Juma Nkamia Yuwapi?

nilisikia alikuwa na bifu na marine hassan,wenye data tujulisheni what was wrong with those two chaps?
 
Ndoto zake za ubunge zilichangiwa na kutokuona mwanga mbele yake akilinganisha maisha yake na wenzake walopmpiga gape (voa na bbc) akadata kabisa akaona sasa mbona hawa wabunge wetu kama wanatanua tuu hawana lolote wako kama mimi tu ngoja nijaribu nami....ila sasa amepata mwanga wa maisha bora angalau ajitahidi kwanza kuwa standatd level kimaisha.....then afanye savings aone kama ataweza kuzipeleka pesa zake za jasho kwa wapiga kura na wapiga debe kondoa....labda 2015 ila asijaribu ataumbuka!!
 
Back
Top Bottom