Julius misely: Kikwete hana sifa za kuteua jopo la katiba mpya

Mwamakula

JF-Expert Member
Nov 7, 2010
1,890
382
Julius miselya(0715342969)wa taasisi ya aford amesema kuwa kikwete ni mtuhumiwa wa wizi wa kura na chanzo cha malalamiko ya katiba mpya na hivyo hana sifa ya kuteua jopo la katiba mpya.
Amebainisha kuwa mawazo halisi ya kikwete yapo kwenye maoni ya jaji werema na si kuunda katiba mpya.
Amesema , kikwete hawezi kumuteua mwanasheria ambaye atakuwa kuru kikazi kama mteule wake wa juu ,ammbaye ni mwanasheria mkuu anamtazamo wa kupinga katiba mpya.
Amesema kikwete hana nia ya dhati ya kutaka katiba mpya kama ameshindwa kumutaja mumiliki wa dowans na kagoda
 
Kimsingi rais Kikwete ameonyesha udhahifu mkubwa katika teuzi ambazo amekuwa akifanya kwa nafasi mbali mbali, kiasi kwamba baadhi yetu tunaamini iwapo atajihusisha kwa namna yeyote ile, matokeo yake hayatakuwa mazuri.
 
Back
Top Bottom