Jumamosi hii Zinduna Talk Show Madame B Mjengoni!

Zinduna

JF-Expert Member
Nov 6, 2011
2,378
3,379
nyota-ndogo-baraka-fm.jpg

Picha kwa hisani ya Madame B

Patakuwa hapatoshi, maana bibie kaahidi kufunguka na kumwaga radhi.
Asiye na mwana aeleke jiwe na mwenye wivu akufe atuache tupumuwe sie
 
Last edited by a moderator:
Twamsubiri huyo bibie Madam B ! Hakikisha yupo na maji ya kunywa ya kutosha maana pressure itakuwa ikipandapanda na kushuka kwa maswali

33561_107206476009899_100001616412253_64665_6095414_n+%281%29.jpg

Kwa upande wa maji wala usihofu, watakaohusika na jukumu hilo ni hao warembo hapo juu, kutoka kushoto ni charminglady, Ciello na Kipipi. wao watakuwa na jukumu kubwa la kutusaidia kupoozesha makoo yetu
 
Last edited by a moderator:
At last juhudi zangu zimezaa matunda,mamii Madame B naomba usijitokeze hadharani kwanza kuna watu nakuletea wakupatie training ya kuongea na hawa waandishi wa habari hiyo jumamosi

nyota-ndogo-baraka-fm.jpg

Picha kwa hisani ya Madame B

Patakuwa hapatoshi, maana bibie kaahidi kufunguka na kumwaga radhi.
Asiye na mwana aeleke jiwe na mwenye wivu akufe atuache tupumuwe sie
 
Last edited by a moderator:
33561_107206476009899_100001616412253_64665_6095414_n+%281%29.jpg

Kwa upande wa maji wala usihofu, watakaohusika na jukumu hilo ni hao warembo hapo juu, kutoka kushoto ni charminglady, Ciello na Kipipi. wao watakuwa na jukumu kubwa la kutusaidia kupoozesha makoo yetu

weraaaaaa weraaaaaaa..... Madame B na da Zinduna ondoeni shaka..... nishaanza kuwasiliana na Bakhresa so maji ya uhai yatakueepo ya kutosha... TBL pia hawapo nyuma nishawapatia quotation ya vinywaji ninavyovihitaji.... iwapo mtahitaji vinywaji tofauti na vinavyopatikana TBL na Bakhresa tafadhali wasilianeni na kamati husika kabla ya jumamosi!!!!!!!!!!!!!!!"
 
Last edited by a moderator:
kwi kwi kwi kwi! Zinduna la mgambo likilia............! khaaaaaaaa shoga angu ulikuwa wap mwenzio maji ya shingo yalinifka?? aaaawwww missed u bi dada!
kuhusu kumpamba huyo mrembo Madame B, usitie shaka wallahi! nitakuwa na timu nzima ya glambox kufanya mambo!!
 
Last edited by a moderator:
At last juhudi zangu zimezaa matunda,mamii Madame B naomba usijitokeze hadharani kwanza kuna watu nakuletea wakupatie training ya kuongea na hawa waandishi wa habari hiyo jumamosi

Wana lipi jipya la kum train huyo!?? kabobea pande zote, shauri yako we endelea kuitazama kwa wasiwasi Tisa ukadhani ni Sita!!
 
Last edited by a moderator:
Wana lipi jipya la kum train huyo!?? kabobea pande zote, shauri yako we endelea kuitazama kwa wasiwasi Tisa ukadhani ni Sita!!

Ha ha ha ha ha ha!!
Baba V mbona unakua mkweli sana?!
Wa kutrainiwa atakua Madame B? Mtu alimchamba Bi.Hindu na Bi.Chau mbele ya macho yangu hadi wakakimbia!! Chezea KINO weye!
Naisubirije hiyo show? Leo namuomba mzungu ruhusa mapemaaa nishiriko kikamilifu kwenye shoo.
 
Pamoko shosti, ngoja nikamilishe taratibu za kupata mkwanja wa vinywaji ili mambo yaende sawia
weraaaaaa weraaaaaaa..... Madame B na da Zinduna ondoeni shaka..... nishaanza kuwasiliana na Bakhresa so maji ya uhai yatakueepo ya kutosha... TBL pia hawapo nyuma nishawapatia quotation ya vinywaji ninavyovihitaji.... iwapo mtahitaji vinywaji tofauti na vinavyopatikana TBL na Bakhresa tafadhali wasilianeni na kamati husika kabla ya jumamosi!!!!!!!!!!!!!!!"
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha ha ha ha!!
Baba V mbona unakua mkweli sana?!
Wa kutrainiwa atakua Madame B? Mtu alimchamba Bi.Hindu na Bi.Chau mbele ya macho yangu hadi wakakimbia!! Chezea KINO weye!
Naisubirije hiyo show? Leo namuomba mzungu ruhusa mapemaaa nishiriko kikamilifu kwenye shoo.

Pamoko...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom