Jumapili njema....

2my

JF-Expert Member
Jan 30, 2010
287
7
Habari za asubuhi wandugu!!!
Ni jambo jema kumshukuru Mungu kwa kutuwezesha kuiona siku njema ya leo, kumbuka ni wengi waliotamani kuiona ila hawakuweza kutokana na sababu mbali mbali...
Je mimi na wewe hatuna budi kukaa na kutafakari huu wema wa Mungu juu yetu?
Nenda kanisani na kwa wale ambao hawataweza kutokana na majukum mbali mbali si mbaya kama watachukua japo sekunde chache kusema asante kwa Mungu...
Mbarikiwe sana na jumapili njema!!!!!!
 
Mnaboa sana! Sasa wale wa ijumaa nao wakiweka thread zao? Na wa jumamosi je! Forum itajaa Ijumaa Karim, Sabato njema, J2 njema. Haya madudu mkipost fb ndo mahali pake sio humu kwa great thinkers bana
 
Back
Top Bottom