Kudadadeki
Member
- Oct 7, 2010
- 70
- 3
Wakuu, sijamsikia wala kumuona kwa muda mrefu "mpiganaji" Julius Nyaisanga kitambo sasa.
Hata Igongwe Bar simuoni tena. Mwenye updates please....
Hata Igongwe Bar simuoni tena. Mwenye updates please....
Nini kilimtoa ITV/Radio wani? na ni kwa nini wengi wanatimka huko?
Manji alimuingiza mkenge enzi za Papa vs Nyangumi
Habari zisizo rasmi zinasema alikosana na boss wake Joyce akaamua kuacha kazi. Alituhumiwa kuwa mlevi pamoja na mengine
hayo mengine ni yapi?
Na hawa damu changa waliotimka nao kunani huko ITV?
Jamaa alikuwa ni mvutaji mzuri sana wa sigara(sijui siku hizi kama kaacha).Na inasemekena wavutaji wengi ni wapenda totozi so hayo mengine inawezekana ni yalee mambo yetu yale.
Huyu ndugu hayuko Abood. Hakuna mtangazaji huyu isipokuwaa kama ana kazi nyingine hapo
Acheni wehu huyu uncle J yupo DW Radio Ujerumani.
Sikilizeni DW Radio Ithaa ya kiswahili utampata huko mbina waswazi mana mambo nyie?
Aliacha kazi R1 kwa notice ya 24hrs. Akajiunga na DW Radio kipindi kifupi.Wakuu, sijamsikia wala kumuona kwa muda mrefu "mpiganaji" Julius Nyaisanga kitambo sasa.
Hata Igongwe Bar simuoni tena. Mwenye updates please....
JF...ILIKUWA ZAMANI BWANA.....HAPA ILIKUWA SERA YA MKAPA...UWAZI NA UKWELI.....na kweli great thinkers ilikuwa na maana stahikiMbona siwaelewi mara yupo DW mara Abood sasa tumuamini nani?