Julius Nyaisanga

Kudadadeki

Member
Oct 7, 2010
70
3
Wakuu, sijamsikia wala kumuona kwa muda mrefu "mpiganaji" Julius Nyaisanga kitambo sasa.

Hata Igongwe Bar simuoni tena. Mwenye updates please....
 
Nini kilimtoa ITV/Radio wani? na ni kwa nini wengi wanatimka huko?
 
Enzi hizo RADIO 1.....1997

Radio+One+Dream+team+1995.jpg
 
Habari zisizo rasmi zinasema alikosana na boss wake Joyce akaamua kuacha kazi. Alituhumiwa kuwa mlevi pamoja na mengine

hayo mengine ni yapi?
Na hawa damu changa waliotimka nao kunani huko ITV?
 
hayo mengine ni yapi?
Na hawa damu changa waliotimka nao kunani huko ITV?

Jamaa alikuwa ni mvutaji mzuri sana wa sigara(sijui siku hizi kama kaacha).Na inasemekena wavutaji wengi ni wapenda totozi so hayo mengine inawezekana ni yalee mambo yetu yale.
 
Duh! Kumbe mshikaji yuko Aboud TV? Ndio maana simuoni pale Maryland Mwenge siku hizi.
 
Huyu ndugu hayuko Abood. Hakuna mtangazaji huyu isipokuwaa kama ana kazi nyingine hapo
 
Acheni wehu huyu uncle J yupo DW Radio Ujerumani.
Sikilizeni DW Radio Ithaa ya kiswahili utampata huko mbina waswazi mana mambo nyie?
 
yuko kimanzichana, bibi vicky anampikia chakula safi babu yetu.
 
Acheni wehu huyu uncle J yupo DW Radio Ujerumani.
Sikilizeni DW Radio Ithaa ya kiswahili utampata huko mbina waswazi mana mambo nyie?

Si kweli. But aliwahi kufanyia DW kwa muda mfupi. Kuna tetesi alikuwa anashindwa kwenda field kutafuta habari- si unajua tena yeye ni 'news room staff". Hajazoea kutafutia habari juani
 
Wakuu, sijamsikia wala kumuona kwa muda mrefu "mpiganaji" Julius Nyaisanga kitambo sasa.

Hata Igongwe Bar simuoni tena. Mwenye updates please....
Aliacha kazi R1 kwa notice ya 24hrs. Akajiunga na DW Radio kipindi kifupi.
Pia ameachana kabisa na pombe, na sigara havuti tena, hivyo ni kweli Igongwe bar lazima ataadimika.
 
Mbona siwaelewi mara yupo DW mara Abood sasa tumuamini nani?
 
Mbona siwaelewi mara yupo DW mara Abood sasa tumuamini nani?
JF...ILIKUWA ZAMANI BWANA.....HAPA ILIKUWA SERA YA MKAPA...UWAZI NA UKWELI.....na kweli great thinkers ilikuwa na maana stahiki
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom