Jumanne nyeusi kwa Rais Magufuli inakuja

Herbet Hoover wa miaka hiyo wakati USA ikiwa inapambana na ubaguzi wa rangi unamlinganisha na JPM wa miaka hii ya utandawazi!.

Mitihani waliyokutana nayo marais wa USA wa miaka ile ni tofauti sana na ile anayokutana nayo JPM katika nyakati hizi.

Mleta mada ni mtu aliyekuzwa katika misingi ya kibepari, lakini kinachofanyika ndani kabisa ya mamlaka za juu za uongozi ni tofauti na maoni ya mtu mmoja mmoja wa jukwaa hili la siasa.
 
Dah rais wetu bado anakusanya kodi na kubana matumizi
Leo kagawa fedha za usanii kwa mama anaedaiwa bili muhimbili. Wakati anasahau hizo hela anazogawa kama njugu ni kodi zetu sio posho yake. Amesahau wafanyakazi wavujajasho hajawaongezea mishahara mpaka leo.
je ataweza kulipa alichoahidi wakati mpaka sasa hana biashara yoyote aliyofanya ikamuingizia faida sana anazidi kuibua miradi asiyoweza kuiendesha.
MEMBE WAHI HARAKA SIKU YA KUCHUKUA FOMU. KALALE PALE MLANGONI UAMKIE MEZANI UCHUKUE YAKO MAPEMAAAAAA🐸🐸🐸🐸✌✌✌
 
Anadaiwa milion 50 za kila kijiji, asijisahaulishe
 
Herbet Hoover wa miaka hiyo wakati USA ikiwa inapambana na ubaguzi wa rangi unamlinganisha na JPM wa miaka hii ya utandawazi!.

Mitihani waliyokutana nayo marais wa USA wa miaka ile ni tofauti sana na ile anayokutana nayo JPM katika nyakati hizi.

Mleta mada ni mtu aliyekuzwa katika misingi ya kibepari, lakini kinachofanyika ndani kabisa ya mamlaka za juu za uongozi ni tofauti na maoni ya mtu mmoja mmoja wa jukwaa hili la siasa.
Upo sahihi kwa maoni ya maana yako lakini upo tofauti na mawazo ya Mr. Mkiki.
 
ANGUKO LA UCHUMI KWA TAIFA LA MAREKANI (1929~1933)

Aliyeitwa Herbert hoover aliyekuwa na miezi nane tu kwenye uongozi wake kutokana na kutokujuwa vema nini maana ya urais wa marekani uchumi ukaanguka, siku ambayo wao waliyoitaja kama jumanne nyeusi hali ilikuwa mbaya zaidi 0.75 walipoteza ajira.

Sababu kubwa ya Herbert Hoover kushindwa ni kufa kwa ununuzi wa hisa (New york stock exchange) ambayo ilipelekea watu kuchukuwa pesa zao kwenye mabenki na kufirisika kitendo ambacho kilipelekea wamerikani kumkataa rais HERBERT HOOVER.

View attachment 441037
Utawala wa herbert hoover ni wazi mambo yalionekana kuwa mabaya katika maeneo mengi muhimu kwa uchumi wa Marekani. Ni wamarekani ndio waliyofahamu kuwa Hoover mambo kwake alikuwa mabaya lakini kwa Tanzania mambo tofauti sio kama watu makini hawapo la, ni wajinga wengi sana kuliko watu makini na ndio sababu kubwa ambayo CCM wanayotumia.

View attachment 441038
Rais Herbert Hoover.

Mwaka 1929 akaja mkombozi wa uchumi wa marekani rais Franklin Delano Roosevelt na kauli yake "The only thing we have to fear is fear itself".

View attachment 441043

Mipango madhubuti ya rais Franklin delano roosevelt baada ya kuwa rais mwaka 1929

1. Nafuu(Relief): Alitoa pesa kusaidia wazee wasio na ajira.

2. Akafanya mabadiliko katika sector tofauti tofauti miongoni ni mabenk akazipa mitaji ili kurejesha matumaini kwa wananchi kutunza hela zao kwenye mabenk.

3. Rais franklin alitoa ajira kwa vijana.

4. Kutengeneza uhusiano mzuri wa wafanya kazi na waajiri wao ili kuteta ufanisi wa kazi hatimae marekani ikawa kubwa tena kwa uchumi.

View attachment 441059
The only thing we have to fear is fear itself.

View attachment 441060
It is common sense to take a method and try it. If it fails, admit it frankly and try another. But above all, try something.

RAIS JOHN POMBE MAGUFULI.

View attachment 441063

Utawala wa rais John Pombe Magufuli una zaidi ya mwaka moja na miezi kadhaa madarakani. Kama taifa, hatuwezi kuendelea na fungate (honeymoon) ya utawala wake wakati ni wazi mambo yanaonekana kuwa mabaya katika maeneo mengi muhimu kwa uchumi wa Tanzania.

Ufike wakati sasa tuanze kizungumzia mambo mazito yanayotukabili kama taifa.

Magufuli atambue kuwa hata Mungu mwenyewe alianza na mwanga

"Mungu akasema, iwe nuru, ikawa nuru. Mungu akaiona nuru na giza. Mungu akaiita nuru mchana, na giza akaiita usiku. Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku ya kwanza"

Ni maneno kutoka katika kitabu cha mwanzo(1: 3~5)

Tunatakiwa kufikiria kwamba tunaweza kuumizwa na tunaweza kujiumiza wenyewe, Magufuli anatakiwa kuambiwa kuwa safari yake ni ngumu katika uchumi.

Note: Magufuli utashi wa kisiasa ni muhimu katika kuendesha taifa.

Mipango ya rais Herbert ni sawa na mipango ya Magufuli.

Msema ukweli ni mpenzi wa Mungu.

By mr mkiki
Mukuu mbona hujielewi umeadika nini mavi mtupu
 
Dah! The end is near
IMG-20191106-WA0081.jpeg
 
Kila kukicha ukweli huu unazidi kujitokeza.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom