#COVID19 Jumanne nitachanjwa ila Rais Samia asinihesabu katika waliomuunga mkono

Nenda hauna impact yoyote

Mwenye impact utakuwa wewe mwenye ki ID cha msa(h)ada?

IMG_20210808_082752_519.jpg

Hiiiiii bagosha!
 
J3 tuna jambo letu. J4 pia tuna jambo letu kulingana na maelekezo ya wizara ya afya.

Hata hivyo wengi wetu tuliipigania hatua hii, wakati SSH na mwendazake wakifanya porojo zao kuhusu ugonjwa huu. Hivyo katu asituhesabu kuwa tutakuwa tumejitokeza kumwunga mkono yeye kwa lolote kuhusiana na hii chanjo.

Ni vizuri pia akafahamu kuwa hata kama asingekuwa kachanjwa sisi tungechanjwa tu.

Vile vile asisahau ukakasi aliotuletea kutokea kwenye kadhia ile ya Mwanza, hapo ndiyo kabisa ametukata stimu!

"J4 nitachanjwa. Ila tafadhali Mama SSH usinihesabu katika list ya watakaokuwa wamejitokeza kuchanjwa eti kwa kuwa umewa 'inspire.' Kwa hakika isingekuwa kwa hali ya huu ugonjwa ilivyo, tungehamasishana dhidi yako."

Niliweke hili wazi, "nilikuunga mkono sana, lakini si baada ya siku zako 100 ofisini, na hasa ulipokuja kutuonyesha rangi zako halisi ulizokuwa bila shaka umezificha."

Nitakuwa mnafiki mno kwa kutokukupa ukweli huo kinagaubaga.

Kumbuka msema ukweli ni mpenzi wa Mungu.

Habari ndiyo hiyo.
Wewe kuna roho za kuzimu zinakusukumia shimoni na wapambe wa hizo roho, walioshimoni tayari wayakupigia makofi ili ukaungane nao na ndiyo sababu unakitete. Umejaa hofu na kutokuamini unachotaka kufanya, na ndiyo sababu unatafuta kutiwa moyo na kujifariji. Kama wewe unaamini katika Mungu,( sio mungu wala miungu) kabla ya kusikiliza hizo kelele zinazokusukumia shimoni, omba sala hii.

"Ee Mungu Mwenye Enzi, Mumba wa bingu na nchi na vitu vyote, ninajua wewe upo, ninajua wewe unasema, na ninajua weewe ndiye hiyo Kweli na hakuna jambo lililofichika machoni pako. Kwa akili zangu na kibinadamu, na kwa ushawishi wa kelele za binadamu wenye maarifa kulilko mimi, nimeshawishika katika maamuzi haya. Kabla sijatimiza azma yangu, naomba unithibitishie kama maamuzi yangu haya ninayokusudia kuyatimiza yako katika MAKUSUD NA MPANGO WAKO. Ninaomba usema na mimi ili nifanya maamuzi sahihi. Katika Jila la Yesu Kristo Aliye hai milele nimeomba, Amen".

Utakapo pata uthibitisho kutoka kwa Mungu, usiende tena kwa wapambe kuomba ushauri kwa sababu Mungu yuko juu ya yote. Ukivuka hatua hii, tuwasiliane nikuambie nini cha kufanya baada ya hapo.
 
Wewe ni kibwetere au askofu Rashid?

Kuna wodi mwananyamala SSH alipiga kona kama hana akili nzuri. Si uende mle ukamfukuze shetani?
 
Huna sababu ya kunijibu. Hata ukinitukana kwa majina yoyote, I don't care kwa sababu hata Bwana wangu Yesu Kristo, alitukanwa na alishaniambia kwamba nitafanyiwa kiwa aina ya fedhuli. Kama vile Bwana wangu pamoja na kashfa zote vile hakuancha kukamilisha kazi ya ukombozi, vile vile na mimi sitakuchukia kwa fedhuli yoyote utakayonionyesha kwa sababu najua si wewe. Sasa basi usihangaike na mimi, angalial ujumbe wangu ambao uko moyoni mwako. Siku ukihitaji utafanya hiyvo. La hutahitaji, utajuana na Mungu siku utakaposimama mbele zake.
Mimi usidhani matusi ama fedhuli yoyote itanihangaisha. La hasha kijana.
 
Unafahamu fika kuwa sijakutukana. Uko busy kutafuta fursa ya kutukanwa?

Hahaahaaa 😂😂😂😂!

Pole sana jombi fursa hiyo haiko hapa.

Kama ulidhani utapata fursa ya kupata cha kutolea ushuhuda, hapa itakuwa imekula kwako.

Hivi hata uzi uliosoma au hata kuuelewa basi?

Ninakazia:

"Nilikwenda kuchanjwa. Nimechanjwa. Si kwa sababu ya lolote la kufanya na SSH bali kwa hiari na conviction yangu mwenyewe."

Hayo yanahusiana nini na utopolo unaojaribu kuuleta hapa?
 
Wewe juha, hivi utapata ufahamu lini? huyo ssh ni mungu wako? Mbona pumbavu hivyo? Nimeshakuambia kama unaguswa na ujumbe wangu, fanyal. La sivyo, usiendelee kuniletea kitete chako hapa. Hiyo ni hasara na faida yako. Mimi nimetizima kazi yangu. Tatioz lako ni ujinga na upumbavu.
 
Nakukumbusha tena - kama unatafuta kutukanwa ukapate kutoa ushuhuda umepotea maboya!

Nenda katoe ushuhuda huo kuwa umeula wa chuya.

Kwa mara nyingine nakazia:

"Nilikwenda kuchanjwa. Nimechanjwa. Si kwa sababu ya lolote la kufanya na SSH bali kwa hiari na conviction yangu mwenyewe."

Huo ndiyo msimamo wangu. Wewe inakuhusu nini? Zingatia maudhui ya mada.

Nyuzi ni maudhui kwa maudhui. Tafuta uzi wenye maudhui yanayofanana na unayodhani ni hoja zako.

Siyo kila uzi kwa maudhui yoyote hata kama ni utopolo.

😂😂😂😂😂!

Hiiiiii bagosha!
 
Nakukumbusha tena - kama unatafuta kutukanwa ukapate kutoa ushuhuda umepotea maboya!

Nenda katoe ushuhuda huo kuwa umeula wa chuya.

Kwa mara nyingine nakazia:

"Nilikwenda kuchanjwa. Nimechanjwa. Si kwa sababu ya lolote la kufanya na SSH bali kwa hiari na conviction yangu mwenyewe."

Huo ndiyo msimamo wangu. Wewe inakuhusu nini? Zingatia maudhui ya mada.

Nyuzi ni maudhui kwa maudhui. Tafuta uzi wenye maudhui yanayofanana siyo kila uzi kwa maudhui yoyote hata kama ni utopolo.
 
J3 tuna jambo letu. J4 pia tuna jambo letu kulingana na maelekezo ya wizara ya afya.

Hata hivyo wengi wetu tuliipigania hatua hii, wakati SSH na mwendazake wakifanya porojo zao kuhusu ugonjwa huu. Hivyo katu asituhesabu kuwa tutakuwa tumejitokeza kumwunga mkono yeye kwa lolote kuhusiana na hii chanjo.

Ni vizuri pia akafahamu kuwa hata kama asingekuwa kachanjwa sisi tungechanjwa tu.

Vile vile asisahau ukakasi aliotuletea kutokea kwenye kadhia ile ya Mwanza, hapo ndiyo kabisa ametukata stimu!

"J4 nitachanjwa. Ila tafadhali Mama SSH usinihesabu katika list ya watakaokuwa wamejitokeza kuchanjwa eti kwa kuwa umewa 'inspire.' Kwa hakika isingekuwa kwa hali ya huu ugonjwa ilivyo, tungehamasishana dhidi yako."

Niliweke hili wazi, "nilikuunga mkono sana, lakini si baada ya siku zako 100 ofisini, na hasa ulipokuja kutuonyesha rangi zako halisi ulizokuwa bila shaka umezificha."

Nitakuwa mnafiki mno kwa kutokukupa ukweli huo kinagaubaga.

Kumbuka msema ukweli ni mpenzi wa Mungu.

Habari ndiyo hiyo.
Naona unachanganya Afya binafsi na siasa z chadomo

Akili fuppi
 
Naona unachanganya Afya binafsi na siasa z chadomo

Akili fuppi

Ninakazia:

Huo ndiyo ulio msimamo wangu.

"Nilikwenda kuchanjwa. Nimechanjwa. Si kwa sababu ya lolote la kufanya na SSH bali kwa hiari na conviction yangu mwenyewe."

Wewe baki na m@vi yako. Shida iko wapi?
 
Wewe ni kibwetere au askofu Rashid?

Kuna wodi mwananyamala SSH alipiga kona kama hana akili nzuri. Si uende mle ukamfukuze shetani?
Halafu uelewe kuhusu ile wodi ni Samia mwenyewe ndio kataka kuambiwa ni wodi ya wagonjwa wa covid ila yule jamaa kasema ni wenyewe matatizo ya kupumua, akasema ni suspect wa corona na si kwamba ni wodi ya wagonjwa wa corona.
 
Ninakazia:

Huo ndiyo ulio msimamo wangu.

"Nilikwenda kuchanjwa. Nimechanjwa. Si kwa sababu ya lolote la kufanya na SSH bali kwa hiari na conviction yangu mwenyewe."

Wewe baki na m@vi yako. Shida iko wapi?
Samia haingii kwenye chanjo binafsi
 
Hunichangii bwana mdogo. Wewe sasa hivi unaendeshwa na frequency za jamaa, kwa hiyo hata kama huna GB, atafanya chochote aktakachotune kwenye computer yake bila gharama yoyte kwako.

Thomas Tessier

4 days ago
I think most people, people with a brain anyway, know this is all about control not about your health.

510
4 days ago
5,000 deaths. 40,000 serious injuries. And rising. VAERS injury reports. No one knows the long term effects.

RobertJFishing

4 days ago
We are not going to vaccinate against something that has a 99%+ survival rating whether vaccinated or not

Randall F Burgess

4 days ago
THIS IS NOT A "V" and it is NOT SAFE you have only to look in the VAERS death and injury reports over 5000 deaths from the "V" and over 400000 serious injuries

Billy

3 days ago
It's not a vaccine by definition and I will never take it.

If Something Was Safe... Why Would You Need To Sign A Waiver? If Something Was Effective... Why Would You Need A Booster? If It's So Great Why Are They Bribing & Demanding People Take It? Why Are The Manufacturers Protected By The Gov From Liability?
Yatakuwa matumizi ya hovyo kabisa ya GB kusikiliza utopolo usiokuwa na kichwa wala miguu.
 
Back
Top Bottom