Juma mkambi-general afariki dunia

Balantanda

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2008
Messages
12,373
Likes
1,103
Points
280

Balantanda

JF-Expert Member
Joined Jul 13, 2008
12,373 1,103 280
Mshambuliaji mahiri wa zamani wa timu ya Yanga na Taifa Stars Juma Mkambi 'Jenerali' amefariki alfajiri ya leo...Marehemu alikuwa akisumbuliwa na maradhi ya tumbo kwa takribani wiki mbili sasa na atazikwa katika hospitali ya Tumbi Kibaha kabla ya kuhamishiwa hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa matibabu zaidi.....Habari zadi juu ya mazishi yake tutajuzana....R.I.P Jenerali JUMA MKAMBI
 

Superman

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2007
Messages
5,702
Likes
103
Points
160

Superman

JF-Expert Member
Joined Mar 31, 2007
5,702 103 160
Yule mchezaji wa yanga na timu ya taifa juma mkambi afariki dunia ktk hospital ya taifa mhimbili jana usiku,RIP
Duh! Kama ni kweli basi kifo hakina hodi. Huyu jamaa jana mchana alikuwa anahojiwa live kwenye kipindi cha Ben na Maimatha TBC na alikuwa OK. Ama kweli hujafa hujaumbika.

RIP.
 

Forum statistics

Threads 1,203,057
Members 456,572
Posts 28,098,089