Jumba la Kifahari la Askofu Kakobe

Hiyo nyumba ni ya kifahali sana...ukijaribu kupita usiku utaona hadi madhari ya kifahali ya ndani. Ipo pale mbezi chini raibow junction ya kupandisha kuja tangi bovu kulia...imesimama hatari
Nitaenda kuiona mkuu ,njia ya shoppers plaza Mbezi beach chini?
 
huyu si ndio yule alisema anakunywa chai ya dhahabu sio kama maafisa wa serikali wanaokunywa chai ya mufindi!? hakuishia hapo akasema anaweza kuikopesha serikali......... so hamna cha ajabu hapo
 
Hayo ndiyo maisha

Sent from my TECNO W2 using JamiiForums mobile app

 
Hii nyumba mbona kuna interview moja hivi niliiona YouTube ambayo ilionyesha kuwa ni kanisa ndio liliamua kumjengea kama zawadi baada ya kulitumikia kanisa kama kiongozi wao kwa muda mrefu
Sasa wewe ulitaka aseme kajenga yeye ili walimwengu au mamlaka ziaanze kumhoji pesa katoa wapi ?
 
Ni nzuri na Inamfaa Sana kwa Hadhi yake ya Mhubiri wa Kimataifa...Angalau hata akipata wageni wa Kimataifa ana pa kuwapokea.
Una mapepo ya upumbavu wewe.
Si huyu Kakobe aliyewapora mikufu ya dhahabu waumini akiwaambia kuwa dunia ni mapito hivyo wazipambe roho zao na si miili?
Si huyu Kakobe anayewadhalilisha vijana wanaofunga ndoa kanisani kwake kwakuto kuwafanyia hata tafrija akidai ndoa ni jambo la kiroho.
Ni vyema na yeye angeishi maisha ya kifukara kama kielelezo kuwa yuko safarini na dunia ni mapito.
Kwani wakija wageni wa kimataifa wakipelekwa guest house vipi?
 
Back
Top Bottom