Jump TV with TZ TV Stations?

Naona wameziondoa. Au ilikuwa trailer tu wakitaka kutuvuta ili baadaye tulipie huduma?
 
He he wameona watu wanazidi nini?

Mods tafadhali peleka hii inakotakiwa kuwa. Ahsante.
 
Sisi wenzenu tunalipia siku nyingi, kumbe ninyi mlikuwa mnapata bure..lol

Haya sasa time to pay..!!
 
Back
Top Bottom