Juma Duni Haji: CCM wameungana kwa ajili ya Urais 2015 si kutumikia wananchi

Kwa nini humshangai baba yako wa Taifa pamoja na kelele nyingi za Ujamaa na kujitegemea kaenda fia kwenye Taifa la kibepari alilowahi hata kufikia kuvunja nalo uhusiano wa kibalozi 1965 Uingereza?

nyerere kazikwa butiama mkuu au umesahau
 
Mtoto wa dada yake Salmin? Hivi Duni hakuwa miongoni mwa waliowekwa kizuizini na Salmin?

Ndiyo aliwekwa 'Ditected' pamoja na kina Maalim Seif na ndipo alipotakiwa Salmin (Raisi) awaache huru sababu yupo Mjomba wake lakini jibu lake lilikua: "Waachiwe wabaki huko huko ndani kwa vile wao si mapapai hawatooza!". Huyo ndiyo Komandooo lakini sasa yupo ndani amefungiwa kamba akitaka kuenda sehumu kama Chooni nk anazifuata kwa kupata MUONGOZO. Chezea Mungu weweee!
 
Mpuuzi tu huyu. Mbona chama chake cha CUF kina ubaguzi dhidi ya W akristo? Rejea kauli ya Jussa.

Wewe ni zaidi ya watoto wanaozaliwa kwa njia za wazee kukutana katika GUEST HOUSES, maoni na michangilio yako mengi yanajidhirisha hivyo. Bila Shaka una 'strees' za maisha ndomaana unatupa maneno hovyo hovyo, unahitaji Ushauri nasaha.
 
Back
Top Bottom