Jumbe ndiyo lilikuwa Chaguo la Nyerere kurithi urais wa Tanzania

hivi mwalimu alijua hatokufa? Kwa nini alituacha na matatizo haya ya makundi ndani ya hii ccm yake...kama kweli ni baba wa taifa angeivunja ccm ziwe mbili, angeshinikiza katiba mpya isiyowapa nguvu hawa mafisadi...tanzania ingekua ya neema...
mwalimu aliwahi kuifagilia chadema kwa sera nzuri,who knows labda angekua na kina lema saa hizi
 
Back
Top Bottom