Jumatano ya Majivu: Wakatoliki kupakwa majivu bila kuguswa ili kuepuka Corona

aliyekuambia Ishara ya msalaba haipigwi Mani?
Haina haja ya kuendelea kubishana na wewe maana sikuelewi unarudia kitu unacholekezwa
Usiwe sawa na Mpinga kristo
sema kifupi mafundisho mengi ya katoliki ni ya kutungwa na wanadamu ndio maana yaweza badilika kutegemea dunia inavyoenda au hali ya hewa au magonjwa ikiwemo Corona .Yangekuwa ni ya Mungu yasigeguswa
 
Yatosha,
endelea kumcha Mungu katika fadhira zake Imani, Matumaini na Mapendo
 
Maji ya baraka vipi yanaendelewa kuchovywa na kila mtu kufanya ishara ya msalaba? padre mgawa sakrament atakuwa anavaa gloves ? vipi kuhusu kubusu pete ya askofu na papa marufuku?

vipi kuhusu ijumaa kuu kubusu msalaba haiwezi ambukiza corona ? kanisa limeelekeza nini?
Kutakuwa hakuna kubusu msalaba
 
Maji ya baraka vipi yanaendelewa kuchovywa na kila mtu kufanya ishara ya msalaba? padre mgawa sakrament atakuwa anavaa gloves ? vipi kuhusu kubusu pete ya askofu na papa marufuku?

vipi kuhusu ijumaa kuu kubusu msalaba haiwezi ambukiza corona ? kanisa limeelekeza nini?

We mvaa kobasi mswahili mambo ya ukristo hayakuhusu
 
Screenshot_2024-02-13-21-44-25-1.png
 
Back
Top Bottom