Juma Nkamia, baada ya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri - Muswaada wako utaendelea nao?

sifuri

Senior Member
May 12, 2013
154
88
Baraza la mawaziri limeshatajwa najua Si habari nzuri kwa Nkamia. Kujipendekeza hakukufanyi ukateuliwa. nataka nimuulize Mhe. Kama ule mswaada wake kutaka kuongeza muda wa bunge na Urais kama ataendelea nao.Wanasiasa wa Tanzania mtatukwamisha sana kwa maslahi yenu. Nchi za wenzetu wanakimbia wafrika bado hatujielewi.

alafu kuna haka kajamaa kingine kalikuwepo Yanga kanabwajaja na wakina Manara..njaa imekashika..kanamwaya mwaya tu.Alafu chama chenu kinakajibu..yaani unapataje airtime unamuongelea yule kajanja, leo mnapa umaarufu wa kijinga, siyo kila mtu wa kujibu kwenye medani za kisiasa.

mnafanya anakuwa relevant..Wapuuzi hawajibiwi.

Tanzania watu wa matukio..

pray for lisu,

NAJUA LISU LEO ANGETOA KAULI KUHUSU MAONI YAKE YA BARAZA LA MAWAZIRI NADHANI INGE BREAK INTERNET.
 
Usidhani ameangukia pua,sizonje ameshindw kump cheo saiv bt atampa tu it is just a matter of time.ameogop tu hoja isionglew sn
 
KWANZA NKAMIA ALISHAAMBIWA NA ANKO KUWA ANAPENDWA NA ANTI HIZI HAZIKUWA HABARI NJEMA KWA ZUZU NKAMIA.
 
Baraza la mawaziri limeshatajwa najua Si habari nzuri kwa Nkamia. Kujipendekeza hakukufanyi ukateuliwa. nataka nimuulize Mhe. Kama ule mswaada wake kutaka kuongeza muda wa bunge na Urais kama ataendelea nao.Wanasiasa wa Tanzania mtatukwamisha sana kwa maslahi yenu. Nchi za wenzetu wanakimbia wafrika bado hatujielewi.

alafu kuna haka kajamaa kingine kalikuwepo Yanga kanabwajaja na wakina Manara..njaa imekashika..kanamwaya mwaya tu.Alafu chama chenu kinakajibu..

chadema watu smart siku hiz mmepungua ..yaani unapataje airtime unamuongelea yule kajanja, leo mnapa umaarufu wa kijinga, siyo kila mtu wa kujibu kwenye medani za kisiasa.

mnafanya anakuwa relevant..Wapuuzi hawajibiwi.

Tanzania watu wa matukio..

pray for lisu,

NAJUA LISU LEO ANGETOA KAULI KUHUSU MAONI YAKE YA BARAZA LA MAWAZIRI NADHANI INGE BREAK INTERNET.
Nkamia ni mujahidina!!
 
"Usimwamini MwanaSiasa yoyote - Mh. Zitto Kabwe".
Sijui alijihesabu yeye si MwanaSiasa.
Huu mswada ni wa kuupinga kwa nguvu zote.

Baraza la mawaziri limeshatajwa najua Si habari nzuri kwa Nkamia. Kujipendekeza hakukufanyi ukateuliwa. nataka nimuulize Mhe. Kama ule mswaada wake kutaka kuongeza muda wa bunge na Urais kama ataendelea nao.Wanasiasa wa Tanzania mtatukwamisha sana kwa maslahi yenu. Nchi za wenzetu wanakimbia wafrika bado hatujielewi.

Uwaziri umekosa..safi sana.
 
Mimi ni CCM ila huyu jamaa ni hamnazo kabisa, unajua kuna watu wanazeeka wanakuwa na busara huyu anazeeka akili zinaamia mk****ni.
 
Baraza la mawaziri limeshatajwa najua Si habari nzuri kwa Nkamia. Kujipendekeza hakukufanyi ukateuliwa. nataka nimuulize Mhe. Kama ule mswaada wake kutaka kuongeza muda wa bunge na Urais kama ataendelea nao.Wanasiasa wa Tanzania mtatukwamisha sana kwa maslahi yenu. Nchi za wenzetu wanakimbia wafrika bado hatujielewi.

alafu kuna haka kajamaa kingine kalikuwepo Yanga kanabwajaja na wakina Manara..njaa imekashika..kanamwaya mwaya tu.Alafu chama chenu kinakajibu..

chadema watu smart siku hiz mmepungua ..yaani unapataje airtime unamuongelea yule kajanja, leo mnapa umaarufu wa kijinga, siyo kila mtu wa kujibu kwenye medani za kisiasa.

mnafanya anakuwa relevant..Wapuuzi hawajibiwi.

Tanzania watu wa matukio..

pray for lisu,

NAJUA LISU LEO ANGETOA KAULI KUHUSU MAONI YAKE YA BARAZA LA MAWAZIRI NADHANI INGE BREAK INTERNET.

Kigwa mzee wa nje ya box sidhani km Uwaziri wa Maliasili anafaa nafasi imemzidi hii
Kairuki - Madini..majukumu makubwa sana kwake huyu mdada

sidhani km kuna jipya.
 
Kati ya wizara xinazohitaji watu makini na wenye weledi Ni madini nishati na utalii...utalii utakufa nakuambia magwangala ndo yupo..madini najua ndo sehemu pekee maraisi wanajimilikisha so sishangai kupewa mtu WA hovyohovyo
 
politicians.jpg
IMEKULA KWAKE! MIAKA SABA HATAKI TENA.UWAZIRI WA KUSUBIRI MIAKA SABA MINGINE HATAWEZA SASA ATAINGIA KAMBI YA GOLI LA MKONO NA BASHE!! URAIS BAHATI MBAYA! MIAKA MITATU MITATU!
 
Kigwa mzee wa nje ya box sidhani km Uwaziri wa Maliasili anafaa nafasi imemzidi hii
Kairuki - Madini..majukumu makubwa sana kwake huyu mdada

sidhani km kuna jipya.
JUKUMU LAKE KUBWA NI KUTOKUIBA TU! JUKUMU AMBALO MAPROFESA WOTE WAMESHINDWA NGOJA MAMA NAYE AKAJARIBU
 
Kigwa mzee wa nje ya box sidhani km Uwaziri wa Maliasili anafaa nafasi imemzidi hii
Kairuki - Madini..majukumu makubwa sana kwake huyu mdada

sidhani km kuna jipya.
Nimefurahi sana mama huyu kupewa madini maana wizara itakuwa ya rais. Si unajua mama ni wa kuambiwa cha kufanya.
Wizara itaenda vyema.
 
Back
Top Bottom