Juma Nkamia, baada ya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri - Muswaada wako utaendelea nao?

Baraza la mawaziri limeshatajwa najua Si habari nzuri kwa Nkamia. Kujipendekeza hakukufanyi ukateuliwa. nataka nimuulize Mhe. Kama ule mswaada wake kutaka kuongeza muda wa bunge na Urais kama ataendelea nao.Wanasiasa wa Tanzania mtatukwamisha sana kwa maslahi yenu. Nchi za wenzetu wanakimbia wafrika bado hatujielewi.

alafu kuna haka kajamaa kingine kalikuwepo Yanga kanabwajaja na wakina Manara..njaa imekashika..kanamwaya mwaya tu.Alafu chama chenu kinakajibu..yaani unapataje airtime unamuongelea yule kajanja, leo mnapa umaarufu wa kijinga, siyo kila mtu wa kujibu kwenye medani za kisiasa.

mnafanya anakuwa relevant..Wapuuzi hawajibiwi.

Tanzania watu wa matukio..

pray for lisu,

NAJUA LISU LEO ANGETOA KAULI KUHUSU MAONI YAKE YA BARAZA LA MAWAZIRI NADHANI INGE BREAK INTERNET.
Huyo Nkamia akaupeleke huo muswada kwao kondoa wakaujadili maana baraza la mawaziri tayari limeshatangazwa na mamsap keshachukua wizara ya madini
 
Back
Top Bottom