Juma Nature nae atapokelewa Marekani kama Lil Kim?

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,148
Juma nature nae atapokelewa marekani lil kim?????
Refer thread-lil kim akiwa leaders
je wakweetu aatapewa ulinzi kama huyu anavyozungukwa na mabaunsa??
 
wakiwa wote atakuwa na ulinzi wa mabaunsa wa huyo dada... muhimu asitapeliwe kama Nancy Sumari!!! promo kubwa inayoishia utapeli!!
 
macelebrity wa marekani incomparable na yeyote duniani. kuna mmoja wa bongo alimtumia msg snoop kwenye blog yake akijitambulisha kama snoop wa bongo; what happened? mshikaji alitumiwa na snoop picha ya kiganja chenye vidole vyote vilivyokunjwa isipokuwa cha kati. upo hapo? jamaa akakoma kujiita snoop wa bongo.




sasa hii ya huyu bwana huyu (aliyewahi kuoa na kutaliki kwa mzee mwalubadu; mzee yule mfupi maarufu kwa kuvua ngadu) kwa vyovyote haitakuwa na uhusiano wowote ya ya huyo lil kim kwani qibla uwezo wake umeanzia kwa jk, kisha kwa kibaki, museveni, kagame, nkurunzinza na kwa madiba.
 
Back
Top Bottom