mgeni10 JF-Expert Member Nov 29, 2010 1,109 369 Dec 1, 2013 #2 Asante SI unit, Nawe Barikiwa siku hii ya leo , pia usisahau kuwakumbuka wanaoishi na VVU, Leo ndio siku ya kuwakumbuka Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Asante SI unit, Nawe Barikiwa siku hii ya leo , pia usisahau kuwakumbuka wanaoishi na VVU, Leo ndio siku ya kuwakumbuka
Mwanahisa JF-Expert Member Jun 29, 2012 1,382 510 Dec 1, 2013 #3 Tusamehe leo dhambi zetu kama nasi tunavyowasemehe waliotukosea. :amen:
Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member Jan 26, 2012 1,996 615 Dec 1, 2013 #4 nimeipenda sana hii nashukuru mkuu jumapili yangu imeenda uzuri sana sasa turejee mapambanoni kesho
grafani11 JF-Expert Member May 24, 2011 15,442 5,807 Dec 2, 2013 #8 Amavubi said: Hadi ulaya kuna chadema? Click to expand... Sio Ulaya tu hadi Marekani wapo, ya kwanza hapo ilikuwa Uchina
Amavubi said: Hadi ulaya kuna chadema? Click to expand... Sio Ulaya tu hadi Marekani wapo, ya kwanza hapo ilikuwa Uchina
Mentor JF-Expert Member Oct 14, 2008 20,328 23,879 Dec 2, 2013 #9 Amavubi said: Jirani yake hadi ameuchubua ubao Click to expand... Siku hizi watu wamepafanya pa kuwekea miguu bana mi huwa nakereka sana!!!:frusty::frusty::frusty:
Amavubi said: Jirani yake hadi ameuchubua ubao Click to expand... Siku hizi watu wamepafanya pa kuwekea miguu bana mi huwa nakereka sana!!!:frusty::frusty::frusty: