Jumamosi tumeunga mkono juhudi za serikali ya awamu ya tano kwa kutembekea kituo cha Afya cha Bunju

Mwanamke na Uongozi

New Member
Jul 16, 2020
2
0
Takwimu za taifa za mwaka 2015-2016 zinaonesha kuwa wanawake 556 hufariki katika kila vizazi hai 100,000 kwa sababu zitokanazo na ujauzito, kujifungua na hata baada ya kujifungua. Sababu moja wapo ni upungufu wa vifaa vya kujifungulia pamoja na mazingira magumu ya kutolea au kupata huduma.

IMG_9088.jpg

IMG_9088.jpg

Jumamosi tumeunga mkono juhudi za serikali ya awamu ya tano kwa kutembelea kituo cha Afya cha Bunju na kutoa msaada wa vitanda 10 na magodoro 10.

Tunapenda kuwashukuru sana wadau wetu wa maendeleo kwa kutuunga mkono katika kusaidia juhudi za serikali yetu kuboresha huduma za Mama na Mtoto nchini.
 
Takwimu za taifa za mwaka 2015-2016 zinaonesha kuwa wanawake 556 hufariki katika kila vizazi hai 100,000 kwa sababu zitokanazo na ujauzito, kujifungua na hata baada ya kujifungua. Sababu moja wapo ni upungufu wa vifaa vya kujifungulia pamoja na mazingira magumu ya kutolea au kupata huduma.

Jumamosi View attachment 1546949
tumeunga mkono juhudi za serikali ya awamu ya tano kwa kutembelea kituo cha Afya cha Bunju na kutoa msaada wa vitanda 10 na magodoro 10.

Tunapenda kuwashukuru sana wadau wetu wa maendeleo kwa kutuunga mkono katika kusaidia juhudi za serikali yetu kuboresha huduma za Mama na Mtoto nchini.
 
Tukushukuru kwa kuunga mkono juhudi, achana na mataahira wanaotaka kukukatisheni tamaa.
 
Back
Top Bottom