Jumba la Kifahari la Askofu Kakobe

Hawajalazimishwa ila waumini wengi wamekuwa brainwashed..Mimi najielewa na siwezi kwenda kusali kwa hawa watu na kama ni sadaka basi nitampa asiyejiweza.

Eti mpe Mungu sadaka ili uendelee kufanikiwa,then wao wanaenda kutumia sadaka hizo kwenye ishu personal na sio hata za kukuza kanisa.

Hilo soma la sadaka inabidi liwekwe wazi sasa,kuwa tunatoa sadaka ili mtumishi aweze kuishi.
Kumbe hilo somo wewe unalijua hivyo?
Kama unalijua hivyo basi umepotea.

Kama jinsi wewe unavyoguswa sehemu ya wahitaji ,unavyotoa sadaka kwa wasiojiweza vivyohivyo mtu mwingine anaguswa sehemu nyingine kutoa sadaka yake..
Kwahiyo usitake kupangia mtu mahala pa kutoa sadaka..na usiseme mtu hajitambui kwa kutoa sadaka huko.
Una uhakika umeongea na Mungu akakuambia hao watu wako brainwashed??labda Roho wa Mungu amekuonyesha mwenzetu.
Pale juu nimesema mimi nawajua watu wanasali huko na ni matajiri..kanisani kuna kila aina ya watu.

Mwisho nikwambie umasikini siyo sifa na ukiona una mawazo ya kutaka kila mtu aishi kimasikini basi jua una shida sehemu.
Mungu alikuumba ili utawale

Tuanze kwanza na somo la sadaka,inaonyesha haulijui.
Unatia porojo tu,inabidi tuende kwenye Biblia Sasa.
 
Mungu hakukuumba uishi kinyonge.
Mungu alikuumba utawale dunia na vyote vilivyomo..hiyo ya kuishi kinyonge ni yako wewe.

Yesu ni Mungu,dunia na vyote vilivyomo ni Mali Yake.

Unaweza ishi masikini duniani na Mbinguni ukaenda.
Unaweza ishi kitajiri dunia na Mbinguni ukaenda.
Pia unaweza ishi kimasikini duniani na Mbinguni usiende..unaweza uishi kitajiri na mbingu usiione.

Acheni mawazo hasi,umasikini siyo sifa.
Cheki huyu kondooo,
 
Yeye maisha mazuri alafu fungisha ndoa watu za mateso wanachukuana kwa dalala na miguu.
 
Hahaha... Mimi nataka nijifunze kutoka kwako ndugu, maana sijahudhurua mikusanyiko ya ibada kwa muda sasa.
Mi kinachoniboa mikusanyiko ya kidini kila sku ni michango ya sadaka tuuu, hata neno la maana hamna , na sadaka zenyewe Bora ingekuwa zinaenda hata kwenye mahubir watu wamjue Mungu , ni michango ya vikao vya wachungaji wapeane posho , mara nyumba ya mchungaji , mara sjui idara ya Wana wa kike yaan usanii sanii mtupu..... Viongozi wa kidini wengi washakuwa wanasiasa ..... swaga za kifarisayo Sana , .....mi bhana madam biblia ipo inatosha kabisa , sa hv nitatoa hela yangu kama kuna mtu anahtaji kwenda kuhubiri na sio kumnunulia gari mtu
 
Kumbe hilo somo wewe unalijua hivyo?
Kama unalijua hivyo basi umepotea.

Kama jinsi wewe unavyoguswa sehemu ya wahitaji ,unavyotoa sadaka kwa wasiojiweza vivyohivyo mtu mwingine anaguswa sehemu nyingine kutoa sadaka yake..
Kwahiyo usitake kupangia mtu mahala pa kutoa sadaka..na usiseme mtu hajitambui kwa kutoa sadaka huko.
Una uhakika umeongea na Mungu akakuambia hao watu wako brainwashed??labda Roho wa Mungu amekuonyesha mwenzetu.
Pale juu nimesema mimi nawajua watu wanasali huko na ni matajiri..kanisani kuna kila aina ya watu.

Mwisho nikwambie umasikini siyo sifa na ukiona una mawazo ya kutaka kila mtu aishi kimasikini basi jua una shida sehemu.
Mungu alikuumba ili utawale

Tuanze kwanza na somo la sadaka,inaonyesha haulijui.
Unatia porojo tu,inabidi tuende kwenye Biblia Sasa.
We dada nimekupenda bure! ebu kunywa Pepsi big apo ukimaliza lipia, afu sepa You have spoken it all..

Sema watu wanajisahau Sana!
Hawajui kuwa siku ya mwisho tutatolea hesabu kila neno litokalo katika vinywa vyetu..
 
Back
Top Bottom