Jumamosi kutoka Dodoma!

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,474
39,987
Kama mambo yatakuwa vizuri, kesho tutafanya majaribio ya kurusha matangazo yetu kupitia KLH News tukiwa na wajumbe kutoka Dodoma! Kuanzia majira ya saa nane mchana EST (-5GMT) sawa na saa Tatu za usiku East African Time.

Mada kubwa ni "Meremeta isiyometameta!"

Mnakaribishwa.
 
MJ nakusifu sana kuwa mtu wa harakati za Watanzania kwa kweli umeonyesha upendo wa nchi kwa vitendo na unahitaji kusifiwa na Watanzania hasa vijana wa kitanzania. Nilikuwa nashauri mambo machache kuhusu chombo chako cha habari .

1. Ningeomba uwahusishe Watanzania walioko marekani zaidi. Kuna Watanzania wengi duani kote wanataka kutusikia Watanzania tulio marekani tuna mawazo gani na chombo chako kingeweza kutumika mfano. unaweza kuweka topic na tukatoa mawazo kwa simu au tuka post video kama youtube halafu utataarifu kwamba mawazo yao yatarushwa hewani.
2. Anzisha section ya mahojiano na mipango ya kufanya umoja wa watanzania Amerika (mpaka canada) na uruhusu watu wa post plan zao za umoja wa Watanzania Marekani na watu wachangie.
3.Kuna Watanzania wengi hapa Marekani wamefanikiwa kufanya kazi sehemu nyeti mfano kuna Mtanzania ambaye ni Vice president kwenye Microsoft, na mwingine yuko kwenye Bill gates foundation, wengine ni ma dean na vice president wa vyuo mbalimbali. Ningeomba uwatafute hawa watu kwa mahojiano kwani maendeleo ya nchi yetu yatatoka kila mahali.
Kwa ufupi MJ nilikuwa naomba uwahusishe Watanzania wa hapa kwani tuna talent nyingi sana ambazo hatuzitumii vilevile maisha siyo siasa pekee. Nitafurahi kama utachukua mawazo yangu MJ. THANKS
 
Kamundu... I'm very open kwenye mambo haya. Na kwa vile sasa hivi tunataka kuiweka KLH kwenye next step (kuna mabadiliko kidogo yanafanyika) ni wazi kuwa KLH itaweza kabisa kuwa chombo cha habari na kuwaunganisha wabongo hapa kwa njia ya habari. Lakini siyo hapa tu, bali hata sehemu mbalimbali duniani. Wiki ijayo kama mambo yataenda ninavyotarajia tutaweka wazi mipango yetu na kuita ushirikiano wa mtu yeyote yule.

Tatizo kubwa kama unavyoweza kuguess ni kuwa support kubwa ya KLHN haitoki Marekani bali Ulaya! Na hii huwa inanishangaza sana. Ukiondoa watu wa kutoa "kudos" n.k ni gharama sana kufanya mahojiano, kusimamia n.k Watu wetu wa hapa wenyewe wangeweza kutusaidia tungekuwa mbali sana. Lakini vyovyote itakavyokuwa tutaweza kushirikiana na kuwa chombo cha ushirikiano. Hata hivyo, lengo letu kubwa kwa upande wa KLHN ni kugusa mawazo na fikra za Watanzania nyumbani, na lolote litakalosaidia kufikia lengo hilo, linaweza kufanyiwa kazi.
 
Kama mambo yatakuwa vizuri, kesho tutafanya majaribio ya kurusha matangazo yetu kupitia KLH News tukiwa na wajumbe kutoka Dodoma! Kuanzia majira ya saa nane mchana EST (-5GMT) sawa na saa Tatu za usiku East African Time.

Mada kubwa ni "Meremeta isiyometameta!"

Mnakaribishwa.

Yes, my dream! has come true!! Congrats!!
 
kwi kwi kwi!!!

I thought mjadala umefungwa na Mh. Waziri Mkuu!!!

By the way, hivi hotuba za Rais zimeishia wapi au nini mimi tu sifuatilii taarifa za vituo vya kuhabarisha?
 
Zipo mara ya mwisho alizungumzia mauaji ya albino! Siku hizi anazungumzia HIV, Malaria utafikiri amekuwa tabibu! Hataki tena mikutano ya maswali ya papo hapo kutoka kwa waandishi!
 
...lahaula!...:D

Muungwana hana bahati huyu... ha ha haa..
 
ngoja nicheki nitakuwa hewani sasa hivi... kuendelea na mambo unajua bado tunaendelea kutafuta license za miziki mingine mingi.
 
Back
Top Bottom