July 3; Yanga mcheze na sisi ila point wapewe Yanga

Bro sio chokochoko,bali ni wazi kabusa yanga wamesema teh 3 hawapeleki timu uwanjani hadi tff watatue mambo 8 ambayo yanga wanayalalamukia na tff hawajayatatua
Kanuni ziko wazi wasipoleta timu uwanjani Simba anapewa point tatu, lakini sisi tunawataka uwanjani tuwadhihirishie kuwa hawajui
 
View attachment 1795234

Intelijensia yangu inaniambia uongozi wa Yanga umeanza chokochoko za kukataa kucheza July 3. Wameanza kuwatumia vijana wa mitandao na wachambuzi takataka kutuma ujumbe wao.

Tunaomba Simba iongee na TFF wabadili kidogo kanuni. Tucheze na Yanga ila point 3 wapewe Yanga. Tunataka utopolo wakose sababu.

Halafu mashabiki wa Simba Sc nao wapunguze vitisho kwa Yanga ili kushusha pressure
Naona wenge la kutolewa na Keizer halijatulia vizuri.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom