Jumatatu na deposit money be foward japan for first time.. I am scared

shaurimbaya

JF-Expert Member
Oct 3, 2013
1,921
2,000
heshima kwenu brothers and sisters

Jumatatu nawawekea hela wajapan.be foward kwa mara ya kwanza kulipia gari yangu ya kwanza maishani. wamenitumia profoma invoice wakitaka hela zitumwe through telegraphic transfer maarufu kama TT ili wanitumie gari niliolichagua..

to be honest I am scared kuibiwa pesa zangu nilizozitoa kwenye kibubu. kama kuna mtu ana chochote cha kunishauri plz nishauri...

hawa jamaa account zao za invoice ni.za kweli na mliowahi kuaigiza gari kampuni hiyo naomba mnishauri plz..

pay trade nasikia hairuhusiwi nowdays..
 
MANI

Platinum Member
Feb 22, 2010
7,289

Hilo gari ulilipata kwenye web site yao ? Kama unawasiwasi ingia tradecarview kuna wauzaji wengi utalipa na pay trade kama dollar 200 ambapo muuzaji hapewi pesa mpaka apeleke ushahidi wa kusafirisha gari ie copy of bill of lading.
 
isotope

JF-Expert Member
Apr 4, 2012
2,392
0
heshima kwenu brothers and sisters

Jumatatu nawawekea hela wajapan.be foward kwa mara ya kwanza kulipia gari yangu ya kwanza maishani. wamenitumia profoma invoice wakitaka hela zitumwe through telegraphic transfer maarufu kama TT ili wanitumie gari niliolichagua..

to be honest I am scared kuibiwa pesa zangu nilizozitoa kwenye kibubu. kama kuna mtu ana chochote cha kunishauri plz nishauri...

hawa jamaa account zao za invoice ni.za kweli na mliowahi kuaigiza gari kampuni hiyo naomba mnishauri plz..

pay trade nasikia hairuhusiwi nowdays..
Gari utapata ucjali, inaweza kwenda mpaka miezi miwili ila watakutumia. Tena wana system nzuri tu ya kum-update mteja. Tatizo lao ni ubora, magari yao bei nafuu ila pia mengi yachoka.
 
Easymutant

R I P
Jun 3, 2010
2,573
2,000
Wako poa tu ila gari zao nyingi ziko chekest usishangae ukilitoa break ya kwanza unalipumzisha garage....
 
g4cool

JF-Expert Member
Oct 18, 2012
415
250
Ila kuna taarifa kuwa kuwa watu walihack mtandao wa befoward, i think ni kama wiki 2 zimepita, hivyo kuwa makini tu
 
Usedcountrynewpipo

JF-Expert Member
Aug 1, 2012
3,658
2,000
Hwa jamaa wako honest. Ila ndio ivyo kupata gari nzuri ni majaliwa. Nimeshanunua magari kadhaa kwao. Ila hili moja tangu nilinunue lina karibu miezi sita halijakanyaga bara barani... Nimelitelekeza gereji. Ila mengine yalikuwa poa. So kupata zima au bovu hata kampuni nyingine wako hivyo. The safest way ni kununua show room za Bongo. unatest na kuridhika japo bei zao huwa juu up to forty percent tofauti na ukiagiza.
 
Manjagata

JF-Expert Member
Mar 7, 2012
6,386
2,000
heshima kwenu brothers and sisters

Jumatatu nawawekea hela wajapan.be foward kwa mara ya kwanza kulipia gari yangu ya kwanza maishani. wamenitumia profoma invoice wakitaka hela zitumwe through telegraphic transfer maarufu kama TT ili wanitumie gari niliolichagua..

to be honest I am scared kuibiwa pesa zangu nilizozitoa kwenye kibubu. kama kuna mtu ana chochote cha kunishauri plz nishauri...

hawa jamaa account zao za invoice ni.za kweli na mliowahi kuaigiza gari kampuni hiyo naomba mnishauri plz..

pay trade nasikia hairuhusiwi nowdays..

Hivi huwa hawaruhusu kufanya malipo moja kwa moja kwenye ofisi zao hapa Dar? Maana hii inaweza kupunguza hata matatizo ya kutozwa fedha za TT! Nawaza tu!!
 
Nsuri

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
1,015
2,000
Mimi nimenunua gari mara 2 kwao na gari zote nzima, ni waaminifu sana. Gari used ni kawaida kukuta zina kasoro ndogo ndogo
 
OKW BOBAN SUNZU

JF-Expert Member
Aug 24, 2011
30,550
2,000
mkuu humu watu wapotoshaji,wanakwambia usijali befoward wapo honest,wanajua kabisa kuna hakaz,sasa hawasemi ufanyaje ili mpunga ufike befoward halisi.mi nakushauri kama upo dar uende ofisi zao ku-clear doubts kuhusu account,utalizwa
 
Easymutant

R I P
Jun 3, 2010
2,573
2,000
Mimi nimenunua gari mara 2 kwao na gari zote nzima, ni waaminifu sana. Gari used ni kawaida kukuta zina kasoro ndogo ndogo

Futa hilo neno *niwaaminifu sana* wengine tushafikishana mahakamani na wakacomply
....usiwaamini kiivyo
 
Waberoya

Platinum Member
Aug 3, 2008
14,739
2,000
NENDA OFISI ZAO Z DSM-OCENA ROAD, WATA VERIFY HIYO ACCOUNT

BANK NAME : SUMITOMO MITSUI BANKING CORPORATION
SWIFT CODE : SMBCJPJT
BRANCH NAME : WEBSITE BRANCH by SWIFT directly(BRANCH CODE:988)
BRANCH ADDRESS : 1-37-12 FUDA CHOFU-SHI TOKYO 182-0024 JAPAN
ACCOUNT NUMBER :988-5000020
ACCOUNT NAME : BE FORWARD CO.,LTD

iko hivyo??? then it is okey, never miss a spelling na fuata maelekezo ya invoice

Kikubwa pleas nenda ka verify ofisi zao ziko dsm, kama uko mbali piga simu. usiniamini na mimi!!!1
 
Kigogo

JF-Expert Member
Dec 14, 2007
20,534
2,000
heshima kwenu brothers and sisters

Jumatatu nawawekea hela wajapan.be foward kwa mara ya kwanza kulipia gari yangu ya kwanza maishani. wamenitumia profoma invoice wakitaka hela zitumwe through telegraphic transfer maarufu kama TT ili wanitumie gari niliolichagua..

to be honest I am scared kuibiwa pesa zangu nilizozitoa kwenye kibubu. kama kuna mtu ana chochote cha kunishauri plz nishauri...

hawa jamaa account zao za invoice ni.za kweli na mliowahi kuaigiza gari kampuni hiyo naomba mnishauri plz..

pay trade nasikia hairuhusiwi nowdays..

Acha woga wewe..unachelewa lipa mpunga wakuoe gari wahi meli ya ta 2 june....ndinga ifike mapema uweke heshima
 
Ngigana

JF-Expert Member
Apr 16, 2010
1,651
2,000
heshima kwenu brothers and sisters

Jumatatu nawawekea hela wajapan.be foward kwa mara ya kwanza kulipia gari yangu ya kwanza maishani. wamenitumia profoma invoice wakitaka hela zitumwe through telegraphic transfer maarufu kama TT ili wanitumie gari niliolichagua..

to be honest I am scared kuibiwa pesa zangu nilizozitoa kwenye kibubu. kama kuna mtu ana chochote cha kunishauri plz nishauri...

hawa jamaa account zao za invoice ni.za kweli na mliowahi kuaigiza gari kampuni hiyo naomba mnishauri plz..

pay trade nasikia hairuhusiwi nowdays..

Nakushauri tuma pesa kupitia pay trade ama sivyo unaweza kujikuta unatapeliwa. Wajapani hawaaminiki sana siku hizi. Vuta subira lipia kupitia pay trade
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom