Julius Nyaisanga (Mtangazaji wa zamani Radio One na Mkurugenzi wa Abood Media) afariki dunia

Mtangazaji mashuhuri Julius Nyaisangah hatunae tena ! Amefariki dunia leo mkoani Morogoro.
 
Nitamkumbuka sana mie binafsi.. Vipindi vyake wakati ule kwenye idhaa ya biashara ya Radio Tanzania.. Misemo yake maarufu ya "kule kulikochezwa mpaka shoka kuvunjika na mpini kubaki pale pale" au "soksi kuvuka na kiatu kubaki pale pale'.. Baadae tukaja fahamiana.. Alikuwa poa sana..
Mungu amlaze mahali lema peponi... Amina..
 
Mkuu nilisikia hata Charlz Hilary na baadhi ya watangazaji wengine waliondoka kutokana na figisu za huyu Deo,hivi ni kweli?Na kama ni kweli kwani ana influence gani kwa mzee Machache huyu Deo?Tudadavulie kidogo mkuu.
Rweyunga aliposimamishwa kutangaza baada ya kutapikia makaratasi ya taarifa habari kutokana na kupiga kilevi kupita kiasi alipiga magoti sana akarudi ITV baada ya kuwa nje kwa muda mrefu.

Lakini Rweyunga alichangia sana Nyaisanga kuondoka ITV na hadi anahamia Abood TV walikuwa paka na panya kutokana na mambo aliyofanyiwa. Leo Nyaisanga kafia ukimbizini unasemaje Rweyunga hajachangia
 
Back
Top Bottom