Jumapili hii imepoa sana bora nikajinywee dabo kick zangu nitulie

Nilikuwa nikinywa pombe nyingi lakini kipindi fulani nikatest hii kitu pombe ikanikataa yenyewe. Juzi nikiwa naperuzi nikakuta pia Wikipedia wameielezea bangi kuwa ni dawa ya kumwachisha mtu pombe

Aise...endelea kupiga pombe mkuu achana na majani
 
Kwel hii kitu nimeiexperience saa hizi matumizi yangu ya pombe yamepungua sana kiasi kwamba eti simiss tungi kabisa nikipata zangu dawa na pepsi big ata ndani sitoki nikutuma mtu aniletee msosi tu.
Ilinisaidia pia. Yani nilikuwa naweza kunywa hata bia 15 lakini tangu nimeonja bangi pombe haipandi kabisa! Kwa sasa nikilazimisha sana nakunywa bia mbili tu
 
Kwel hii kitu nimeiexperience saa hizi matumizi yangu ya pombe yamepungua sana kiasi kwamba eti simiss tungi kabisa nikipata zangu dawa na pepsi big ata ndani sitoki nikutuma mtu aniletee msosi tu.
Naomba nikupe hongera mkuu..
 
Back
Top Bottom