Julius mtatiro- aliwaapisha wana-mtwara juu ya gas kwanza

tata mura

JF-Expert Member
Sep 27, 2012
275
49
Inasemekana Ndg; Julius Mtatiro (Naibu katibu mkuu bara-CUF) ndiye aliyewaapisha Wana- Mtwara juu ya Gas kwanza wakati wa ziara yake Mkoani Mtwara kwenye uwanja wa Umoja. Hizi ni habari za kuambiwa kwa atakaetaka kujua zaidi awasiliane na wanamtwara kujua zaidi. Nainasemekana baada ya kuona Mtwara Jeshi limeingilia kati anampango wa kuitisha mkutano na Wana- Mtwara pamoja na Wana- Lindi waishio Dar-es-salaam ili kupata nguvu zaidi. Nachouliza kama ni kweli anawatakia mema Wanamtwara au ana nia nyingine?
 
huyo mtatiro na mwenyekiti wa vijana cuf ndo walioongoza kuwalisha sumu ya gas wanamtwara mwisho wanamtwara wanaumia wao wako dar wanakula maisha. poleni wanamtwara ila gas itatoka cha muhimu kaeni chini na serikali mjue mtafaidika vipi kwasababu vita haijengi bali inabomoa.
 
Jamani wana "gas city" wanataka maendeleo yenye sura ya kitaifa....nani kasema Tanzania ni Dar,Arusha, Mwanza, Mbeya na kwingineko tu?? Yaani baadhi ya watu ni wanafiki sn humu ndani, mnapenda sn munapockia Mtwara inakosa huduma bora za jamii km maji,afya,barabara nk....hakuna cha Mtatiro wala nani aliyekuja kusawishi wana Gas city ila ni wamakonde wenyewe wamechoshwa na ubabaishaji wa ccw na viongoz wao wababaishaji.
 
Jjamani watanzania 2badilike 2sipende ngiliba za viongozi wa tz.Tanzanite inazalishwa Arusha bt wageni wa nje ya nchi wanajua inazalishwa South africa.Mikoa ya kusini imesahaulika kimaendeleo hakuna chochote cha maana kinachoendelea uko nani bora wamakonde wamefunguka na si sisi Wasukuma 2mejaaliwa Dhahabu Alimasi lakini haziwanufaishi wazawa.
 
Waliberali shida sana.CUF walizenguliwa na mafuta Zenj wakataka muungano ufe,sasa wamesikia Gas ya Tanzania na msumbiji ni historia yake.Wakawahi..sijui wataswing mara ngapi kt fikra, kabla hawajasikia na uliberali si dili kisiasa wala kimaadili.

Wakati Maalim akiwa ktk somo la kutengeneza vichaa km yeye atasikia mengi sana bara yaliyovunja records ..atapose sana hiyo business yake hadi aharibu buttons zote.
 
Back
Top Bottom