Julius Kambarage Nyerere Biography

Inabidi umuulize my cupcake (nyani Ngabu) kama anafaidi au lah...na kuhusu picha kuweka jikoni ...oloo usiniletee balaa kwa Cupcake no way Jose!...

Yeha nimekuelewa kuhusu Issue ya Nyerere!...Life goes on.

..hivi isije ikawa NN anakuwa mkali sana hapa mpaka anafungiwa kwa sababu analinda mali zake and anahofia anaibiwa so anamuatack kila mtu.... inakuwaje hii??
ningekumiliki walah kila mtu mume angekuwa mbaya wangu tangia siku unasema yes.
Ulikumbuka kusema ahsante kwa mama? i mean kwa urembo aliokuzaa nao.
....Kunamwanamwali mmoja aliniambia kuwa most women wanashangazwa na jinsi tunavyopiga vikumbo kujongelea maeneo ya kina-mwali. I mean hamjui kama tunafaidigi au la....
 
Huwa namwambia mama yangu thank you kila kunapokucha...she is the one who made who i am today!...thank you mama Nnzafula mwaah!..

yeye cupcake ndiyo aliyeniambia niweke hiyo picha yangu hapo....and of course lazima mtu uchunge mali yako ukona watu wanataka kukuiba...he is such a nice guy very gentleman and so protective of me....mmhnisiseme sana maana wanawake wasije wakanigeuzia kibao yo know what i mean...

Anyhoo Msaniii!...tusije tukaharibu ladha topic!...

xoxo
 
My my, kama hujaolewa basi mumeo anafaidi kweli kweli.
niruhusu picha yako nikaiweke bafuni kwangu japo one week.
....Thanx kwa kunielewa kuhusu Biography ya Nyerere and i believe robot ataweka data hapa maana unajua kila mtu hapa siyo kila mtu.

Mbona unaharibu thread kama huna cha kuandika si uache
 
Mbona unaharibu thread kama huna cha kuandika si uache

mbona unakuwa mkali hivyo? nilikuwa najaribu kumtokea doll halafu unanipotezea timing.
anyway nimeshagive up mpaka next time naenda kukariri mashairi kwanza.
BTW mtumie email Kelly utapata data zaidi za chance aliyoitangaza hapa.
 
mbona unakuwa mkali hivyo? nilikuwa najaribu kumtokea doll halafu unanipotezea timing.
hahahah Umesubiri NN afungiwe ndio uanze kumtokea ,samahani kwa hilo
anyway nimeshagive up mpaka next time naenda kukariri mashairi kwanza.

mtumie email Kelly utapata data zaidi za chance aliyoitangaza hapa
Haya mambo ya Siasa hata siyawezi ila kuna mshikaji wangu ntamshtua
 
Arts masomo ya kike....

...Ukiona mtu kaishiwa sera huishia KUPAYUKA.
Heshimu kazi za watu we mheshimiwa. Arts ni pana sana na kwa taarifa yako definition ya masomo ya arts ya nchini kwenu siyo halisi. Kwa taarifa tu Sayansi ni tawi la Arts.
Mwenye swali anyooshe mkono
 
ITS black history month,today,tuesday 6th october,year of the lord 2009 at 6.30 pm Julius Nyerere will be on the screen at SHORTWAVE CINEMA,10 Bermondsey square,SE1 3UN,London-phone 02073570845-Lets pay homage to this great son of africa by attending-see you there
 
Kama ukihudhuria ngoma za taarabu utaona kwamba watu wanaoitwa ''Anti'' siyo watu serious sana. Kwa hiyo Auntie Kelly inafaa ajieleze zaidi.
 
''Kinachotakiwa aandike kind of an abstract kuonyesha gap kipi ambacho kuhusu JK ambacho hakijulikani''
This is the drift,the gist of what is being said. Anayefahamu atume kwenye e mail hiyo auntykelly@hotmail.com
''This is very serious and its really not a joke pleaseeee! (highly important!!)''.

Clearly the message has been written upside down. If you turn it right side up,the message is clear. For God's sake,I hope no one is going to start asking me hard questions.
 
ITS black history month,today,tuesday 6th october,year of the lord 2009 at 6.30 pm Julius Nyerere will be on the screen at SHORTWAVE CINEMA,10 Bermondsey square,SE1 3UN,London-phone 02073570845-Lets pay homage to this great son of africa by attending-see you there
Wengine tusio London tunaweza kuipataje hiyo video?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom