Jumamosi ndiyo Hiyooooo Wapi jukwaa la katiba?na nini tamko lao?

Matope

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
892
679
Wana JF naomba mnijuze mi sijasikia tamko lolote la kuahirisha maandamano ya jmosi kutoka Jukwaa letu la katiba,

Au tufate kauli ya jeshi la Polisi?
Naomba kuwakilisha
 
Mzee unaonekana ulikuwa umepania kweli kweli kuandamana. Wanaharakati wameambiwa kuwa maandamano si njia sahihi ya kuleta Katiba mpya bali watumie njia zingine hasa za mazungumzo. Japokuwa wao hawajatoa tamko rasmi nashauri tuwaunge mkono kukubali kwao kuachana na maandamano kama tulivyokuwa tumepania kuwaunga mkono katika maandamano.
 
Nakubaliana na wewe Mkuu maandamano ni noma cos polisi wakiingilia inaongeza hasira kwa jamii,lakini njia ya mazungumzo hufikia kikomo pale mnaposhindwa kuafikiana hasa yanapogusa masilahi ama ya chama au binafsi.

Mi nashauli midahalo iwe mingi na ipewe Airtime ya kutosha ili watu wapate nafasi ya kuongea na kutoa dukuduku lako,nina wasiwasi na kikao cha JK na committee ya chadema wasiposikilizwa na Mkuu wa nchi sijui itakuwaje.
 
Back
Top Bottom