufanya kazi bila msongamano kupunguza ueneaji wa virus.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwañ braza mimi nina bifu na wewe? Sikuelewi hata ulipotokea,where are you from?

Mtu anaweka hoja mezani ijadiliwe mnamjibu yeye ni wa ngono hiyo ni akili au upumbavu?
Unapata wapi mamlaka ya kumwambia mtu kuwa hoja aliyoleta hailingani na yeye? Wewe ndio unamamlaka ya kupanga aongelee hoja gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni wakati mwafaka sasa Jumuiya ya Afrika Mashariki mkajitenge na hizi nchi,serikali zao zipo kimaslahi zaidi kuliko maisha ya watu,kule wanawaza uchaguzi ,huku wanawaza mapato
Umeishiwa pumzi tu
Kuitenga Tanzania ni sawa na kujiwekea vikwazo vya uchumi tu
 
Kituko hiki, ni serikali ya awamu ipi hiyo iliyomrudisha nkurunzinza madarakani?
Hiyo kamati iliongozwa na nani ya kumrudisha madarakani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Serikali.ya awamu ya tano ya kikwete Nkurunzinza alibebwa hadi kigoma akaingizwa burundi kupitia jimbo la Ngozi burundi alikozaliwa akasindikizwa na kikosi Cha wanaume wa kitanxania wababe Hadi bujumbura ikulu mission accomplished waasi wakaingia gizani
 
Back
Top Bottom