Julius Nyaisanga (Mtangazaji wa zamani Radio One na Mkurugenzi wa Abood Media) afariki dunia

Zipe nyama tuhuma! wengine meno hatuna mifziupa hatuiwezi!

Rweyunga aliposimamishwa kutangaza baada ya kutapikia makaratasi ya taarifa habari kutokana na kupiga kilevi kupita kiasi alipiga magoti sana akarudi ITV baada ya kuwa nje kwa muda mrefu.

Lakini Rweyunga alichangia sana Nyaisanga kuondoka ITV na hadi anahamia Abood TV walikuwa paka na panya kutokana na mambo aliyofanyiwa. Leo Nyaisanga kafia ukimbizini unasemaje Rweyunga hajachangia
 
Mtangazaji maarufu sana Julius Nyaisanga amefariki.

Alikuwa gwiji wa utangazaji Redio Tanzania na Redio.1..

RIP kaka
 
Mtangazaji maarufu sana Julius Nyaisanga amefariki. Alikua gwiji wa utangazaji Redio Tanzania na Redio.1.. RIP kaka

Namkumbuka miaka ya nyuma ...... Mango Garden Kinondoni.

Msiba uko wapi Mkuu.

RIP Nyaisanga
 
Heading yako mbovu!

Soma thread za wenzako walioanza kuripoti suala hilihili ulilorudia wewe, uone heading walivyoziweka.

Rip Nyaisanga.
 
Back
Top Bottom