OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,158
- 103,594
Intelijensia yangu inaniambia uongozi wa Yanga umeanza chokochoko za kukataa kucheza July 3. Wameanza kuwatumia vijana wa mitandao na wachambuzi takataka kutuma ujumbe wao.
Tunaomba Simba iongee na TFF wabadili kidogo kanuni. Tucheze na Yanga ila point 3 wapewe Yanga. Tunataka utopolo wakose sababu.
Halafu mashabiki wa Simba Sc nao wapunguze vitisho kwa Yanga ili kushusha pressure