Juma Nkamia: Ni nani wamiliki wa mitandao inayokashifu viongozi?

nkamia anahoji hivyo kwa sabau one day hapa ililetwa habari kuwa jamaa alikuwa na wanawake wawili huko kondoa kwenye hoteli aliowatoa dar akidai ni waandishi wa habari anaenda nao jimboni kwake ili waandike shughuli za maendeleo jimboni kwake..kumbe ni uongo wale walikua ni malaya kawatoa da na alikaa nao guest kwa mda wote aliokaa kondoa....
 
Hawawezi kuifungia,watanyimwa misaada kwa kukandamiza uhuru wa kutoa maoni.Kuna matusi kama huko bungeni?waanzie huko,bunge ni a joke.
 
nimemsilikiliza NKmia nikama alitutupia dongo jf lakin ajue kabisa hapa kwamba lugha za matusi hatutumii kabisaaa hapa huwa tunaongea kweli na tena kweli tupu na tunakosoa kwa akili sana hadi mtu analioana kosa mbona jamani hata sisi wenyewe tunakosoana humu? mbona wengine hatulalamiki? ama ukweli ndo tatizo? basi tuwe tunamuaaongopea basi anapokosea ili apate sifa anazozitaka
 
Kabla Nkamia hajawa mbuge nilikuwa namkubali sana lakini tangu apate uheshimiwa kila anapopata nafasi ya kuchangia amekuwa akionesha udhaifu hasa kwa kushindwa kutambua upana na wigo wa demokrasia ya vyama vingi!
 
Tanzania tuna bahati mbaya sana. Inawekuje tuna wabunge vijana wenye mawazo ya kizamani hivi? Juma Nkamia na exposure yote bado analeta siasa za kizamani hivyo? Inasikitisha! Anayekashifiwa si aende mahakamani? Nini maana ya utawala wa sheria?
Mkuu FJM, Juma Nkamia ni mchumia tumbo, kuna siku amesimama bungeni kutoa taarifa kuwa mbunge mwenzie wa upinzani alikosea kusema ukosefu wa ajira Tanzania unatokana na sera mbovu za CCM. Yeye Nkamia alisema Marekani wanatatizo la ukosefu wa ajira na CCM haiko huko! Kwa hiyo unaweza kuona jinsi alivyo mtupu kichwani mwake.
 
Au tuibue tena ile thread nini?

Amuulize Mbunge mwenzie Mama Rwakatare aone mvua ya mawe aliyoipata hapa majukwaani baada ya kujaribisha bila mafanikio Kuishambulia JF ndani ya Bunge. Hakika siku hiyo watu walienda kwenyw archives za skendo za huyo Mama, wakazileta, naamini siku hiyo aliomboleza sana na kukemea 'pepo' la JF.

Sasa Nkamia asipende kuumbuka bure, wakati anajijua hana hoja bungeni zaidi ya kutumia Ubunge kufanya Umalaya ndani ya jimboni lake. Shame on poor him.
 
Juma anaambiwa obama ukweli utakuwa wewe bana! Kama ume hambuliwa hapa jukwaani fanya kama changamoto ili ukajipange badae utakuwa mwana siasa bora, jf inatoa elimu buree tena nakushauri jiunge faster utakuwa kiongozi bora
 
Juma Mkamia, kwanza unatakiwa ujue kuwa dunia ya zamani sio ya sasa mitandao ya kijamii ipo karibia dunia nzima tena Tanzania tumechelewa nashangaa wewe fani yako ni muandishi wa habari halafu hujui maana ya forum...hivi unataka huko bungeni mnavyokaa kupanga jinsi ya kujiongezea posho zenu sisi wananchi tusipashane habari, tofautisha kuelezwa ukweli na kukashifiwa kiongozi gani kakashifiwa....wamiliki wa hii mitandao ni sisi wananchi pamoja na wapiga kura wako wa Kondoa waliokuweka wewe bungeni.
 
Walau J Nkamia kazindika usingizini, maana tangu achaguliwe, hajatoa mchango wowote bungeni, hadi wapiga kura wake walistuka kama kweli yupo. Nadhani sasa wapiga kura wake wamemsikia yupo bungeni pia, hata kama kachangia pumba.
 
Tanzania tuna bahati mbaya sana. Inawekuje tuna wabunge vijana wenye mawazo ya kizamani hivi? Juma Nkamia na exposure yote bado analeta siasa za kizamani hivyo? Inasikitisha! Anayekashifiwa si aende mahakamani? Nini maana ya utawala wa sheria?

Tatizo ni kuwa wengi wakishaingia bungeni basi wanadhani hawastahili kusemwa kwa sababu wao ni bora kuliko sisi tulioko huku nje-ni wakti muafaka sasa wakijua kwamba hatuogopi makunyanzi, tunapiga za uso tu kwa yeyote asiye deliver!!
 
Uk au US kuna mitandao ambayo ina kashfu kubeza na kutukana viongozi but kamwe huoni hiyo mitandao kufungwa.. Bongo ndo mnajidai kukasirika.. U better get used to the criticism my dear ones coz if u cant take it then u shudnt really b in politics.. Welcome to the liberal world...
 
Ivi nan kamloga uyo jamaa?? Ccm kwel kiboko ya vilaza!! Whl yupo ktk habari,alikuwa na akili nzuri,ila siku izi zimeisha!
 
Back
Top Bottom