...Jumatatu Natoa talaka kwa Mke wangu....Yamenishinda

hapa tunakusikiliza wewe tu
angekuja na mkeo labda tungeweza kujua ukweli

lakini tazama hii title ulivyoiweka.....eti breaking news....

ni kama unashangilia na ulikuwa na hamu ya kumuacha

kama huna machungu bali visasi tu....usikute wewe ndo chanzo cha yote...

Mkuu Boss sivyo ndivyo kuwa nashangilia.....lakini ndoa ina raha yake, sasa inapogeuka kuwa shubiri sio ndoa tena mkuu, hivi ungekuwa wewe ukae siku 11 na mkeo bila kuongea na hakuna kitu kibaya ulichokifanya zaidi ya yeye kununa tu je ungejisikiaje, while all the time ur responsible father of the family but she don't care about that, je ungekuwa unafurahi kweli au to be proud na hiyo ndoa jina?
 
tangu nimeolewa sijawahi kuwaza/kufikiria kwamba ndoa ni taasisi isiyofaa.....................
yako haijafaa lakini zipo nyingi tu ambazo zimefaa................
usiwa-poison watu wanaotaka kuingia katika hii taasisi.................
nina uhakika hata wewe utaoa tena........................ soon!
 
Kha! haya yote umeyafanya ukiwa umeyatanguliza maslahi yako wewe kwanza................hukumuangalia yeye wala hata huyo malaika mwanenu......atalelelwa vipi?
Unataka akjifunze kuita baba kwa baba wa kambo?

Mkuu mimi nafikiri hayo yote yakitokea ....its' ok, lakini sitaki kuishi bila amani moyoni, I think it better to follow a word of ur signature rather than maintainig this marriage mkuu.
 
Baada ya miezi miwili au mitatu ndio utajua kama kuna pengo ameacha kwa kutokuwepo kwake au hapana.Nakushauri usubiri kwanza hadi hiyo miezi 3 kufanya uamuzi wa talaka kama alivyosema Boss hapo

Ok, mkuu nitazingatia but we should apart each other for some time.
 
nisaidie kitu kimoja mkuu ngoswe ....nini kilipelekea mkawa kimya wa siku 11...kwa nini isiwe tokea huko nyuma hamuongei....nisaidie hapo tu halafu na mimi nizungumze....
 
As they say absence makes the heart grow fonder, but what this means is that time apart can help you to see the little things you appreciate about each other more clearly than when you are on top of each other everyday.

If you both truly love each other, then time apart will not diminish your love...it may enhance but..there is a downside if a relationship is suffering because one partner does not fully reciprocate the loving feelings of the other, then time apart can also allow them chance to realize that they are happier/can cope without any other person..

So it really depends on what is in your wife's heart, when you both have time to think it should become very clear which way the cookie will crumble..but you really need to sit down and talk things through calmly and honestly together so you can get your wife to be quite honest with her real feelings.
 
Madam habari ndio hiyo hapo, so niende kulala guest 2 month si bora ni-msend kwao mkuu. Umeniacha hoi na signature yako hapo chini ....lol..

acha kuwa self centred,mpe space ya kujirekebisha kwa wewe kulala guest umwache bibie alee mtoto hapo home alee mtoto.
 
Mkuu halafu inavyoonekana you're well determined and looking forward kweli to divorce her..maana hadi kuandika "Expected Bachelor" mmhh...for seconds at least don't be insane...tukimuita na wife naye akaeleza inawezekana tukaona labda the real problem is you and not her..so just think about it..
 
Ni sahihi hayo usemayo mkuu lakini kwa muono wangu na kwa haya yanayonitokea , na mengineyo tunayoyasoma humu jamvini ....ni dhahiri kuwa taasisi ya ndoa ni ngumu sana na yahitaji moyo wa chuma....hata mzee mtambuzi jana alitoa sred ikionyesha ugumu wa ndoa na changamoto zake mkuu....ushauri wako nimeuelewa kaka.

ur too immature jamani! Kwa attitude unayoionesha hapa cpati picha unavyomnyanyasa mkeo. Eti hajachangia kununua chochote, cjui unawataka wengne wasijaribu ndoa...mwe! U nid counceling kwa kweli! Ur psychopathy though u thnk ur fine. Pole yake huyo mwanamke kwa kuolewa na mwanaume ovyo asie na stable mind and emotions! Then ukishamwacha...utafata mwanamke mwingne? ANGALIA UNAENDA SHIMONI MWAYEGO!
 
Mkuu halafu inavyoonekana you're well determined and looking forward kweli to divorce her..maana hadi kuandika "Expected Bachelor" mmhh...for seconds at least don't be insane...tukimuita na wife naye akaeleza inawezekana tukaona labda the real problem is you and not her..so just think about it..
amemchoka tu huyo mkewe, poor her!
na hata mimi nahisi huyu jamaa ana matatizo, ni jambo la busara kumpa mkeo a break........................
 
Haina shida mkuu,umekuwa mvumilivu sana tena sana kwa mkeo,na ikiwezekana endelea kuwa mvumilivu tu kwani ninabahati ya kuwaona watoto wanaolelewa na mzazi tofauti na aliyemzaa,huwa ni tabu sana hususani kwa maendeleo ya kijana husika,umempa mda wa yeye kurudi kwao lakini pia ungemwuliza tatizo lipo wapi mshirikishe upate mawazo toka kwake ili kama wewe ndio tatizo utafute jinzi ya kufuata atakavyo kwa lengo la mtoto kuwa ktk maisha mazuri kama uliyonayo wewe sasa

Ni kweli mwalimu wa mwanamke ni kipofu lakini hii isitufanye tuwe ni watu wa kutoa taraka mda wote hata pale uvumilivu uondokapo,shirikisha familia zote upande wake na wako na ueleze tatizo lililojiri ili kwa busara za wazee na wazazi unaweza kupata mwangaza wa nini ufanye baada ya miezi hiyo kupita

pole kwa matatizo na ndio maana wanasema ndoa ndoano
 
nimesubiri jibu la swali langu naona hunijibu..pengine unawahi nyumbani kuwahi kucheza na mtoto..lakini ngoja nikusaidie...



Binafsi naona wewe mkuu una matatizo....wewe ni mnyanyasaji, msengenyaji na usiyejua kuishi na watu hasa mkeo....kwa kifupi wewe una matatizo..sio bure....
unaposema unampa talaka mkeo (kwanza ndoa ya kiserikali) ni upungufu mkubwa sana ndani ya kichwa chako..kwa hiyo ingekuwa ndoa ya kanisani ungefanya nini?

yawezekana wakati wa wa kipindi chote akiwa mjamzito wewe hukumtendea haki...na huenda una lako jambo ndio maana unakimbia talaka.....katika tarifa yako hii huonyeshi umewashirikisha watu gani zaid ya kuleta malalamiko yako hapa jf siku za nyuma..nje ya hapo sion kama kna watu wengine umewashirika...

jambo lingine ni kwamba katika kichwa chako unawaza nini juu ya huyo mtoto mdogo....malaika yule hajui lolote...lakini unataka kumpa mkeo kwanza takala rejea halafu akirejea tu unampa talaka ya mazima(jumla)....wewe una matatizo..mwanaume mkalimilifu ni yule yule mwenye subira..kumpa ruhusa ya kwenda kwako akapumzike sio mbaya...lakini akirudi unapaswa kuona kama amebadilika au la....wakati unamrudisha kwao wape wazaz/walezi wake sababu za wewe kufanya hivyo......

hebu tumia akili na inawezekana wewe umafika hapo si kwa sababu yako wee ila kwa sababu ya mtu mwingine huyo ndiy anakupa nguvu na ujasiri kuja hapa unaruka ruka na kufurahi kwa breaking news hii.......tumia akili kidogo....wanaposema ninyi ni mwili mmoja ule mwili mmoja huwa hauji siku hiyo mkuu wa wilaya alipowafungisha ndoa...kuufikia mwili mmoja ni safari ndefu na haya ni majaribu ya kukufikisha katika kuufikia mwili mmoja....

tumia akili acha papara zako hapa.....hakika nakuambia SIKITIKO LA MTU huwa lina majibu...hasa sikitiko la hicho kichanga chenu...huyo mtoto mnamtia na kumchubua rohoni bila sababu....chanzo ni wewe baba....hata kama mkeo ana mapungufu pigana kiume kuhakikisha anarudi katika hali yake ya kawaida...fanya juu chini kuhakikisha anakuwa na furaha.....

unaposema kuwa wewe ukirudi nyumbani ndo huwa unacheza na mtoto ina maana mkeo hamuangalii na kumjali mtoto......

maandishi yako hapa yananionyesha tabia yako ilivyo..sina haja ya kujua mpangilio wa vitu vyako, namna unavyolala, unavyoongea na unavyoonekana.....maneno yako hapa yametosha kujua wewe ni wa aina gani.....

Nina uhakika wewe ndiyo chanzo cha mkeo kununa.........mdomo wako hauna PLEASE!!
 
Ukiona Zinduna, ambaro iko nyuma
Wanasema mkataa pema pabaya panamuita
Ndugu, huyo mkeo kisirani na mnunani alianza lini? Ni stress kweli kulea kichanga, nasema tu. Ila mrudishe kwao, huko ulikokuwa ukipumzikia wakati ni mjamzito ukolezee afu uone mtiti wake. Kama huna panapokutia kibri, Mungu akusaidie usipate mwanamke kahaba, ambae ukinyanyua mguu tu wenzio wanatia timu. Kila la kheri baba, pole kwa manyanyaso ya taasisi nyeti.
 
( STOP TO DO THAT)Naomba usitoe hiyo talaka ila nikikuosoma kwa haraka haraka inaonyesha wewe ndiyo unamatatizo..Naomba huwe mkweli kuna jambo lolote uliomkwaza mkeo kipindi hakiwa mjamzito naukamuumiza roho na hata ukujari maumivu yake.Talaka si siluhisho la matatizo yako.Twakwimu zinaonyesha wanaume waliowaacha wake zao na kuwapa talaka pindi wanapooa wanawake wengine uwatenda vibaya kuliko wake zao wa kwanza.

Kaa na mkeo ukiwa na watu wazima wenye hekima zungumza shida ni nini ya tatizo lake na yeye mpe nafasi ya kuzielezea.Ndoa siku zote haziko swari kuna mabonde na mililima..Jitahidi uvuke mlima wako huo.wewe mwanaume pigana mpaka mwisho na uvumilivu ndiyo kipimo cha mapenzi.

Usiache kumwamini Mungu na kuendelea kumuombea mkeo..
 
toka mkeo ajifungue umekua karibu nae?
Nani amemhudumia wakati akijifungua?
Umepata wasaa wa kukaa nae na kujua stress zake na nini kinamsibu?
Unaporudi unasaida malezi ya mtoto?

Unaposema mkeo hajachangia chochote picha ninayopata ni kuwa wewe ni mume mbinafsi, anaposhinda hapo ndani toka asubuhi mpaka jioni, kutunza nyumba, kugua, kupika kukuandaa kwenda kazini sio mchanho? Au kwa vile toka akiwa na mimba ulipanga kumtaliki? Hata ndoa huidhamini ndo maana ukasema mlioana serikalini tu, kwani ya serikali sio ndoa?

Ndoa si lelemama, sio kuvaasuti tie na kukata ndafu, ni committment inayohitaji uvumilivu na kumsoma mkeo.

Mke kajifungua dec, hata miezi mitatu bado, kama alipata stress za baada ya kujifungua?(ma dr wanatusaidia jina kitaalam) umemsaidia kukabiliana nayo?

Mabadiliko ya mwili wake, anaapojitaahidi kurecover na kuwahudumia wewe na mtoto unakua nae bega kwa bega?

Umemuuliza kanuna nini? Mkazungumza na kumaliza tatizo?

Umuhimu wa kuwa wawili hi pale mmoja anapokosea mwingine amrekebishe, na kumuongoza umefanya hivyo

kuonyesha jinsi ulivyo mbinafsi mtoto hata hajatimiza miezi mitatu unataka aende kijijini, hujali atapata huduma sahihi huko,hujali mzazi atapata lishe bora kuzalisha maziwa, chanjo za mtoto na kadhalika......... You simply don't care......
 
USHAURI.

Nawashauri wasio kuwa na ndoa kuishi bila ndoa coz taasisi ya ndoa ni ngumu sana , ni bora kuishi ubachelor kuliko kuoa au kuolewa.

NB: KAMA UNA USHAURI PLEASE KARIBU SANA

ASANTENI WANA MMU.........
Its' me,

The expected bachelor from monday.....Ngoswe.120

Pole sana kwa hayo unayopitia! lakini sample moja haitoshi kutoa conclusion hiyo hapo kwenye red!!!!
 
Kijana kuna kitu kinaitwa post natal depression. Mimi siyo daktari lakini hii inakuja kwa sura tafauti. Jaribu kustahmili mana huyo binti anahitaji muda wa kurudi kwenye hali ya kawaida.

Kama alivyokwambia mchangiaji mmoja kamwone daktari wa kike akupe maelezo zaidi usirukie talaka.

Na huyo mtoto mchanga je?
 
Kijana kuna kitu kinaitwa post natal depression. Mimi siyo daktari lakini hii inakuja kwa sura tafauti. Jaribu kustahmili mana huyo binti anahitaji muda wa kurudi kwenye hali ya kawaida.

Kama alivyokwambia mchangiaji mmoja kamwone daktari wa kike akupe maelezo zaidi usirukie talaka.

Na huyo mtoto mchanga je?

Asante kwa ushauri mzuri , nitalifanyia kazi.
 
Kama huna matatizo si wewe uliyemkosea basi tulia mwangalie mwisho wake kama tayari umeongea nae akakataa. Aseme mwenyewe nataka kwenda kwetu! Unamwambia okey, kama anapenda ndoa yake akiona umemuacha tu afanye anachotaka lakini wewe hauko tayari kumuacha wala humbembelezi tena! Atabadilika, kuna kitu unamiss sijui muoga au una infiliority complex! Iyo nimeelezea kama yeye ndo ana matatizo na ana expectations fulani ambazo hajazipata atachange! Mwanaume unatakiwa uwe na msimamo, unaringa kidogo, unamuonyesha upendo wa kweli, unajishusha sometime ikiwemo kummbembeleza pale unapoona umekosea, ukiwa hivi mwanamke atazunguka na kisirani lakini atajirudi tu!
Usogope saaana kununiana kiasi cha hapo ulipofika japo kwa ushauri si vizuri sqna kuacha ugomvi ndani ya ndoa ukadumu kwa muda mrefu, kwenye bible tunashauriwa tusiache jua likakucha lakini wengi tumeshindwa mradi muyamalize na saingine mnaishia kubembelezana mwisho wa ugomvi mwanaume anayejua kubembeleza unaisha kwenye sita kwa sita piga ua! Mchezo ukiisha marafiki wapya lol. .

Mi mvivu wa kuandika ningependa sana kukushauri zaidi ya hapa ila nashindwa! Msipende sana ugomvi wanandoa kusuluhishwa na watu wa nje jitahidini muyamalize wenyewe! Naongea kwa experience, sijui mkeo kakukwaza kiasi gani and why? Siku hizi jamani nani anataka kukaa mbali na mume sababu ya kujifungua? Watu tunadandiana kabla hata ya arobaini! Ila ugomvi hautabiliki labda ulimboa toka akiwa mjamzito!! Lakini nazani huyo mwanamke hujamuonyesha kuwa you are a man in the house anune acheke we ndo mwisho. Kwa mapenzi lakini! Yani nahisi unamuogopa mpaka unataka ukae mbali nae! Hayo ni maamuzi yetu si wanawake na si nyie!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom