Jumba linauzwa

Kitomai

JF-Expert Member
May 21, 2009
1,060
281
Lipo Kimara Temboni. Ni jumba la kisasa. Lina Urefu futi 66 upana futi 44.
Lina vuymba vitatu vya kulala(kimojawapo kikiwa masta-chumba ni kikubwa), 1 study room, dinning room kubwa, sebure kubwa. Lipo katika kiwanja kinja chenye ukubwa wa sqm 2125, kina Hati Miliki isiyo na mawaa. Uwanja uliobaki unatosha kufanya maendeleo ya ujenzi wa nyumba ndogo ndogo ambazo ukizipangisha unaweza kujipatia shs 2mil kwa mwezi. Lipo umbali wa robo tatu kilomita kutoka bara bara kuu. Ipo katika uzio. Maji yanapatikana kwa wingi. Lina eneo la kutosha kuweka bustani ya maua. Umeme wa ruku. Imepakana na nyumba mpya mpya. Barabara ya kuelekea katika hilo jumba inapitika 24/7. Hakika ni jumba ambalo utapenda kutoa mwaliko kwa ndugu, jamaa na marafiki kukutembelea. Bei ya mauzo ni tshs 170mil. Maelewano yapo. Kwa maelezo ya ziada piga simu no. 0717114409/0755312233/0784225000
 
Attachments

  • PIC01889.JPG
    PIC01889.JPG
    176.8 KB · Views: 479
  • PIC01891.JPG
    PIC01891.JPG
    96.3 KB · Views: 400
  • PIC01892.JPG
    PIC01892.JPG
    182.6 KB · Views: 329
  • PIC01893.JPG
    PIC01893.JPG
    191.6 KB · Views: 298
  • PIC01894.JPG
    PIC01894.JPG
    154 KB · Views: 285
  • PIC01895.JPG
    PIC01895.JPG
    86 KB · Views: 289
  • PIC01896.JPG
    PIC01896.JPG
    174.9 KB · Views: 277
  • PIC01897.JPG
    PIC01897.JPG
    58.9 KB · Views: 272
  • PIC01898.JPG
    PIC01898.JPG
    156.4 KB · Views: 260
  • PIC01899.JPG
    PIC01899.JPG
    104.6 KB · Views: 257
  • PIC01900.JPG
    PIC01900.JPG
    108.8 KB · Views: 260
  • PIC01901.JPG
    PIC01901.JPG
    70.5 KB · Views: 302
eeebw umeme wa ruku ndo upi, Richmond nini??. nimelipenda jumba mtu wangu!! sasa wewe ni dalali au?? na hiyo bei ni pamoja na house girl au vitu vilivyomo??
mbona simu zako hazipatikani, kama kweli tsh 90mil tufanye biashara
nijibu soon (berhanwandimu@rocketmail.com)
 
Lipo Kimara Temboni. Ni jumba la kisasa. Lina Urefu mita 66 upana mita 44.
Lina vuymba vitatu vya kulala(kimojawapo kikiwa masta-chumba ni kikubwa), 1 study room, dinning room kubwa, sebure kubwa. Lipo katika kiwanja kinja chenye ukubwa wa sqm 2125, kina Hati Miliki isiyo na mawaa. Uwanja uliobaki unatosha kufanya maendeleo ya ujenzi wa nyumba ndogo ndogo ambazo ukizipangisha unaweza kujipatia shs 2mil kwa mwezi. Lipo umbali wa robo tatu kilomita kutoka bara bara kuu. Ipo katika uzio. Maji yanapatikana kwa wingi. Lina eneo la kutosha kuweka bustani ya maua. Umeme wa ruku. Imepakana na nyumba mpya mpya. Barabara ya kuelekea katika hilo jumba inapitika 24/7. Hakika ni jumba ambalo utapenda kutoa mwaliko kwa ndugu, jamaa na marafiki kukutembelea. Bei ya mauzo ni tshs 170mil. Maelewano yapo. Kwa maelezo ya ziada piga simu no. 0717114409/0755312233/0784225000
Ole kama utakyenunua hilo jumba ni mnyakyusa au Msukuma kijiji kizima kitahamia hapo hadi itakuwa kero,kwa kuwabana mimi nina vyumba viwili vya kula changu na cha mwanangu na kasebule kadogoo kamejaa viti hakuna hata nafasi ya kufagia,yote hiyo kukwepa karaha ya kuwa na wageni wakazi
 
Wasukuma na wanyukyusa ndio wanazaana kama panya?
au ndio huwa wanatabia za kutegemea sana mali za ndugu?
 
.. Lina Urefu mita 66 upana mita 44.
Lina vuymba vitatu vya kulala(kimojawapo kikiwa masta-chumba ni kikubwa), 1 ... Lipo katika kiwanja kinja chenye ukubwa wa sqm 2125
Dimensions not realistic.....a house with 66x44 square metres? Common, i think you meant feet not metres?
BTW: 44x66=2904>2125
 
Dimensions not realistic.....a house with 66x44 square metres? Common, i think you meant feet not metres?
BTW: 44x66=2904>2125

kwa vipimo alivyotoa ina maana nyumba nikubwa kuliko kiwanja yaani 66x44=sqm2904, na ni karibia sawa na kiwanja cha mpira
 
Dimensions not realistic.....a house with 66x44 square metres? Common, i think you meant feet not metres?
BTW: 44x66=2904>2125

aisee mita 66 ni zaidi ya nusu ya uwanja wa mpira, sasa hiyo itakuwa nyumba au godown
 
Kaazi kweli kweli. Mil 170?? Kipato changu kwa mwaka mil 4. Hizi si kufuru wajameni? Unajua Nyerere aliona mbali sana kuzuia matabaka ktk jamii. Yaani mtu mmoja na nyumba ya mil 200 wakati mwingine bajeti yake ya siku ni Sh 500 chumba anachoishi hata hema ya mkimbizi wa Burundi ina nafuu. Wapi tunaelekea wajameni?
 
Lipo Kimara Temboni. Ni jumba la kisasa. Lina Urefu mita 66 upana mita 44.

Bei ya mauzo ni tshs 170mil. Maelewano yapo.

Jamani hili ni jukwaa la matangazo madogo madogo.
Sidhan kama tangazo lako la bidhaa ya mil. 170 linafiti kuwa nitangazo dogo dogo.

Asan10
 
Kwa mafisadi hiyo sio hela,napiga hesabu ya kubeba box lakini bado inakuwa ngumu,au sijui nikamuone Manu Adebayo anifanyie fast track bana
 
Safi best ila nadhani hilo tangazo hapa sio mahali pake manake tumezoea mwisho milioni 10 sasa hiyo bei nadhani ni ya marichmond ndo wapelekewe!
 
Why jumba linauzwa bana, hofu kuu huko kimara temboni sikia ujambawazi kibao huko, hakuna maji,....mvua ikinyesha tope kali barabara hazipitiki.nk.......

.......naona bonde la chumba kweli lakini but why bed room kitanda kama ipo futi 2X3, mashka ya mchina vile.... jamaa ameshindwa kulitumia kisawa sawa au mambo ya kukwepa EPA kama si shughuli ya mirathi au FINCA/ PRIDE yamelishukia jumba?....
 
Mfianchi uko right,bila ya ufisadi huwezi kupata millioni 170 kiurahisi.hata ukae ulaya miaka 50!
Bongo uwe katika ufisadi wa hali ya juu
 
Mfianchi uko right,bila ya ufisadi huwezi kupata millioni 170 kiurahisi.hata ukae ulaya miaka 50!
Bongo uwe katika ufisadi wa hali ya juu
Mkuu siyo vyema kuwa na mawazo kama haya kila wakati. Watu tunatofautiana tena sana tu. Kila mtu na nafasi yake, sasa ukisema hivyo jamaa akakuonyesha akaunti yake inayoingia mshahara tu hakuna kinachotoka pembeni na anazo zaidi ya hizo utajiteteaje? Isiwe mazowea kila tukimwona mtu kafanikiwa basi tukimbilie kumwita fisadi. Zipo International Organizations zinalipa vizuri sana na kama mtu anauzoefu wa miaka mingi na hana makuu anaweza kuwa na hiyo pesa bila wasiwasi kabisaa!
 
kweli kabisa
 
Bongo nyumba bei sio mbaya sana, hilo lidude lote 170 tu? Lakini sijui kuhusu location hiyo.
 
Bei ya mauzo ni tshs 170mil. Maelewano yapo. Kwa maelezo ya ziada piga simu [/B]
Jamani naomba tusome instructions, tumekwishasema hii ni sehemu ya matangazo madogomadogo sasa kama mwenzetu m170 za kitanzania ni tangazo dogo basi kazi ipo. Labda kama m170 ni za Zimbabwe basi tunaweza ongea!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom