Juma Nature : Club wisk maji na Bia Ukizubaa wanakuchanganyia, ilikuwa Track moja kali sana

Dah shukrani mkuu.. umenikumbusha way back! saigon plus nature mpishi ni majani walitisha sana ilo goma dk 5 sio nyimbo za siku hizi dk 3 tu halafu stanza moja msanii kairudia kama mara 3..... kweli old is gold.
 
Na matusi ya kutosha..
 
Back
Top Bottom