Julius Mtatiro, ataiweza CUF?

mwankuga

JF-Expert Member
Aug 30, 2010
334
120
JULIUS MTATIRO NA CUF.

Julius Mtatiro ni Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) Tanzania Bara.Nilikutana na Julius Mtatiro mwaka 2006 nilipojiunga UDSM.Tukio la kwanza llilonifanya kumfahamu zaidi Julus Mtatiro ni pale wanafunzi wa mwaka wa kwanza (baadhi) walipoamua kufanya mgomo kwa sababu ya kucheleweshewa fedha za kujikimu kutoka Bodi ya Mikopo.

Mtatiro akajitokeza na kuzungumza na wanafunzi kwa ujasiri na kuahidi kusaidia kutatua tatizo hilo.Na uongozi wa chuo ulipotaka kuwasimamisha masomo baadhi ya wanafunzi kwa kushiriki katika mgomo usio halali,Mtatiro na wenzake walisaidia sana,na baadaye hakuna mwananfunzi aliyesimamisha au kufukuzwa.

Baada ya hapo kuna mtiririko wa matukio mengi ambayo yalinidhihirishia kwamba huenda Mtatiro akawa mmoja wa vijana hazina kwa Taifa letu kwa siku za usoni.Kwa waliopita UDSM katika kipindi ambacho Mtatiro alikuwa mwanafunzi,wawe maadui au marafiki,watakubaliana na mimi kwamba Mtatiro alijitolea maisha yake kwa kutetea na kusimamia haki za wanafunzi.Hata ushindi wa Deo kuwa Rais wa DARUSO,ulichangiwa kwa kiasi kikubwa sana Julius Mtatiro.

Binafsi nilikuwa natofautiana na Julius Mtatiro kwenye mambo kadhaa,lakini hilo halikunifanya kutotambua mchango mkubwa wa harakati pale UDSM.Moja kati ya mafanikio ambayo tuliyapata kutokana na harakati,ni kuifanya serikali kufuta sera mikopo ya asilimia 40,ambapo baadaye ukaanzishwa utaratibu wa madaraja,japo nao ulikuwa na kasoro kadhaa.Katika hili kuna jasho la moja kwa moja la Julius Mtatiro.

Tangu hapo namwona Julius Mtatiro kama mpiganaji,mpambanaji,jasiri,mtu ambaye yuko tayari kwa lolote hasa kwa kusimamia ukweli,mtetea haki za wanyonge na mpenda mabadiliko.Najua wapo watu watakosoa haya,lakini lazima watu wajue kwamba hakuna aliyekamilika.Ni vema kuwa na mtazamo chanya.

Kutokana na historia ya wapambanaji wengi kujiunga na vyama vya siasa baada ya masomo,nilijua wazi Mtatiro angejiunga na vyama vya siasa hasa upinzani.Lakini sikuwahi kufikiria hata siku moja kwamba Mtatiro angejiunga na Chama cha Wananchi,CUF.Nilijua angejiunga na CHADEMA,pengine kutokana na upepo na uhusiano na baadhi ya wanachadema.Nilipoona Mtatiro anajiunga na CUF na kupewa cheo nilishtuka.

Baadaye,badala ya kumshangaa Julius Mtatiro kujiunga na CUF,nikamwona ni shujaa.Wakati anajiunga na CUF hadi sasa,Chama Cha Wananchi kimedumaa na kusinyaa.Hivyo kuchagua CUF badala ya Chadema,ni ujasiri mkubwa.Maana kama angechagua Chadema,pengine ingekuwa sababu ya upepo kuliko imani.

Pamoja na kwamba kuna madai kwamba Mtatiro alijiunga na CUF kama ajira kuliko imani,bado naona uamuzi wa Mtatiro ni wa kijasiri sana,tofauti na vijana wengi wanaofuata upepo.Hata hivyo Mtatiro anatakiwa kudhibitisha kwamba hakuenda CUF kwa sababu ya ajira bali kwa sababu ya imani/itikadi.

Swali ambalo linabaki kichwani mwangu,ni Mtatiro anaamini katika nini hasa?Nimeaingalia CUF kwa muda mrefu sana.Nimesoma Katiba yao.Nimesoma sera na itikadi ya chama.Nimeangalia uongozi wa juu wa CUF ukiongozwa na Prof.Lipumba.Nikawaangalia akina Jussa,Duni,Malim Seif.Kwa mbali sana nikaona tofauti kubwa sana ya kimsimamo na kiitikadi kati ya Mtatiro na akina Jussa.Mwisho nikaziona CUF mbili,Tanzania Bara na Tanzania Visiwani.Kwa upande wa Tanzania Visiwani,mizani kati ya CUF na CCM iko sawa.

Lakini kwa upande wa Tanzania Bara ambapo Mtatiro anahudumu kama Naibu Katibu Mkuu,CUF inachechemea.Na kwa bahati mbaya sana akina Malim Seif,Duni,Jussa n.k hawana mpango na Tanzania Bara.

Na hapa ndipo naona Mtatiro ana kazi ngumu zaidi kuliko hata Katibu Mkuu ambaye kwa sasa ni sehemu ya serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.Hivyo ni kazi ya akina Mtatiro kuimarisha CUF Tanzania Bara ili kuweza kuleta siasa sa upinzani wa kweli.Kwa vyovyote itakavyokuwa,kama Mtatiro yupo CUF kwa imani/itikadi au ajira,bado kazi ya kuimarisha CUF inabaki mikononi mwake.

Binafsi naona jukumu hilo naona analiweza akiachana na tabia yake ya kutoambilika,na kuachana na siasa za kutukanana na vyama vingine vya upinzani.Mtatiro atakavyofanikiwa kujenga na kuimarisha CUFupande wa Tanzania Bara atakuwa shujaa wangu kwa mara ya pili,mara ya kwanza alikuwa shujaa wangu pale UDSM.

Hilo linawezekana kama Mtatiro ataamua kujifunza kutokana na makosa yake mwenyewe na makosa ya vyama vingne vya upinzani,n kutokuwa na haraka au tama ya kushika madaraka makubwa zaidi kwa muda mfupi kama vijana wengine.Namtakia kila la kheri Julius Mtatiro katika harakati za kuijenga na kuimaarisha CUF.

IMEANDIKWA NA BABA TUSAJIGWE (MUGO)
MAPAMBAZUIKO TANZANIA
 
Kwanza Mtatiro alikuwa Mbunge wa Darasa,Waziri wa Mikopo na baadaye Waziri Mkuu wa DARUSO.Alikuwa nuru yetu na mtetezi wetu.Alikuwa msemaji wetu na mpiganaji wetu.Lakini,katika uchaguzi wa chama,Mtatiro aliteleza. Bado ana muda wa kutafakari. UDSM 2005-2009 LL.B.
 
[h=2]Ukweli Kuhusu Mabadiliko ya Sera Ndani ya CUF na Ushoga!!!!!!!!!!![/h]
Nakumbuka Mwaka 2009 April Chama Cha CUF Kiliitisha mkutano mkuu wa mabadiliko ya Katiba na Sera. Mkutano huo ambao ulikuwa na agenda za uchaguzi Mkuu ambapo Prof Lipumba kupitia idara ya Blue Gad alimufanyia Umafia Prof Safari ili asipate nafasi ya Mwenyekiti Taifa kwa Kumuundia zengwe na kumuwinda kama mhalifu.

Kufuatia kampeni hizo Chafu Prof Safari alimuhoji Lipumba kuhusu mkewe kuwa mbano hatumuoni kwenye chama??
Lipumba akasema mke wake anafanya kazi UN ambapo hawatakiwi kujihusisha na Mambo ya Siasa.
Pili Sfari alihoji ni kwa nini CUF viongozi wake wengi katika nafasi za Juu ni waislamu hata katika majimbo yenye Wakristo wengi??. Pia alihoji ni kwa nini CUF haina hata moja???. Pia alihoji kwa nini CUF ibakie ZNZ pekee wakati wapo waasisi bara???

Kura zilipigwa Safari akaambulia kura sita (6).

Kwenye Uchaguzi huo Julias Mtatiro aliletwa na Seif kama Mwangalizi wa Uchaguzi na kusimamia uchaguzi huo wakati si Mwanachama . Na baadaye ikaja kuonekana walikuwa na Lengo la kumuanda Mkristo kuchukua nafasi ya Naibu katibu mkuu bara baada ya kutengeneza njama za kumutimua Wilfred Lwakatare.

Kabla ya mabadiliko ya sera CUF ilikuwa ina amini katika Utajirisho na Mwaasisi wa sera hii ni marehemu Shabani Khamis Mloo .
Muasisi wa sera ya uliberali ni Maalim Seif na alimtumia Imail Jussa mtu wa karibu na Julius Mtatiro kuleta mabadiliko ya katiba .
Watu ambao walikuwa wanapinga sera hiyo ni pamoja na prof Safari , Marehemu Shabani Mloo,Mhe Masoud na idara ya Blue Gad .
Kwenye mjadala wa kupitisha katiba hiyo Seif na Lipumba walikuwa kitu kimoja huku Hamadi Rashid akiwazunguka.
Marehemu Mloo alipinga hadi akatoa machozi na baada ya tukio hilo Masoud ambaye alikuwa mkurungenzi wa blue gad Taifa naye aliumia sana kwa hakutaka Ulibelali na kufanya mkakati wa kupinga kwa nguvu zote.

Aliwapanga vijana wa blue gadi wakiongozwa na desk officer Mzee Wandwi. Kazi hiyo ilipo anza , Maalimu seif alipata taarifa na kumutuma Jussa kumushughurikia Wandwi.
Jussa alikwenda kumutukana Mzee Wandwi kwa kumwita Mbwaa!!!

Baada ya Mzee Wandi kutukana Mbwaa alikasirika sana ndipo Mzee Saidi Miraji ambaye akaingilia kati na kuweka msimamo kuwa ulibelali haufahamiki vizuri hivyo sio vema kuiga mambo ya kigeni kwa kuwa yanaweza kupotosha taswira ya chama.

Prof Lipumba alimpinga Mzee Saidi Miraji na mpasukoa ukawa mkubwa. Mpasuko huu ni sehemu ya chanzo cha baadhi ya watu kuunda chama kingine cha ADC.

NB:
Mimi nimeshangaa sana Mhe Masoudi kumushambulia Wenje wakati hata yeye alipinga sera hiyo ndani ya CUF . Mimi nawashauli CUF waitishe Mkutano mkuu Taifa na kujadili suala hilo tena
CUF inaburuzwa na Maalimu Seif na ni chama cha Wapemba na sakata la Ushoga lina mkono wa Seif. Nawaomba CUF kama wana ujasiri wapinge maneno haya. pia namtaka mtatiro aje humu atoe mchango wake hapa!!!
Nawaomba waandishi nenda kawahoji niliowataja ili ukweli ujulikana ndani ya CUF sera ya Ushaga ipo lakini hawakujua!!

SEHEMU YA TAARIFA YA WENJE

3.0. VYAMA VYA SIASA NA MISAADA KUTOKA NJE YA NCHI.

Mheshimiwa Spika, kwa mujibu wa ripoti iliyotolewa na Umoja wa Mataifa ‘United Nations University'(UNU-WIDER) ya mwezi Aprili 2012 iliyoandaliwa na Aili Mari Tripp ilionyesha kuwa misaada ya wahisani kutoka nje katika mabadiliko ya kisiasa Tanzania ‘Donor Assistance and Political Reform in Tanzania', inaonyesha kuwa Tanzania imepokea misaada kutoka nje yenye thamani ya dola za kimarekani bilioni 26.85 toka mwaka 1990-2010.

Mheshimiwa Spika, kwa mujibu wa ripoti hiyo ni kuwa Tanzania ni nchi inayoongoza kusini mwa jangwa la Sahara kwa kupokea misaada mingi kutoka nje ya nchi na hasa kutoka mataifa ya Ulaya na taasisi za nchi za Uingereza, Marekani, Ujerumani, Uholanzi, Norway, Canada, Sweden, na taasisi kama Benki ya Dunia, IMF ,UNDP ,UNICEF na mengineyo.

Pamoja na misaada yote hiyo, bado tumeendelea kuwa nchi maskini sana duniani pamoja na kuwa na rasilimali lukuki ambazo tumepewa na Mungu ila tunashindwa kuzitumia kwa manufaa ya watanzania na badala yake tumeendelea kudanganywa na vimisaada vidogo vidogo na kubadilishana na rasilimali zetu kama madini, misitu ,wanyama nk kwa ajili ya misaada hiyo.

Mheshimiwa Spika, pamoja na misaada hiyo kwa serikali hii ya CCM bado vyama vya siasa vimekuwa na mahusiano na baadhi ya vyama vingine vya siasa katika mataifa ya magharibi na vimekuwa vikipokea misaada ya aina mbalimbali kama fedha , nyenzo na mengineyo kadiri ya makubaliano na mirengo ya kiitikadi ya vyama husika.Pamoja na ukweli huo bado vipo vyama vya siasa vinavyopotosha umma kuhusiana na misaada vinayopokea kutoka nje ya nchi na vyama hivi vimekuwa mstari wa mbele kueneza propaganda za uongo kuwa vyenyewe havipokei misaada kutoka nchi za magharibi.

Mheshimiwa Spika, CCM wao ‘wanajiita' kuwa wapo mrengo wa kijamaa/kikomunisti na wamekuwa wakipokea misaada mingi sana ya fedha na nyenzo kutoka Umoja wa Vyama vya Kikomunisti Ulimwenguni ‘Socialist International' kutoka katika nchi kama za Ujerumani kupitia SDP ,Uingereza kupitia chama cha Labour,China kupitia chama cha Kikomunist ,Marekani kupitia chama cha Democrats. Pamoja na misaada ya kifedha na kiufundi ambayo CCM imekuwa ikipata kutoka nje wamekuwa hawatangazi hadharani hata mara moja kuhusiana na kiasi ambacho wamekuwa wakipokea na hivyo kila kitu kwao imekuwa ni siri kuu ya viongozi wao.

Mheshimiwa Spika, kwa upande wa chama cha CUF, kutokana na itikadi zake za mrengo wa Kiliberali ambazo miongoni mwa misingi yake mikuu ni pamoja na "kupigania haki za ndoa ya jinsia moja, usagaji na ushoga". Hii ni kwa mujibu wa tangazo lao kwenye mtandao wao wa umoja wa maliberali ulimwenguni, likiungwa mkono na Waziri wa Haki na Usawa wa Uingereza, Lynn Featherstone kutoka chama cha Liberal Democrats wakati chama hicho(www.liberal-international.org) kilipokuwa kinapitisha azimio la kuruhusu ndoa za jinsia moja kama haki ya mtu mmoja mmoja, wanashirikiana na vyama kama vile LPC ya Canada, Det Radikale Venstre cha Norway, FDP cha Ujerumani, Israel Liberal Group cha Israel,PDS cha Senegal na Liberal Democrats cha Uingereza.

Kutokana na umoja huo, CUF wamekuwa wakipata msaada wa kifedha na nyenzo nyingine mbalimbali kutoka kwa vyama hivyo vya mrengo wa Kiliberali na msaada wa mwisho ni hivi majuzi mwezi Machi 2013 waliposaini makubaliano na chama cha Kiliberali kutoka Norway.

Mheshimiwa Spika, kwa upande wa CHADEMA, wapo kwenye Umoja wa Vyama vya Kidemokrasia Ulimwenguni (International Democratic Union - IDU). Huu ni umoja wa vyama ambavyo vipo kwenye mrengo wa kati na ambavyo msingi wake mkuu ni pamoja na kuwa na familia, kama taasisi muhimu katika jamii, ikimaanisha kwamba: "tunapinga vitendo vyote vya ushoga na usagaji". Tunatetea demokrasia, haki za binadamu na kupambana na ufisadi katika serikali. Vyama wanachama wa umoja huu ni pamoja na Conservative Party cha UK, CPP cha Norway, Republican cha Marekani na vingine vinavyofuata mrengo huo.

Mheshimiwa Spika, Kambi rasmi ya upinzani Bungeni, inavitaka vyama vyote ambavyo vimekuwa na mahusiano na vyama vya nje viweke wazi mikataba yao na malengo ya mahusiano hayo ikiwa ni pamoja na misaada ambayo vimekuwa vikipokea kutoka kwenye nchi hizo .​
 
I respect him as a Friend and Fighter.Ni muda wa kukaa na kutafakari.Kwa maoni yangu huku CHADEMA kunamfaa zaidi na ataendana na kasi yetu.Hata Hamad Rashid akae atafakari
 
Kama kuchagua basi bora cuf ni cha kitaifa cdm kiko upande wa bara tu
Pili cdm hakina sera zaidi ya matusi na ugomvi wao ni kupinga na kupinda hata ukweli so mtu makini hawezi kuwa cdm bora hata nccr ni chama makini kina sera zinaeleweka
Cdm kuipiku cuf uchaguzi ulopita sio ishara imeimarika bali tunajua ni chapua za makanisa dhidi ya kikwete na makanisa ni watu wa maslahi so ujue 2015 upepo utabadilika kama wakati wa mrema na ukichanganya na fujo na matusi bungeni ujue hiyo ndio itakua kitanzi chenu

Hivo mtatiro tupo sahihi cuf ipo imara kabiisa na chama pekee kilichopitia mitihani na rungu la wahafidhina wa ccm na ku survive
Vyama vilikuja na kuondoka vingine hata hatuvisikii tena
Ni chama pekee ambacho kitakuja kuimarika zaidi na kuongoza siasa za nchi hiii
 
CUF kipo ZNZ tu Ni Chama cha wapemba!!!!
 
na chadema ni chama cha wachaga tu..wengine mabiya..thats facts kila mtu anajua sio siri..
cuf viongozi wa kutoka pemba ni maaalim seif pekee walobaki wote kuanzia DUNI, MACHANO JUSSA NA WENGINE WOTE NI WATU WA UNGUJA, IN FACT NDIO CHAMA AMBACHO KIPO PANDE ZOTE ZA UNGUJA NA PEMBA KINA WABUNGE KUTOKA PEMBA NA UNGUJA WAKATI CCM WAO NDIO CHAMA CHA UNGUJA PEKEE HAKINA HATA MBUNGE KUTOKA PEMBA NA PIA HATA VIONGOZI WAO PEMBA BASI NI WATU WENYE ASILI YA TANGANYIKA
CUF PEKEE NDIO KINA WABUNGE UNGUJA , PEMBA NA TANGANYIKA..NI CHAMA AMBACHO UONGOZI WAKE UMEGAWANYWA VIZURI KWA KILA UPANDE.....
NI FACT KWAMBA KINA NGUVU SANA ZNZ ...LAKINI PIA KIPO TANGANYIKA NA CHAGUZI MBILI KIMEKUA NYUMA YA CCM WAKATI CHADEMA HATA UWEZO WA KUGOMBEA URAIS WALIKUA HAWANA ...KWANI KILIKUA HAKIKUBALIKI ZAIDI YA JIMBO LA HAI MOSHI
 
Hivi Mtatiro anasema nini kuhusu kauli ya M'kiti wake Lipumba alipokuwa msikitini alipowaambia Waisilamu wenzake wajipange dhidi ya njama za Wakristo? Bado Mtatiro alijisikia anatakiwa ndani ya CUF?

Naamini kabisa kilichompeleka CUF siyo imani, bali ni pesa tu (ajira).
 
Hana uwezo wa kuona mbali na kupima mambo. Alipoona ana umaarufu wa tangu chuoni alifikiri hata kwa wananchi wa Ubungo angekuwa maarufu tu. Alikuwa wa 3 katika matokeo ya jimbo hilo mwaka 2010.

Angekuwa na akili kidogo upstairs, angeingia CDM na kugombea jimbo la Kinondoni. Angemng'oa Idi Azan bila tabu yoyote!
 
CUF kipo ZNZ tu Ni Chama cha wapemba!!!!

Wana CDM, hofu ya nini sasa? Si msubiri 2015 muone mziki wake?. Kilichotojea 2010 si mnakijua? CUF ipo Imara na Lipumba ni Lulu isiyotumiwa.

Sera zenu za visa, majungu, matusi na fujo na Udini wa kutumwa na Kanisa utawatokea nyumani.

Julius is the right Guy for that post and is capable indeed!
 
Pesa, pesa, pesa. Julias Mtatiro na falsafa za CUF hawaendani. Lakini lazima aende huko kwa sababu akienda CHADEMA nina uhakika asingepata nafasi kubwa aliyo nayo CUF kwa sababu pale kuna akina Zito Kabwe. Ila kwa jinsi siasa zinavyoenda, Mtatiro atagundua kuwa yuko mahali ambapo si pake. Nilimshangaa sana Mtatiro kugombea Ubunge Ubungo. Kwa kweli nikagundua kuwa kumbe kuna ndoa kweli kati ya CCM na CUF.
 
Namkubali sana bwana mtatiro kutokana na msimamo wake usioyumba na ujasiri kwa jinsi alivotupigania wakati tukiwa chuo kwenye issue za mikopo ila siku zote huwa nasema CUF haimfai
 
hivi mtatiro anasema nini kuhusu kauli ya m'kiti wake lipumba alipokuwa msikitini alipowaambia waisilamu wenzake wajipange dhidi ya njama za wakristo? Bado mtatiro alijisikia anatakiwa ndani ya cuf?

Naamini kabisa kilichompeleka cuf siyo imani, bali ni pesa tu (ajira).

mtatiro anatumika tu,cuf ni chama cha kiislamu asikudanganye mtu.mtatiro anaangalia" mshiko "tu.prof anaifanyia kazi ccm.iko kwnye rekodi.maalim ana ubia na ccm kule zanzibar.adc ?cuf hamna kitu.huyu mtatiro nilimshangaa sana alivyomshushia matusi mazito mazito dr,slaa mara baada ya uchaguzi 2010 bila sababu yoyote!!
 
Ukweli Kuhusu Mabadiliko ya Sera Ndani ya CUF na Ushoga!!!!!!!!!!!

Nakumbuka Mwaka 2009 April Chama Cha CUF Kiliitisha mkutano mkuu wa mabadiliko ya Katiba na Sera. Mkutano huo ambao ulikuwa na agenda za uchaguzi Mkuu ambapo Prof Lipumba kupitia idara ya Blue Gad alimufanyia Umafia Prof Safari ili asipate nafasi ya Mwenyekiti Taifa kwa Kumuundia zengwe na kumuwinda kama mhalifu.

Kufuatia kampeni hizo Chafu Prof Safari alimuhoji Lipumba kuhusu mkewe kuwa mbano hatumuoni kwenye chama??
Lipumba akasema mke wake anafanya kazi UN ambapo hawatakiwi kujihusisha na Mambo ya Siasa.
Pili Sfari alihoji ni kwa nini CUF viongozi wake wengi katika nafasi za Juu ni waislamu hata katika majimbo yenye Wakristo wengi??. Pia alihoji ni kwa nini CUF haina hata moja???. Pia alihoji kwa nini CUF ibakie ZNZ pekee wakati wapo waasisi bara???

Kura zilipigwa Safari akaambulia kura sita (6).

Kwenye Uchaguzi huo Julias Mtatiro aliletwa na Seif kama Mwangalizi wa Uchaguzi na kusimamia uchaguzi huo wakati si Mwanachama . Na baadaye ikaja kuonekana walikuwa na Lengo la kumuanda Mkristo kuchukua nafasi ya Naibu katibu mkuu bara baada ya kutengeneza njama za kumutimua Wilfred Lwakatare.

Kabla ya mabadiliko ya sera CUF ilikuwa ina amini katika Utajirisho na Mwaasisi wa sera hii ni marehemu Shabani Khamis Mloo .
Muasisi wa sera ya uliberali ni Maalim Seif na alimtumia Imail Jussa mtu wa karibu na Julius Mtatiro kuleta mabadiliko ya katiba .
Watu ambao walikuwa wanapinga sera hiyo ni pamoja na prof Safari , Marehemu Shabani Mloo,Mhe Masoud na idara ya Blue Gad .
Kwenye mjadala wa kupitisha katiba hiyo Seif na Lipumba walikuwa kitu kimoja huku Hamadi Rashid akiwazunguka.
Marehemu Mloo alipinga hadi akatoa machozi na baada ya tukio hilo Masoud ambaye alikuwa mkurungenzi wa blue gad Taifa naye aliumia sana kwa hakutaka Ulibelali na kufanya mkakati wa kupinga kwa nguvu zote.

Aliwapanga vijana wa blue gadi wakiongozwa na desk officer Mzee Wandwi. Kazi hiyo ilipo anza , Maalimu seif alipata taarifa na kumutuma Jussa kumushughurikia Wandwi.
Jussa alikwenda kumutukana Mzee Wandwi kwa kumwita Mbwaa!!!

Baada ya Mzee Wandi kutukana Mbwaa alikasirika sana ndipo Mzee Saidi Miraji ambaye akaingilia kati na kuweka msimamo kuwa ulibelali haufahamiki vizuri hivyo sio vema kuiga mambo ya kigeni kwa kuwa yanaweza kupotosha taswira ya chama.

Prof Lipumba alimpinga Mzee Saidi Miraji na mpasukoa ukawa mkubwa. Mpasuko huu ni sehemu ya chanzo cha baadhi ya watu kuunda chama kingine cha ADC.

NB:
Mimi nimeshangaa sana Mhe Masoudi kumushambulia Wenje wakati hata yeye alipinga sera hiyo ndani ya CUF . Mimi nawashauli CUF waitishe Mkutano mkuu Taifa na kujadili suala hilo tena
CUF inaburuzwa na Maalimu Seif na ni chama cha Wapemba na sakata la Ushoga lina mkono wa Seif. Nawaomba CUF kama wana ujasiri wapinge maneno haya. pia namtaka mtatiro aje humu atoe mchango wake hapa!!!
Nawaomba waandishi nenda kawahoji niliowataja ili ukweli ujulikana ndani ya CUF sera ya Ushaga ipo lakini hawakujua!!

SEHEMU YA TAARIFA YA WENJE

3.0. VYAMA VYA SIASA NA MISAADA KUTOKA NJE YA NCHI.

Mheshimiwa Spika, kwa mujibu wa ripoti iliyotolewa na Umoja wa Mataifa ‘United Nations University'(UNU-WIDER) ya mwezi Aprili 2012 iliyoandaliwa na Aili Mari Tripp ilionyesha kuwa misaada ya wahisani kutoka nje katika mabadiliko ya kisiasa Tanzania ‘Donor Assistance and Political Reform in Tanzania', inaonyesha kuwa Tanzania imepokea misaada kutoka nje yenye thamani ya dola za kimarekani bilioni 26.85 toka mwaka 1990-2010.

Mheshimiwa Spika, kwa mujibu wa ripoti hiyo ni kuwa Tanzania ni nchi inayoongoza kusini mwa jangwa la Sahara kwa kupokea misaada mingi kutoka nje ya nchi na hasa kutoka mataifa ya Ulaya na taasisi za nchi za Uingereza, Marekani, Ujerumani, Uholanzi, Norway, Canada, Sweden, na taasisi kama Benki ya Dunia, IMF ,UNDP ,UNICEF na mengineyo.

Pamoja na misaada yote hiyo, bado tumeendelea kuwa nchi maskini sana duniani pamoja na kuwa na rasilimali lukuki ambazo tumepewa na Mungu ila tunashindwa kuzitumia kwa manufaa ya watanzania na badala yake tumeendelea kudanganywa na vimisaada vidogo vidogo na kubadilishana na rasilimali zetu kama madini, misitu ,wanyama nk kwa ajili ya misaada hiyo.

Mheshimiwa Spika, pamoja na misaada hiyo kwa serikali hii ya CCM bado vyama vya siasa vimekuwa na mahusiano na baadhi ya vyama vingine vya siasa katika mataifa ya magharibi na vimekuwa vikipokea misaada ya aina mbalimbali kama fedha , nyenzo na mengineyo kadiri ya makubaliano na mirengo ya kiitikadi ya vyama husika.Pamoja na ukweli huo bado vipo vyama vya siasa vinavyopotosha umma kuhusiana na misaada vinayopokea kutoka nje ya nchi na vyama hivi vimekuwa mstari wa mbele kueneza propaganda za uongo kuwa vyenyewe havipokei misaada kutoka nchi za magharibi.

Mheshimiwa Spika, CCM wao ‘wanajiita' kuwa wapo mrengo wa kijamaa/kikomunisti na wamekuwa wakipokea misaada mingi sana ya fedha na nyenzo kutoka Umoja wa Vyama vya Kikomunisti Ulimwenguni ‘Socialist International' kutoka katika nchi kama za Ujerumani kupitia SDP ,Uingereza kupitia chama cha Labour,China kupitia chama cha Kikomunist ,Marekani kupitia chama cha Democrats. Pamoja na misaada ya kifedha na kiufundi ambayo CCM imekuwa ikipata kutoka nje wamekuwa hawatangazi hadharani hata mara moja kuhusiana na kiasi ambacho wamekuwa wakipokea na hivyo kila kitu kwao imekuwa ni siri kuu ya viongozi wao.

Mheshimiwa Spika, kwa upande wa chama cha CUF, kutokana na itikadi zake za mrengo wa Kiliberali ambazo miongoni mwa misingi yake mikuu ni pamoja na "kupigania haki za ndoa ya jinsia moja, usagaji na ushoga". Hii ni kwa mujibu wa tangazo lao kwenye mtandao wao wa umoja wa maliberali ulimwenguni, likiungwa mkono na Waziri wa Haki na Usawa wa Uingereza, Lynn Featherstone kutoka chama cha Liberal Democrats wakati chama hicho(www.liberal-international.org) kilipokuwa kinapitisha azimio la kuruhusu ndoa za jinsia moja kama haki ya mtu mmoja mmoja, wanashirikiana na vyama kama vile LPC ya Canada, Det Radikale Venstre cha Norway, FDP cha Ujerumani, Israel Liberal Group cha Israel,PDS cha Senegal na Liberal Democrats cha Uingereza.

Kutokana na umoja huo, CUF wamekuwa wakipata msaada wa kifedha na nyenzo nyingine mbalimbali kutoka kwa vyama hivyo vya mrengo wa Kiliberali na msaada wa mwisho ni hivi majuzi mwezi Machi 2013 waliposaini makubaliano na chama cha Kiliberali kutoka Norway.

Mheshimiwa Spika, kwa upande wa CHADEMA, wapo kwenye Umoja wa Vyama vya Kidemokrasia Ulimwenguni (International Democratic Union - IDU). Huu ni umoja wa vyama ambavyo vipo kwenye mrengo wa kati na ambavyo msingi wake mkuu ni pamoja na kuwa na familia, kama taasisi muhimu katika jamii, ikimaanisha kwamba: "tunapinga vitendo vyote vya ushoga na usagaji". Tunatetea demokrasia, haki za binadamu na kupambana na ufisadi katika serikali. Vyama wanachama wa umoja huu ni pamoja na Conservative Party cha UK, CPP cha Norway, Republican cha Marekani na vingine vinavyofuata mrengo huo.

Mheshimiwa Spika, Kambi rasmi ya upinzani Bungeni, inavitaka vyama vyote ambavyo vimekuwa na mahusiano na vyama vya nje viweke wazi mikataba yao na malengo ya mahusiano hayo ikiwa ni pamoja na misaada ambayo vimekuwa vikipokea kutoka kwenye nchi hizo .​

Asante,umenifumbua macho kwa mambo uliyoyaandika.Ngoja tuanzie hapo kujua ukweli zaidi.
 
Back
Top Bottom