...Jumatatu Natoa talaka kwa Mke wangu....Yamenishinda

kweli nimeamini mwanamke mpumbavu hubomoa nyumba yake kwa mikono yake miwili
pole sana ngoswe
ila naona ulivoamua ni sawa
kwanini mtu akuchose bwana,kwanini mtu akunyime raha bila sababu,kwanini????????
maisha yako yapo mikononi mwako. chagua amani,chagua furaha
anza maisha tena
mpe pole zake huyo mdada
He who marries for love without money has good nights and sorry days.................................

Asante kwa ushauri wako bibie, nitazingatia maoni yako.
 
bado hujampiga talaka au unamuogopa? Ukicheza atakupiga wewe talaka.
 
UPDATES a.k. a Feedback about Talaka

Wapendwa Wana MMU nawashukuru sana kwa ushauri mbali mbali mlionipatia juu ya sred yangu hii iliyokuwa inahusu kutaka kumtaliki mke wangu mpenzi. Japokuwa michango iliyokuwa mingi ilikua bias kuegemea upande mmoja huku ikiambatana na lugha kali zingine zisizoweza vumilika binafsi niliona ni busara kupokea yote hayo kama changamoto ili kuweza kupata suluhu ya huu mgogoro na huyu mke wangu.

Kifupi ni kuwa hadi muda huu bibie bado sijamkabidhi talaka yake na wala sijamtakia kuhusu hilo jambo. Nimezidi kuwa mvumilivu juu ya hiyo hali yake ya kuninunia hadi hii leo. Kwa kuwa wengi mmesema mimi ndio mkorofi nimelipokea hilo lakini naomba mtambue kuwa mimi sipo hivyo mnifikiriavyo, na pamoja na hayo yote afanyayo juu yangu lakini ndani ya moyo wake anatambua thamani ya upendo wangu kwake.

Nimefuta wazo la kumpa talaka toka nipate ushauri wenu hasa juu usumbufu wa malezi ambao ataupata mtoto wetu mpendwa lakini jana nikiwa kazini saa 4 asubuhi I was so surprised nilipopata sms kutoka kwa mke wangu akiniambia kuwa yeye anataka akaishi peke yake kwa sasa hivyo nimpe muda ajipange, atakapokuwa tayari ataniambia. Sijamuelewa kwanini aseme hivyo au ni kosa gani hasa aliloona nimefanya.

KUVUNJA UKIMYA:

Leo nilikaa nae na kuweza kumuuliza kwa upole na utaratibu huku nikimuuliza kama kuna jambo lolote lile linalomsibu hadi kufikia hatua ya kununa kwa muda wote huu bila kuzungumza nami(akiondoa salamu tu ..ambayo mimi ndio huanzisha hiyo salamu). Wapendwa wana MMU huwezi amini...kwa kujiamini kabisa ameniambia yeye hana tatizo lolote na huo mnuno wake kwangu ni kwa sababu yupo busy na mambo yake. Kwa hilo jibu nikawa hoi na hata baada ya kumbembeleza awe muwazi kama kuna jambo namkwaza amesema hapana ila yeye yupo tu busy na mambo yake.

Kuhusu kunitumia msg amesema hiyo niielewe hivyo hivyo ..kuwa anataka akaishi peke yake na kwa sasa anajipanga na atakapokuwa tayari ataniambia. Nikamuuliza usemayo ni sahihi au unatania ...amesema ni sahihi tena kwa asilimia mia tatu....!

HITIMISHO:

Ndoa ni makubaliano ya watu wawili...wapendanao...kama upendo hakuna ...that means hakuna ndoa....ila ni maigizo tu ya ndoa. Kwa kuzingatia ushauri wenu juu ya matunzo ya mtoto nitajitahidi kwa hali na mali kuhakikisha nampatia malenzi/matunzo stahiki. Atakapokuwa tayari na kunipa taarifa kuwa sasa anaondoka hapo ndio maisha yangu ya ubachelor yataanza rasmi.

NB: Sina sababu ya kuita wazee au wazazi wa pande zote mbili kujadili hili suala kwa sababu ndoa hii ni ya mimi na yeye hivyo kuwaita wazee au wazazi ni kama kulazimisha mahusiano yaendelee na kesho yakitokea mengine tuwaite..tena kusuluhisha...hiyo haitakuwa tena ndoa bali ni maigizo ya ndoa.

Poleni kwa maelezo marefu lakini nia yangu ilikuwa ni kufafanua jambo hili kwa kina hasa baada ya kupata ushauri wenu.

Asanteni sana wana MMU.

@Ngoswe.120

Pole sana mkuu,
Mkeo ameshapata bwana mwingine
ndo maana anakununia hivyo
C kukununia bali anakuona kama uchafu mbele yake
Anakulinganisha na huyo bwanake
Anakuona wewe c chochote
Wala usimsubirie aondoke
Mtimue fasta
kwani cku akiondoka
Atafagia nyumba yote
Na c kwamba anajipanaga aondoke,
Huyo bwanake anaweka mambo sawa
Yakiwa tayari ndo mkeo ataondoka

CHUKUA UAMUZI MAPEMA KABLA HUJAUMIA
 
updates a.k. A feedback about talaka

wapendwa wana mmu nawashukuru sana kwa ushauri mbali mbali mlionipatia juu ya sred yangu hii iliyokuwa inahusu kutaka kumtaliki mke wangu mpenzi. Japokuwa michango iliyokuwa mingi ilikua bias kuegemea upande mmoja huku ikiambatana na lugha kali zingine zisizoweza vumilika binafsi niliona ni busara kupokea yote hayo kama changamoto ili kuweza kupata suluhu ya huu mgogoro na huyu mke wangu.

Kifupi ni kuwa hadi muda huu bibie bado sijamkabidhi talaka yake na wala sijamtakia kuhusu hilo jambo. Nimezidi kuwa mvumilivu juu ya hiyo hali yake ya kuninunia hadi hii leo. Kwa kuwa wengi mmesema mimi ndio mkorofi nimelipokea hilo lakini naomba mtambue kuwa mimi sipo hivyo mnifikiriavyo, na pamoja na hayo yote afanyayo juu yangu lakini ndani ya moyo wake anatambua thamani ya upendo wangu kwake.

Nimefuta wazo la kumpa talaka toka nipate ushauri wenu hasa juu usumbufu wa malezi ambao ataupata mtoto wetu mpendwa lakini jana nikiwa kazini saa 4 asubuhi i was so surprised nilipopata sms kutoka kwa mke wangu akiniambia kuwa yeye anataka akaishi peke yake kwa sasa hivyo nimpe muda ajipange, atakapokuwa tayari ataniambia. Sijamuelewa kwanini aseme hivyo au ni kosa gani hasa aliloona nimefanya.

kuvunja ukimya:

leo nilikaa nae na kuweza kumuuliza kwa upole na utaratibu huku nikimuuliza kama kuna jambo lolote lile linalomsibu hadi kufikia hatua ya kununa kwa muda wote huu bila kuzungumza nami(akiondoa salamu tu ..ambayo mimi ndio huanzisha hiyo salamu). Wapendwa wana mmu huwezi amini...kwa kujiamini kabisa ameniambia yeye hana tatizo lolote na huo mnuno wake kwangu ni kwa sababu yupo busy na mambo yake. Kwa hilo jibu nikawa hoi na hata baada ya kumbembeleza awe muwazi kama kuna jambo namkwaza amesema hapana ila yeye yupo tu busy na mambo yake.

Kuhusu kunitumia msg amesema hiyo niielewe hivyo hivyo ..kuwa anataka akaishi peke yake na kwa sasa anajipanga na atakapokuwa tayari ataniambia. Nikamuuliza usemayo ni sahihi au unatania ...amesema ni sahihi tena kwa asilimia mia tatu....!

hitimisho:

ndoa ni makubaliano ya watu wawili...wapendanao...kama upendo hakuna ...that means hakuna ndoa....ila ni maigizo tu ya ndoa. Kwa kuzingatia ushauri wenu juu ya matunzo ya mtoto nitajitahidi kwa hali na mali kuhakikisha nampatia malenzi/matunzo stahiki. Atakapokuwa tayari na kunipa taarifa kuwa sasa anaondoka hapo ndio maisha yangu ya ubachelor yataanza rasmi.

Nb: Sina sababu ya kuita wazee au wazazi wa pande zote mbili kujadili hili suala kwa sababu ndoa hii ni ya mimi na yeye hivyo kuwaita wazee au wazazi ni kama kulazimisha mahusiano yaendelee na kesho yakitokea mengine tuwaite..tena kusuluhisha...hiyo haitakuwa tena ndoa bali ni maigizo ya ndoa.

Poleni kwa maelezo marefu lakini nia yangu ilikuwa ni kufafanua jambo hili kwa kina hasa baada ya kupata ushauri wenu.

Asanteni sana wana mmu.

@ngoswe.120

pole sana mkuu vitabu vya mungu anasema anachukia kuachanasijui wewe ni muumini wa dini gani lakini najua dini zote zinaamini mungu yupo otherwise uwe mpagani.chukua muda wa kutosha kuchunguza inawezekana kabisa mke wako ana mume wa kiroho (jini) anayeshirikiana nae kindos bila ya wewe kujua ikiwa hivyo mke hupoteza kabiasa hamu ya kuwa na mume wake maana huyo mume ambaye haonekani anakuwa na nguvu za ziada za kumfunga huyo mkeo ili asikupende aone kama uwepo wako ni usumbufu kwake tafuta namna unayoweza kupata ushauri wa viongozi wa dini yako kabla ya kuchukua uamuzi huo mzito na kama utahitaji msaada wangu ni pm nitakupa namba au mahali unapoweza kupata msada wa kiroho unaoweza badilisha kabisa maisha yako ya ndoa yakawa ya amani na upendo.mungu ameweka ndoa ili iwe ya furaha na amani na si ya karaha. Ubarikiwe
 
mimi naona mwache aende zake maana ukmng'ang'ania mwisho wa siku atakuwekea sumu au utakufa kwa mawazo. Huyo bila shaka kapata bwana ndiye ana mzuzua. Mapenzi si kumlazimisha mtu na huwezi penda usipopendwa ni sawa na kufukuza upepo.
Ila nakwambia ipo siku atajutia uamuzi wake kwani malipo ni hapa hapa duniani.
 
Pole sana Ngoswe.120
Kwa hiyo unaanza maisha ya ubachelor jamani
I am very sorry for you maana najua katika hali ya ubinadamu hauwezi kuishi single forever
So kuna Vacancy itatokea kama si leo basi mwaka kesho
:A S embarassed:pole sana hii yote ni mitihani ya maisha na hayo ni mapito ,inawezekana kabisa huyo hakuumwa kwa ajili yako
Mungu akutangulie katika maisha yajayo
 
wanawake wanaohitaji ndoa na wenye kujua thamani ya mume ni wengi! Ila kuwa makini kwenye selection zako, pia uwe mkweli tangia mwanzoni!
 
Nahitaji kujua, NGOSWE.120 leo ni Jumatatu, UMESHATOA TALAKA?

UPDATES a.k. a Feedback about Talaka

Wapendwa Wana MMU nawashukuru sana kwa ushauri mbali mbali mlionipatia juu ya sred yangu hii iliyokuwa inahusu kutaka kumtaliki mke wangu mpenzi. Japokuwa michango iliyokuwa mingi ilikua bias kuegemea upande mmoja huku ikiambatana na lugha kali zingine zisizoweza vumilika binafsi niliona ni busara kupokea yote hayo kama changamoto ili kuweza kupata suluhu ya huu mgogoro na huyu mke wangu.

Kifupi ni kuwa hadi muda huu bibie bado sijamkabidhi talaka yake na wala sijamtakia kuhusu hilo jambo. Nimezidi kuwa mvumilivu juu ya hiyo hali yake ya kuninunia hadi hii leo. Kwa kuwa wengi mmesema mimi ndio mkorofi nimelipokea hilo lakini naomba mtambue kuwa mimi sipo hivyo mnifikiriavyo, na pamoja na hayo yote afanyayo juu yangu lakini ndani ya moyo wake anatambua thamani ya upendo wangu kwake.

Nimefuta wazo la kumpa talaka toka nipate ushauri wenu hasa juu usumbufu wa malezi ambao ataupata mtoto wetu mpendwa lakini jana nikiwa kazini saa 4 asubuhi I was so surprised nilipopata sms kutoka kwa mke wangu akiniambia kuwa yeye anataka akaishi peke yake kwa sasa hivyo nimpe muda ajipange, atakapokuwa tayari ataniambia. Sijamuelewa kwanini aseme hivyo au ni kosa gani hasa aliloona nimefanya.

KUVUNJA UKIMYA:

Leo nilikaa nae na kuweza kumuuliza kwa upole na utaratibu huku nikimuuliza kama kuna jambo lolote lile linalomsibu hadi kufikia hatua ya kununa kwa muda wote huu bila kuzungumza nami(akiondoa salamu tu ..ambayo mimi ndio huanzisha hiyo salamu). Wapendwa wana MMU huwezi amini...kwa kujiamini kabisa ameniambia yeye hana tatizo lolote na huo mnuno wake kwangu ni kwa sababu yupo busy na mambo yake. Kwa hilo jibu nikawa hoi na hata baada ya kumbembeleza awe muwazi kama kuna jambo namkwaza amesema hapana ila yeye yupo tu busy na mambo yake.

Kuhusu kunitumia msg amesema hiyo niielewe hivyo hivyo ..kuwa anataka akaishi peke yake na kwa sasa anajipanga na atakapokuwa tayari ataniambia. Nikamuuliza usemayo ni sahihi au unatania ...amesema ni sahihi tena kwa asilimia mia tatu....!

HITIMISHO:

Ndoa ni makubaliano ya watu wawili...wapendanao...kama upendo hakuna ...that means hakuna ndoa....ila ni maigizo tu ya ndoa. Kwa kuzingatia ushauri wenu juu ya matunzo ya mtoto nitajitahidi kwa hali na mali kuhakikisha nampatia malenzi/matunzo stahiki. Atakapokuwa tayari na kunipa taarifa kuwa sasa anaondoka hapo ndio maisha yangu ya ubachelor yataanza rasmi.

NB: Sina sababu ya kuita wazee au wazazi wa pande zote mbili kujadili hili suala kwa sababu ndoa hii ni ya mimi na yeye hivyo kuwaita wazee au wazazi ni kama kulazimisha mahusiano yaendelee na kesho yakitokea mengine tuwaite..tena kusuluhisha...hiyo haitakuwa tena ndoa bali ni maigizo ya ndoa.

Poleni kwa maelezo marefu lakini nia yangu ilikuwa ni kufafanua jambo hili kwa kina hasa baada ya kupata ushauri wenu.

Asanteni sana wana MMU.

@Ngoswe.120
 
UPDATES a.k. a Feedback about Talaka

Wapendwa Wana MMU nawashukuru sana kwa ushauri mbali mbali mlionipatia juu ya sred yangu hii iliyokuwa inahusu kutaka kumtaliki mke wangu mpenzi. Japokuwa michango iliyokuwa mingi ilikua bias kuegemea upande mmoja huku ikiambatana na lugha kali zingine zisizoweza vumilika binafsi niliona ni busara kupokea yote hayo kama changamoto ili kuweza kupata suluhu ya huu mgogoro na huyu mke wangu.

Kifupi ni kuwa hadi muda huu bibie bado sijamkabidhi talaka yake na wala sijamtakia kuhusu hilo jambo. Nimezidi kuwa mvumilivu juu ya hiyo hali yake ya kuninunia hadi hii leo. Kwa kuwa wengi mmesema mimi ndio mkorofi nimelipokea hilo lakini naomba mtambue kuwa mimi sipo hivyo mnifikiriavyo, na pamoja na hayo yote afanyayo juu yangu lakini ndani ya moyo wake anatambua thamani ya upendo wangu kwake.

Nimefuta wazo la kumpa talaka toka nipate ushauri wenu hasa juu usumbufu wa malezi ambao ataupata mtoto wetu mpendwa lakini jana nikiwa kazini saa 4 asubuhi I was so surprised nilipopata sms kutoka kwa mke wangu akiniambia kuwa yeye anataka akaishi peke yake kwa sasa hivyo nimpe muda ajipange, atakapokuwa tayari ataniambia. Sijamuelewa kwanini aseme hivyo au ni kosa gani hasa aliloona nimefanya.

KUVUNJA UKIMYA:

Leo nilikaa nae na kuweza kumuuliza kwa upole na utaratibu huku nikimuuliza kama kuna jambo lolote lile linalomsibu hadi kufikia hatua ya kununa kwa muda wote huu bila kuzungumza nami(akiondoa salamu tu ..ambayo mimi ndio huanzisha hiyo salamu). Wapendwa wana MMU huwezi amini...kwa kujiamini kabisa ameniambia yeye hana tatizo lolote na huo mnuno wake kwangu ni kwa sababu yupo busy na mambo yake. Kwa hilo jibu nikawa hoi na hata baada ya kumbembeleza awe muwazi kama kuna jambo namkwaza amesema hapana ila yeye yupo tu busy na mambo yake.

Kuhusu kunitumia msg amesema hiyo niielewe hivyo hivyo ..kuwa anataka akaishi peke yake na kwa sasa anajipanga na atakapokuwa tayari ataniambia. Nikamuuliza usemayo ni sahihi au unatania ...amesema ni sahihi tena kwa asilimia mia tatu....!

HITIMISHO:

Ndoa ni makubaliano ya watu wawili...wapendanao...kama upendo hakuna ...that means hakuna ndoa....ila ni maigizo tu ya ndoa. Kwa kuzingatia ushauri wenu juu ya matunzo ya mtoto nitajitahidi kwa hali na mali kuhakikisha nampatia malenzi/matunzo stahiki. Atakapokuwa tayari na kunipa taarifa kuwa sasa anaondoka hapo ndio maisha yangu ya ubachelor yataanza rasmi.

NB: Sina sababu ya kuita wazee au wazazi wa pande zote mbili kujadili hili suala kwa sababu ndoa hii ni ya mimi na yeye hivyo kuwaita wazee au wazazi ni kama kulazimisha mahusiano yaendelee na kesho yakitokea mengine tuwaite..tena kusuluhisha...hiyo haitakuwa tena ndoa bali ni maigizo ya ndoa.

Poleni kwa maelezo marefu lakini nia yangu ilikuwa ni kufafanua jambo hili kwa kina hasa baada ya kupata ushauri wenu.

Asanteni sana wana MMU.

NGOSWE.120

Ushauri wangu waweza kuwa wa Kijinga ila naomba uzingatie haya:

- Ni lazima ushirikishe watu, wazee etc, sio kusuluhisha, ila nikuweka bayana yajulikane, kuna leo na kesho,
- Nina shawishika una issues ambazo si nzuri umemfanyia huyu Bibie, na ni kweli hana mwanaume bali anataka uhuru.
- Hemu ki matendo jaribu kuwa mpole sana sana, pengine ataona mabadiliko abaki.
- Anaweza kurudi huyo, huo uhuru wanaoutakaga unageukaga kuwa kero.

KILA LE KHERI KAKA, waweza ona ni marahisi, ila ni magumu kweli.
 
Ndugu kuna kitu kinaitwa "postpartum depression". Ni hali ya msongo wa mawazo wanayoipata baadhi ya wanawake baada ya kujifungua. Fungua hii link kwa maelezo zaidi Postpartum Depression.
USHAURI: Endelea kuvumilia maana pengine hizi ni changamoto za mda tu, zitapita. Usikate tamaa kirahisi.
 
Mkuu mimi sina tatizo , huwezi amini nimemuhudumia mke wangu wakati akiwa mja mzito hadi watu wanashangaa kwa jinsi nilivyokuwa na muhandle......nikirudi kazini.....jioni tunafanya matembezi/mazoezi sote hadi siku nampeleka hospital kujifungua. baada ya hapo amekuwa akipata huduma zote kama mama mzazi/anayenyonyesha....na kila kitu kinakuwa provided , sasa tatizo langu ni nini/

Labda kama ningekuwa nakunywa pombe na kurudi usiku nyumbani labda hapo angesema nina mwanamke mwingine huko nje....sasa mie hayo yote sina, hivi hizo lawama za kunisemea mimi ni sahihi kweli?

ndio maana nasema ni bora nimuache ili awe na amani huko atakakokuwepo.......and i believe atanikumbuka sana katika siku zote za maisha yake, ila kwa kweli nimechoka yaani mtu unakosa hata akili ya kawaida ya maisha ya kuweza kutambua upendo wa mumeo? yaani haoni wanawake wenzao wanavyofanyiwa na waume zao na yeyejinsi ninavyo-mvalue.....ohhooo my god I tired jamani.

Maybe huyo mwanamke hakukupenda toka moyoni from 1st day alivokuona, kwani huyo mke ulienae alikusumbua Mda mrefu wakati unamtongozaa?

Hlf pia spiritually wachawi wanaweza kuwa chanzo cha kuharibika kwa ndoa yako NGOSWE.120
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom