Juma Ali Khatib: Vyama vya siasa viache kutoa mashinikizo kwa Rais Samia ikiwemo madai ya katiba mpya

Vipaumbele vya serikali vinapolalamikiwa na wapiga kura vinasikilizwa na nani?Je,iwapo serikali iliwadharau wapiga kura na kuzichakachua kura zao wanaenda kulalamikia wapi?
Swala langu lengine ni kwako Mwenyekiti,kama utakuwa muungwana utanijibu na hili.Je,wewe Mh.Juma Ali Khatib ni mwanachama wa chama gani cha siasa hapa Tanzania?
Huyo ni CCM kama CCM wengine
 
Kwa ufupi;

Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa nchini, Juma Ali Khatib amevitaka vyama vya siasa kuacha kutoa mashinikizo kwa Rais Samia ikiwemo madai ya katiba mpya na kutishia kufanya maandamano, kwani hivyo sio vipaumbele vya serikali vinavyotokana na matakwa ya wapiga kura.
Duh
 
Only in Tz utakumbana na mijitu mikubwa kiumri lakin haina akiri, inafanya kazi kwa mujibu wa aliyeyapa utapiamlo!
Badala ya kutusikiliza sisi tunaomwambia adui yake wanaganga njaa ya leo-Rushwa(kuahidiwa madaraka,fedha,fadhila,vitisho au kubambikiwa).

CCM wana mbinu nyingi wao wanasema hicho kibuyu cha mbinu chafu za kuwabakiza madarakani at any cost hawajatumia hata nusu ya matunguri yaliyomo.Hatari na nusu!

Bila Katiba Mpya: Watanzania tumekwisha,sasa hivi ni mwendo wa kukamata kula mwenye muonekano wa kuwaunganisha Watanzania katika Dai lao la Katiba. Ujasiri waliouonyesha wenzetu kama Mh.Mbowe na wenzake hakuna budi kuungana nao.
 
Tatizo ni pale criticisms zinapogeuka kuwa matusi na kumwambia mwaka huu hamalizi anakufa

..Ni kwasababu ya uonevu wa CCM dhidi ya wapinzani.

..Kama Maza hataki kujadili katiba, kwanini azuie vyama vingine kuelimishana na kujadili katiba?
 
..Ni kwasababu ya uonevu wa CCM dhidi ya wapinzani.

..Kama Maza hataki kujadili katiba, kwanini azuie vyama vingine kuelimishana na kujadili katiba?
Kama umemsikia kwenye mahojiano ya Kikeke vyama vinaruhusiwa kukutana kwenye vikao vyao vya kikatiba, na mna vikao vikao vingi sana vya kikatiba kuanzia taifa mpaka kata, why msivitumie hivyo kuwaelimisha wanachama wenu and nao wawe maagent huko mitaani? Mbowe kazunguka nchi nzima na CHADEMA digitali na haki alizuiwa? Si alifanya press akasifia polisi.

Ishu hapa ni kuwa hii mikutano ya hadhara na makongamano ni njia rahisi na ya wazi ya wajanja wachache ndani ya chama kula hela (kupitia posho mbalimbali za safari), kutengeneza halali ya kuomba hela kwa hao wanaowapa hizo hela na kuhalalisha matumizi haramu ya fedha.
 
..kuna tatizo la wenyeviti wa ccm ku'dictate vyama vya siasa vifanye nini, na visifanye nini. Na mara nyingi sana sheria zimekuwa zikipuuzwa na kinachofuatwa na matakwa na matamko binafsi ya wenyeviti wa ccm.

..jpm alisema mikutano ya ndani inaruhusiwa kwa vyama vya upinzani. Wakati huohuo ccm waliruhusiwa kufanya mikutano ya ndani na mikutano ya hadhara.

..ssh mwanzo aliruhusu mikutano ya ndani, na kukataza mikutano ya hadhara. Sasa baada ya kuona mikutano ya ndani ina hamasa amegeuka anadai kinachoruhusiwa ni " vikao vya kikatiba ." Wakati akisema hivyo ccm wako free kufanya wanavyotaka.

..suala la makongamano na mikutano ya hadhara umelipinga ukidai ni " uchochoro " wa vyama vya upinzani kupata fedha toka kwa wafadhili na " kuzipiga. "

..Kuhusu misaada hata serikali kuu inapata misaada. Sioni sababu ya ccm kupinga misaada kwa vyama vya upinzani wakati na wao / ccm wanapokea misaada toka nje na mabilioni ya ruzuku toka serikalini.

..Jambo la msingi ni kuwa na haki sawa kwa Watanzania wote. CCM wawatendee wapinzani vile ambavyo wao wangependa watendewe.
 
Back
Top Bottom