jembe la kigoma
Senior Member
- Mar 23, 2012
- 119
- 19
Wakuu nimedokezwa keshokutwa jumamosi hii mji wa kahama utashuhudia maandamano na mkutano mkubwa wa hadhara kushinikiza migodi illiyoko kahama/Shinyanga kuchangia na kutoa huduma za kijamii kam umeme,maji,hospital na shule,kwani pamoja waliingia mikataba na jmii zinazozunguka mgodi wameshindwa kutekeleza ahadi yao,hasa Buzwagi na nimedokeza yanaratibiwa na CDM Shinyanga na kahama wakishirikiana na mwenykiti wa CDM tawi la SAUT mwanza,,ndugu na mwanasheria Pastrobasi Pascal,wakazi wa kahama wanaombwa kuungwa mkono ili watoe kilio chao.