Ighombe
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 1,173
- 652
Ubinafsi naona kuregester online ni mpango wa wizara ya afya kukusanya data za waliochanja kupitia ile tovuti yao ya chanjo No matter ulichanjia kituo gani kwa maana ukishasajili kupitia kitambulisho kilichoidhinishwa yaani leseni au nida huwezi kurudia tena hivyo ukichanjia kituo chochote hutaadhiri takwimu.Lakini kwa nini waliruhusu kuregister watu online for Saturdays? Tuanzie hapo mkuu.