Juma Jux anahitaji support yetu leo than ever

Af mko subjective sana...ujute Juma hakuwa na mpango wowote na V sio long term sio kuzaa nae.

So vitakavyo fata apo ni kelele tu ndo ninazo ziona hapa. Nasemajee Jogoo hafi kwa utitiri. Yan mnamtishia Juma kisa Ve kabeba mimba!!!? Camoon guys!!! Hii ishu ntashangaa sana Wanaume wakiushadadia kwa kuunga mkono hoja ya mleta mada...

Fanya vingine vyote ila Jogoo hafi kwa utitiri. Maana ata ivyo mmewaza upande wa Vanesa kisa kabeba mimba, watu ndoa zinavunjika nyie mnaongelea mimba? Na istoshe mnamtishia EX wake?
 
Wewe umejuaje jux ameumia? Kwani upo kwenye moyo wake? Acha vitu vingine vikupite mzee baba
Mi ndo nnapo shangaa kwa kweli...af watu wako bize kumsema Jux. Sasa kama hakuwa na mpango wa kuzaa na Vanessa je? worse ukute chanzo cha Jux kumkataa V ni kutaka kuzaa nae...ni bora kuwa neutral tu wasipendelee upande mmoja mana hawajui maisha yao yalikuaje na Mioyo yao sasa ivi ipoje
 
Af mko subjective sana...ujute Juma hakuwa na mpango wowote na V sio long term sio kuzaa nae.

So vitakavyo fata apo ni kelele tu ndo ninazo ziona hapa. Nasemajee Jogoo hafi kwa utitiri. Yan mnamtishia Juma kisa Ve kabeba mimba!!!? Camoon guys!!! Hii ishu ntashangaa sana Wanaume wakiushadadia kwa kuunga mkono hoja ya mleta mada...

Fanya vingine vyote ila Jogoo hafi kwa utitiri. Maana ata ivyo mmewaza upande wa Vanesa kisa kabeba mimba, watu ndoa zinavunjika nyie mnaongelea mimba? Na istoshe mnamtishia EX wake?
Shida ni kwamba Jux hajatuonyesha mwanamke wake mwenye mimba!!
 
Mi ndo nnapo shangaa kwa kweli...af watu wako bize kumsema Jux. Sasa kama hakuwa na mpango wa kuzaa na Vanessa je? worse ukute chanzo cha Jux kumkataa V ni kutaka kuzaa nae...ni bora kuwa neutral tu wasipendelee upande mmoja mana hawajui maisha yao yalikuaje na Mioyo yao sasa ivi ipoje
Yaliyomo Yamo
 
Baada ya Rotimi kuchafua hali ya hewa huko Insta hatimaye dua za Jux zimekua dua za Kuku, kiukweli wengi hawakutaraji na hata Jux mwenyewe alijua dada yetu anafanyiwa window shopping tu nakuachwa kimasihara ... hatimae limepumzishwa jiwe la magram yakutosha kwenye kidole cha dada yetu , na hii ni ishara ya mahaba ya motomoto kwa hii couple bora inayotrend vyombo vyote vya habari vinavyoaminiwa na kutiwa chumvi na vya udaku!!, Mabaharia wa Dar popote mlipo msaidieni kijana wetu anapitia wakati mgumu sana na ilihali wengi tumeanza kwa kusherekea mwaka mpya yeye ameshaungana na walio wachache ambao Mwaka umeshaanza kushoto, Mabaharia mkichemka Juma jux karibu Gardaworld tunahuduma za Ambulance na rescue 24 hours ukihisi amani ya moyo inatoweka bonyeza panic Button yetu nasisi tutahakikisha upo katika mikono salama.

Mapenzi Mapenzii Mapenzi hayaa ole maamaaa na log off

Huenda hata wema sepetu anazaa sema ndio Watu wa Dar ndio kama Jux
 
Karne hii ya 21,Bado Kuna wanawake wanajivunia kuolewa/kuchumbiwa!!what a shame!ingekuwa ina maana zaidi Kama Vmoney angekuwa amepiga deal kubwa la mkwanja mrefu,Ili awe model kwa dada zetu nyumbani,sasa Kama Vmoney na exposure aliyonayo ameona kuvalishwa pete,ndio jambo kubwa la kuwaambia wadogo zake wa kike,hapa bongo,sasa hebu fikiria wale wasio hata na ajira wataishi vipi?
Mwanamke kiolewa ni zaidi ya kupiga dili kubwa. Kama wewe ni mwanamke basi haujitambui sawa sawa bado soon utaelewa ila kama ni mwanaume then hujui ulisemalo!
 
Back
Top Bottom