Jumuia ya UDSM mmeipokea vipi kauli ya Kabudi kama ametokea "JALALANI?"

Tafsiri ya kuokotwa jalalani,hahika nakuambia,ukitafsiri kwa tafsiri ya kawaida,kweli kakikosea sana chuo.
Ila ukija kutafsiri vile yeye alimaanisha ni ngumu mno kumkuta na hatia.
Narudia tena,anaweza akawa na makosa kwa lugha hiyo,ila lugha ya kiswahili ukiitambua vema inakupa mawanda mapana ya kuitumia.
 
Kumbe ukistaafu unakuwa upo JALALANI?? Duh bado tunasafari ndefu hivi hicho kichwa chako kipo sawa?? Ukistaafu unakuwa huna mchango wowote kwa Taifa? Tena kwa ngazi ya uprofesar?
Brother, that was a figure of speech and nothing else.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom