Inasemekana Ndg; Julius Mtatiro (Naibu katibu mkuu bara-CUF) ndiye aliyewaapisha Wana- Mtwara juu ya Gas kwanza wakati wa ziara yake Mkoani Mtwara kwenye uwanja wa Umoja. Hizi ni habari za kuambiwa kwa atakaetaka kujua zaidi awasiliane na wanamtwara kujua zaidi. Nainasemekana baada ya kuona Mtwara Jeshi limeingilia kati anampango wa kuitisha mkutano na Wana- Mtwara pamoja na Wana- Lindi waishio Dar-es-salaam ili kupata nguvu zaidi. Nachouliza kama ni kweli anawatakia mema Wanamtwara au ana nia nyingine?