Jumamosi hii ya tarehe 8,12/2012 Kahama kutalipuka kwa maandamano

jembe la kigoma

Senior Member
Mar 23, 2012
119
19
Wakuu nimedokezwa keshokutwa jumamosi hii mji wa kahama utashuhudia maandamano na mkutano mkubwa wa hadhara kushinikiza migodi illiyoko kahama/Shinyanga kuchangia na kutoa huduma za kijamii kam umeme,maji,hospital na shule,kwani pamoja waliingia mikataba na jmii zinazozunguka mgodi wameshindwa kutekeleza ahadi yao,hasa Buzwagi na nimedokeza yanaratibiwa na CDM Shinyanga na kahama wakishirikiana na mwenykiti wa CDM tawi la SAUT mwanza,,ndugu na mwanasheria Pastrobasi Pascal,wakazi wa kahama wanaombwa kuungwa mkono ili watoe kilio chao.
 
Kama ni habari za ukweli hilo ni jambo jema lazima kivunwacho kirudishwe kwa wananchi
 
wakazi wa kahama wamelala mda mrefu kama mazombi ni wakati wao kuamka na kusimamia haki zao
 
mkuu Tanzania nzima wote tumelala kama mazombi, kwasababu mambo mengi hayako sawa nchini mwetu. Tunatakiwa wote kuamka sasa.
 
By Naibili<br />
wakazi wa kahama wamelala mda mrefu kama mazombi ni wakati wao kuamka na kusimamia haki zao
<br />
<br />
mkuu Tanzania nzima wote tumelala kama mazombi, kwasababu mambo mengi hayako sawa nchini mwetu. Tunatakiwa wote kuamka sasa.
100%, ukombozi wa Tanzania uko njiani
 
Ngoja jamaa zangu Waislamu wa kusini nao waanzishe maandamano kuhakikisha gesi inawafaidisha, Tanga nako mapato ya kodi mnayokusanya mpakani na bandari yenu anzisheni maandamano ili kuhakikisha kuwa mnafaidika navyo!

...si tugawaneni nchi tu yaishe?!
 
Wakuu nimedokezwa keshokutwa jumamosi hii mji wa kahama utashuhudia maandamano na mkutano mkubwa wa hadhara kushinikiza migodi illiyoko kahama/Shinyanga kuchangia na kutoa huduma za kijamii kam umeme,maji,hospital na shule,kwani pamoja waliingia mikataba na jmii zinazozunguka mgodi wameshindwa kutekeleza ahadi yao,hasa Buzwagi na nimedokeza yanaratibiwa na CDM Shinyanga na kahama wakishirikiana na mwenykiti wa CDM tawi la SAUT mwanza,,ndugu na mwanasheria Pastrobasi Pascal,wakazi wa kahama wanaombwa kuungwa mkono ili watoe kilio chao.

Tatizo ni Rais wetu MKAPA wakati wa kusaini hiyo MIKATABA hakuwalazimu WAWEKEZAJI kuimarisha MAENEO hayo kama KUJENGA barabara nzuri; Hospitali; Kutoa HUDUMA za KIJAMMI; SHULE zote hizo zingetakiwa kuwa kwenye MIKATABA lakini RAIS wetu hakuona HAJA...

Sasa, Wananchi Wanavyolazimisha kwa MAANDAMANO au Wafanyakazi KUGOMA; Inaonyesha kuwa TANZANIA sio INVESTORS FRIENDLY as we had already signed the Agreements...

NDIO MAANA wanataka KUUZA HIYO MIGODI -- KILA INVESTOR anataka kuuza na UNAJUA Hakuna Mnunuzi MWINGINE MWENYE PESA SASA HIVI kama WA-CHINA... Kwahiyo WATAWAUZIA WACHINA...

Na Unajua Wachina; Hawana HUO UPUUZI wa WAFANYAKAZI kugoma... Wanawaondoa na Kuleta WAFANYAKAZI wa KWAO wa KICHINA... WABONGO MNAPIGWA CHINI...

Na Unajua SERIKALI ya KIKWETE haiwezi kusema CHOCHOTE kwa KIKWETE sababu ya MIKOPO kila kitu wametupa kwa MIKOPO wametubana MIKONO YETU CHINI YA MIGUU YETU kwahiyo hatuwezi KUFURUKUTA kwa WACHINA...

Sasa Waambieni wapendwa WAFANYAKAZI wa KITANZANIA.... TUMEUZWA VIBAYA kama Wana KAZI ina lipa VIZURI WATULIE na HUYO MZUNGU KULIKO MCHINA AINGIE...

HAYA sasa UBOVU wa UONGOZI ni kama VILE wameturudisha kwenye UTAWALA wa KIKOLONI; lakini Wakija WACHINA hakuna kuendelezwa; angalau kuna VITANZANIA vilipelekwa NJE kwa MASOMO; Mishahara ni MIZURI kwa wote hadi wachimbaji; Kuna VIFAA vya KUTOSHA... Sasa HAPO mnatuletea VYAMA vya WAFANYAKAZI; Wazungu hawajui hayo; Wachina ANGALIA hawana VYAMA vya WAFANYAKAZI wafanyakazi wao WANAJIUA kila SIKU na ni WALE wanaotengeneza IPHONE za AMERICA

MTAONA... KILA MTU ATAKIMBIA...

JAMANI waaMBIENI HAO WABONGO waSIANDAMANE; WANAJIHARIBIA MAISHA YAO
NI BORA wasubiri 2015 Kama UONGOZI wa CHAMA CHOCHOTE kikishinda zaidi ya CCM;
Wanaweza ku-ongelea MAREKEBISHO ya MIKATABA na SIO CCM
 
Maandamano yana nia njema!! Lakini utasikia intelligensia inajiandaa na risasi na mabomu!!!
 
Madai ya wananchi yawe kwamba kuwe na re-negotiation ya mikataba yote ya kumiliki migodi ya madini, ili asilimia 51 ya shares zimilikiwe na Serikali au wananchi. Ama sivyo funga migodi yote, madini yabaki huko ardhini hadi hapo wananchi watakapopata utaalamu/mitaji ya kutosha kuiendesha.

Kama Mwalimu Nyerere alivyosema, madini hayo hayaozi. Yale yanayoendeshwa na wachimbaji wadogo wadogo, yakiuzwa nje fedha yote inarudi Tanzania.
 
Maandamano sio suluhisho. Mikataba imeshaingiwa mnataka mwekezaji afanya mambo ambayo hayamo kwenye mkataba?

Kama mnataka njia sahihi ni kushinikiza uongozi wa serikali uwajibike na sio kuvuruga shuguli za kiuchumi
 
Tatizo ni Rais wetu MKAPA wakati wa kusaini hiyo MIKATABA hakuwalazimu WAWEKEZAJI kuimarisha MAENEO hayo kama KUJENGA barabara nzuri; Hospitali; Kutoa HUDUMA za KIJAMMI; SHULE zote hizo zingetakiwa kuwa kwenye MIKATABA lakini RAIS wetu hakuona HAJA...

Sasa, Wananchi Wanavyolazimisha kwa MAANDAMANO au Wafanyakazi KUGOMA; Inaonyesha kuwa TANZANIA sio INVESTORS FRIENDLY as we had already signed the Agreements...

NDIO MAANA wanataka KUUZA HIYO MIGODI -- KILA INVESTOR anataka kuuza na UNAJUA Hakuna Mnunuzi MWINGINE MWENYE PESA SASA HIVI kama WA-CHINA... Kwahiyo WATAWAUZIA WACHINA...

Na Unajua Wachina; Hawana HUO UPUUZI wa WAFANYAKAZI kugoma... Wanawaondoa na Kuleta WAFANYAKAZI wa KWAO wa KICHINA... WABONGO MNAPIGWA CHINI...

Na Unajua SERIKALI ya KIKWETE haiwezi kusema CHOCHOTE kwa KIKWETE sababu ya MIKOPO kila kitu wametupa kwa MIKOPO wametubana MIKONO YETU CHINI YA MIGUU YETU kwahiyo hatuwezi KUFURUKUTA kwa WACHINA...

Sasa Waambieni wapendwa WAFANYAKAZI wa KITANZANIA.... TUMEUZWA VIBAYA kama Wana KAZI ina lipa VIZURI WATULIE na HUYO MZUNGU KULIKO MCHINA AINGIE...

HAYA sasa UBOVU wa UONGOZI ni kama VILE wameturudisha kwenye UTAWALA wa KIKOLONI; lakini Wakija WACHINA hakuna kuendelezwa; angalau kuna VITANZANIA vilipelekwa NJE kwa MASOMO; Mishahara ni MIZURI kwa wote hadi wachimbaji; Kuna VIFAA vya KUTOSHA... Sasa HAPO mnatuletea VYAMA vya WAFANYAKAZI; Wazungu hawajui hayo; Wachina ANGALIA hawana VYAMA vya WAFANYAKAZI wafanyakazi wao WANAJIUA kila SIKU na ni WALE wanaotengeneza IPHONE za AMERICA

MTAONA... KILA MTU ATAKIMBIA...

JAMANI waaMBIENI HAO WABONGO waSIANDAMANE; WANAJIHARIBIA MAISHA YAO
NI BORA wasubiri 2015 Kama UONGOZI wa CHAMA CHOCHOTE kikishinda zaidi ya CCM;
Wanaweza ku-ongelea MAREKEBISHO ya MIKATABA na SIO CCM

Well said mkuu bt wafanyakazi hawawezi kukaa kimya wakati wanaumia vivo hivyo kwa jamii ziaozunguka migodi na maeneo mengine ya uwekezaji, kimsingi serikali imeonesha udhaifu kwa kutowasimamia wawekezaji na mikataba yenyewe.
 
Kama MAANDAMANO yao ni kupatiwa VIFAA BORA vya KUFANYIA kazi MORE POWER 2 THEM...

Lakini MAANDAMANO yakiwa ni sawa na yale ya BARRICK GOLD ya kudai MARUPURUPU na SACCOS na Sijui PPF na kuacha kwenda KAZINI kwa Sababu ya HAYO MAMBO; Hapo ni HATARI kweli...

NDIO HAPO wawekezaji HAWAONI HAJA ya KUWEKEZA na WANAAMBIANA TANZANIA sio PAZURI kuwekeza...
Watakuwa wanakuja WALAFI WACHINA na WANALETA WAFANYA KAZI wa KWAO...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom