Mtini
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 1,491
- 2,355
Ni kama vile kumeibuka sintofahamu kwa wazazi wanaosomesha watoto wao shule binafsi hadi sasa hawaelewi ni kiwango gani cha ada wanatakiwa kulipa.
Siku mbili zilizopita nilijaribu kuzungumza na mzazi mmoja anayesomesha wanae shule za private anashangaa anatakiwa kulipa kiasi gani kwani shule zimenyamaza kama vile zinawatega wazazi wajiongeze wao wenyewe.
Napenda kuiomba serikali kuweka wazi jambo hili ili wananchi tuelewe

Last edited by a moderator: