Jumanne nyeusi kwa Rais Magufuli inakuja

Uchumi unaomaanisha ni upi? Maana siye wenye maisha ya chini tunaona mambo yanaenda tu hela ya kula hatukosi, sasa wanaolia wengi ni wale waliozoea kupata hela ambazo hawakuzistahili na ndo maana matumizi yake yalikuwa ya kutapanya, mfano watu walikuwa na nyumba ndogo wanazihudumia kwa kila kitu Magufuli kaja kawabana wote wamerudi njia kuu. Sasa michepuko lazima iseme uchumi kwa sababu walizoea kulishwa. Hakuna uchumi utakaotetereka tupige kazi kwa bidii.
Hivi mambo bado yanaenda
 
Duuuuh, nchi hii tu wajinga kupindukia. Tunamkubalia kabisa mtu anayetuambia Great Depression ilisababishwa na mtu aitwae Herbert Hoover.

Nafahamu wengi wetu wajinga na wengi wengi tumapenda kuongopewa jambo lolote litskaloisema vibaya serikali, imekuwa hulka yetu.

Lakini sikuwahi kufikiri ujinga na hulks yetu ingetufanya tudanganywe hata kwa mambo dhahiri yanayofahamika duniani kama Great Depression.

Hongera mtoa post umefanikiwa kwa kiasi kikubwa katika uongo wako huu. Wacha wajinga tuendelee kukuunga mkono na sisi tunaopenda kudanganywa no wakati wetu kushiriki kuzidanganya nafsi zetu.

lol...niliposoma first para nikajuwa unakuja na nondo....
 
Hii ni analogy nzuri sana. Kuweka kumbukumbu sawa ni kwamba Rais Rooservelt aliingia madarakani mwaka 1933.

Rais Rooservelt ndiye alikuwa muasisi wa utaratibu wa tathmini ya siku 100 za rais kukaa madarakani. Katika siku zake 100 madarakani, Rooservelt alipeleka miswada 13 ya sheria bungeni.

Mabadiliko makubwa aliyoyasimamia Rooservelt aliyapa jina "The new deal", ikiwa ni pamoja na kuachana na sera za uchumi zilizotokana na nadharia za Adam Smith (Classical Economic Theory) ambazo zilikiwa zinajali tu matajiri na wawekezaji na akakumbatia nadharia za kiuchimi za John Keynes zilizosisitiza serikali kuratibu shughuli za kiuchumi ili manufaa ya kustawi kwa uchumi yawanufaishe wote.

Ni wakati wa urais wa Rooservelt ndipo taasisi imara za kiuchumi (kama CMSA, FCC, nk) zolipoanzishwa huko Marekani na kuliwezesha hili taifa kuwa kinara duniani kiuchumi.

Haya yaliwezekana kwa Rooservelt kwa kuwa alikuwa na muongozo wa imani ya kiikadi kisiasa, pamoja na mrengo wa kiuchumi, ambavyo vilimpa dira ya kufanya aliyoyafanya na kufanikiwa.

Hizi sifa Magufuli hana. Ni vyema akatumia zaidi washauri wake wa kiuchimi na kuachana na kutafuta umaarufu. Awe strategist zaidi.
Washauri wa mtukufu ni Polepole, Bashite, Msiba na wenzao akina Le mutuz unategemea nini? ambao walikaa wakabuni Mladi mkubwa wa kifisadi ambao umeligharimu Taifa mabilioni ya pesa kwa kazi zisizo na Tija kwa Taifa, pesa iliyotumika kuwanunua madiwani, wabunge na wanachama wa Upinzani kwa ujumla, ni pesa nyingi sana zimepotelea kwenye kurudia chaguzi ni pesa ambazo zingeweza kujenga daraja toka mwanza mpaka ukerewe na ukara na pia daraja toka mtwara mpaka mafia na hata daraja toka Dsm mpaka Zanzibar na pemba, pesa iliyotumika kujenga Chato Airport ingeweza kujenga Hospt za rufaa kila mkoa na kuwaajiri madaktari toka India na sehemu zingine Duniani kuepusha gharama za kuwapeleka nje kutibiwa.
 
10%ununuzi wa ndege 10%ujenzi wa reli, 10%kwenye ukombozi wa ndege iliyokamatwa 10%kwenye miladi mingineyo haramu kama huo Mladi wa akina polepole wa kuwanunua wapinzani na kurudia chaguzi, hapo ndipo Anguko la Uchumi litaanzia kwani pesa nyingi inapotelea kwenye matumbo ya wajanja wachache huko CCM.
 
Washauri wa mtukufu ni Polepole, Bashite, Msiba na wenzao akina Le mutuz unategemea nini? ambao walikaa wakabuni Mladi mkubwa wa kifisadi ambao umeligharimu Taifa mabilioni ya pesa kwa kazi zisizo na Tija kwa Taifa, pesa iliyotumika kuwanunua madiwani, wabunge na wanachama wa Upinzani kwa ujumla, ni pesa nyingi sana zimepotelea kwenye kurudia chaguzi ni pesa ambazo zingeweza kujenga daraja toka mwanza mpaka ukerewe na ukara na pia daraja toka mtwara mpaka mafia na hata daraja toka Dsm mpaka Zanzibar na pemba, pesa iliyotumika kujenga Chato Airport ingeweza kujenga Hospt za rufaa kila mkoa na kuwaajiri madaktari toka India na sehemu zingine Duniani kuepusha gharama za kuwapeleka nje kutibiwa.
Hapa minyoo sio kwamba umezidisha chumvi.?
 
Ukweli utadumu daima na hakuna kitu. Kibaya kama unafiki! Tunaelekea ukingoni uchumi unakufa na kila kitu kipo hovyo
 
Kumlinganisha Rais Hoover na kuanguka kwa uchumi wakati wa kipindi chake na Rais Magufuli katika kipindi chake hiki cha kurekebisha uchumi ni kutoitendea haki historia.

Nina mashaka inawezekana mtoa post hukusoma somo la Historia katika elimu yako. Kama ungelisoma, ungelijua sababu za kuanguka uchumi enzi za Hoover.

Vilevile, ungelijua na kuoanisha hatua alizochukua Rais Roosevelt kupitia kauli mbiu yake ya 'NEW DEAL' kufufua uchumi zinafanana na za Rais Magufuli kupitia kauli mbiu yake ya 'HAPA KAZI TU'.
Kwa hiyo unataka kutuaminisha kuwa kipindi cha JK uchumi ulianguka na sasa JPM anauweka sawa???
 
Kumlinganisha Rais Hoover na kuanguka kwa uchumi wakati wa kipindi chake na Rais Magufuli katika kipindi chake hiki cha kurekebisha uchumi ni kutoitendea haki historia.

Nina mashaka inawezekana mtoa post hukusoma somo la Historia katika elimu yako. Kama ungelisoma, ungelijua sababu za kuanguka uchumi enzi za Hoover.

Vilevile, ungelijua na kuoanisha hatua alizochukua Rais Roosevelt kupitia kauli mbiu yake ya 'NEW DEAL' kufufua uchumi zinafanana na za Rais Magufuli kupitia kauli mbiu yake ya 'HAPA KAZI TU'.
WEWE UMESOMA HISTORIA ILA UNAITUMIA VIBAYA NI SAWA NA JOKA LA MAKENGEZA NI BONGE LA MWANASHERIA LAKINI ANATUMIA UJUZI WA SHERIA KUPIGA DILI, NIKWAMBIE TU KUWA RAIS MAGUFULI ANAIANGUSHA TANZANIA KIUCHUMI KULIKO HATA HOOVER NA KIONGOZI ATAKAEFUATA BAADA YA MAGUFULI ATAPATA TAABU SAANA KU REVIVE UCHUMI TUMIA VIZURI UJUZI WAKO WA HISTORIA KWA KUTUMIA UBONGO NA SIO UTUMBO MPANA
 
Hahahaha utumbo mpana.....si ndio ule kule mwishoni mizigo inakotokea?
 
Duuuuh, nchi hii tu wajinga kupindukia. Tunamkubalia kabisa mtu anayetuambia Great Depression ilisababishwa na mtu aitwae Herbert Hoover.

Nafahamu wengi wetu wajinga na wengi wengi tumapenda kuongopewa jambo lolote litskaloisema vibaya serikali, imekuwa hulka yetu.

Lakini sikuwahi kufikiri ujinga na hulks yetu ingetufanya tudanganywe hata kwa mambo dhahiri yanayofahamika duniani kama Great Depression.

Hongera mtoa post umefanikiwa kwa kiasi kikubwa katika uongo wako huu. Wacha wajinga tuendelee kukuunga mkono na sisi tunaopenda kudanganywa no wakati wetu kushiriki kuzidanganya nafsi zetu.
Akili una wewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom