Julius Nyaisanga yupo wapi?

Kingcobra

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
1,000
309
Jamani,
Wenye taarifa kuhusu huyu mtangazaji yupo wapi hivi sasa, mbona kimya kabisa?
 
nenda pale calabash bar mwenge lufungira ndiyo sebule yake weekend..!
 
Kwa namna navyomjua Nyaisanga napata tabu kidogo na kuchelea kuamini kuwa ameacha hata 'wanawake'. Labda pombe na sigara naweza kuamini.
Kitu ambacho ni ukweli kabisa kaacha ni sigara. Pombe sio lazima iwe kaacha, bali watangazaji hununuliwa sana pombe na mashabiki wao, wakiendekeza ndio huishia kuwa walevi.

Na wanawake ndio vivyo hivyo hujipeleka wenyewe na kujifolenisha kusubiri zamu zao kwa ajili ya umaarufu.

Umaarufu ukiisha, wale wanunuzi wa pombe, hawakunulii tena, na wanawake hawakufuati tena, hivyo kuonekana umeacha!
 
yuko abood media ya morogoro
huyu anasema wikiendi anapatikana calabash dar sasa weekdays si itakuwa pale chipukizi? Na pale milupo ipo kila dizaini.fegi na mitungi vyote available.tena ni jirani na ofisi za bosi wake..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom