britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 15,636
- 30,004
- Thread starter
- #41
hahaha mwalimu katika ubola wakeNilipenda pale alipowaambia viongozi wa Jumuiya ya Madola kuhusiana na Magreth Thatcher alivyoendelea kuikumbatia Rhodesia wakati ule. Mwalimu alisema bila kumung'unya maneno, "Magreth Thatcher is prostituting the honour of Commonwealth"