Julius K. Nyerere, The Unsung Hero Of Africa Who Made Nelson Mandela!

Jethro

JF-Expert Member
Mar 23, 2009
2,219
370
JULIUS. K .NYERERE UNSUNG HERO OF AFRICA WHO MADE NELSON MANDELA‏

madiba-with-nyerere.jpg

Today the world knows a lot about President Nelson Mandela but seemingly conveniently always forgetting that Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, the late Tanzanian President, was the person behind Mandela Success.

Without Nyerere effort's we probably would have had the Mandela's success story as we have it today, as presented to the world. Let me walk you down the history lane to refresh our recollection.

In 1959 Mwalimu Nyerere together with Archbishop Trevor Huddleston, founded the Anti-Apartheid Movement in Britain. In 1980s during the campaign for South Africa Nuclear Disarmament, the movement had individual membership of 6,000 people, and attracted 700 organizations, including the Labour, Liberal and Social Democratic parties affiliated. These together represented more than 18 million people.

This implies that whatever success Mandela is afforded it was because of Mwalimu Nyerere's high involvement which made it happen. In sum Tanzania could have had a better economy today if it did not accept sacrifices in building the future and freedom fighting for the region of southern Africa. Mwalimu Nyerere was true to his principles and his vision. He empowered ANC and Mandela. At the end, his vision of a liberated Africa was achieved.

Mwalimu Nyerere's story is one of the best untold stories as far as African politics are concerned. We need to promote his legacy further. Africa needs Nyerere's kind of thinking in Leadership more than Aid for now.

Africa needs high quality leadership, and more of a best leadership story like the one of Mwalimu Nyerere. This could be inspirational for young people to offer alternative leadership to Africa. This is crucially important in saving the continent from poverty.

DERIV-259_50-4-670x545.jpg

In conclusion, we as Tanzanian Edinburgh Community Association (TzECA) believe that people need to hear more about Mwalimu's legacy. One film recently shown in Edinburgh at Film House - which sold out, do attest to this belief of ours. Think of it, can Nelson Mandela speak more about Nyerere?

mandela_nyerere_winnie_in_dar_es_salaam.jpg

We think so! In remembering Mwalimu Julius Kambarage Nyerere's legacy, the University of Edinburgh in collaboration with Tanzania High Commission in London along with the Tanzania Edinburgh Community Association(TzECA) have joined forces in organizing an International High Level Conference which will be held from the 9th - 11th November 2009 in Edinburgh, UK.

We as Tanzanians and peace lovers, would be greatly honoured if you will join us by covering these memorable events as we mark and remember the life of this great son of Africa. Your coverage can reflect on his legacy as one of the best African statesman of our time. Spread the word, let his story be heard all over the world.

If you would like more information about this topic or would like to schedule an interview, please get in touch with contact under noted:

By Emmanuel Tayari
SPEECH BY PRESIDENT NELSON MANDELA AT A BANQUET IN HONOUR OF JULIUS NYERERE,

Johannesburg,
17 October 1997

Master of Ceremonies;

Mwalimu Julius Nyerere;

Mr Nicky Oppenheimer;

Honoured guests;

It is a great pleasure to share in this occasion honouring one of Africa's great patriots.

It is a humbling experience to recall the contribution that Mwalimu Nyerere has made to the liberation of our continent, and to freedom in South Africa.

This is the freedom fighter who heard Chief Luthuli's appeal and joined Trevor Huddleston in launching the Anti-Apartheid Movement in Britain in 1959; a leader whose decisive intervention at the Commonwealth Conference after the Sharpeville Massacre led to the exclusion of apartheid South Africa.

I had the personal privilege of meeting him many years ago, in 1962, when I visited Tanzania seeking help as we embarked on the armed struggle. Then, as now, I was struck by his lucid thoughts; his burning desire for justice everywhere; and his commitment to Africa's interests.

After the independence of Tanzania, Mwalimu, as its head of state, continued to play an important role in the struggle for justice and democracy not only in Africa, but throughout the world.

The people of Tanzania gave unstinting support to the liberation of South Africa. They gave recognition of the most practical kind to the principle that our freedom and theirs were interdependent.

Today, as free nations we have joined hands in recognition of the interdependence of our countries, our region and our continent in the achievement of peace and prosperity.

It is in this spirit that we affirm our support for Julius and the people of Tanzania in the goals they have set for themselves.

The expansion of economic ties of trade and investment between Tanzania and South Africa, and indeed between all the countries of the region, is an objective to which South Africa is firmly committed.

When we promote foreign business interest and investment in South Africa it is not in any spirit of beggar thy neighbour. Indeed South African firms have seized the opportunities that abound in a liberated Southern Africa and we encourage them in this.

We do so on the understanding that such investment will be conducted as we expected foreign investors to do in our own country: to promote the transfer of skills and technology; to make a permanent and sustainable expansion in the productive capacity of the host country; and wherever possible in the form of joint ventures to promote the development of local business, especially amongst those previously excluded from such opportunities.

Such a development is in the interest of our entire region. In particular we would like to see an expansion of South African business involvement in Tanzania along such lines. Some of the companies represented here tonight have already shown their interest by taking part earlier this year in a delegation to Tanzania led by our Deputy Minister of Trade and Industry.

That delegation reflected the spirit of co-operation between government and business, within a broader partnership of all social sectors which is the hallmark of reconstruction and development in South Africa, in Tanzania and throughout our region.

Non-governmental organisations form an essential component of that broader partnership. The Mwalimu Nyerere Foundation whose establishment we are marking tonight is, I am confident, destined to make a significant contribution in that regard.

There would be reason enough to welcome its formation as a commemoration of a great person. But it is more than that. It is also a contribution to the future. It gives substance to the goal of creating African capacity to resolve African problems.

The ideals of peace, unity and people-centred development for which it stands are essential for our continent's economic and political revival. We can only applaud its intention to promote these goals by drawing on Africa's collective intellectual resources.

It is through the upliftment and empowerment of the people of Southern Africa, and indeed the entire continent, that we will achieve the African Renaissance we so strongly desire.

I thank you. (CHECK AGAINST DELIVERY)

http://www.info.gov.za/speeches/1997/10200W91397.htm
Mandela in Tanzania

By JANE PERLEZ, Special to The New York Times

Published: March 07, 1990

On the last leg of his three-country Africa tour, Mr. Mandela arrived in this muggy seaside city today to be greeted by a Government that is one of the African National Congress's most generous supporters.

Minutes after being embraced by Julius K. Nyerere, the chairman of Tanzania's ruling party, Mr. Mandela was surrounded by several hundred young African National Congress members who in some cases have lived in exile for more than a decade.

There are thought to be approximately 10,000 young African National Congress members in Tanzania, many of them trained as guerrillas. Although the South African Government legalized the Congress a month ago, no general amnesty has been given to those who fled the country, and the question of how, when and on what terms they will go back to South Africa remains unresolved. Mr. Mandela made no statement on this or other matters on his arrival.

During his six-day stay here, Mr. Mandela is flying to Iringa, an area southwest of the capital where more than 4,000 members of the Congress's military wing are said to have been housed since their arrival from Angola last year. The Congress's guerrilla units had to leave Angola as part of a deal arranged in the regional accord leading to independence for Namibia.
 
OOOhhh!..Now you are talking Jethro!

Niliipata hiyo International High Level Conference jana...Wacha wabongo (AKINA TUMAIN)wamdharau huyu mzee...Watakuja kutambua when its toolate to catch the bus!
 
OOOhhh!..Now you are talaking Jethro!

Niliipata hiyo International High Level Conference jana...Wacha wabongo (AKINA TUMAIN)wamdharau huyu mzee...Watakuja kutambua when its toolate to catch the bus!
I beg to differ mkuu, Hata angetangazwa na ulimwengu wote kwmaba ni GOOD..my position does not change ..he is a "failure" mpaka leo tunapata kazi kurekebisha kwasababu yake...pili kwangu mim and my family experience the guy "Dicteta" ..usinikumbushe upuuzi wake..bana ala!
 
SPEECH BY PRESIDENT NELSON MANDELA AT A BANQUET IN HONOUR OF JULIUS NYERERE,

Johannesburg,
17 October 1997

Master of Ceremonies;

Mwalimu Julius Nyerere;

Mr Nicky Oppenheimer; Honoured guests;

It is a great pleasure to share in this occasion honouring one of Africa's great patriots.

It is a humbling experience to recall the contribution that Mwalimu Nyerere has made to the liberation of our continent, and to freedom in South Africa.

This is the freedom fighter who heard Chief Luthuli's appeal and joined Trevor Huddleston in launching the Anti-Apartheid Movement in Britain in 1959; a leader whose decisive intervention at the Commonwealth Conference after the Sharpeville Massacre led to the exclusion of apartheid South Africa.

I had the personal privilege of meeting him many years ago, in 1962, when I visited Tanzania seeking help as we embarked on the armed struggle. Then, as now, I was struck by his lucid thoughts; his burning desire for justice everywhere; and his commitment to Africa's interests.

After the independence of Tanzania, Mwalimu, as its head of state, continued to play an important role in the struggle for justice and democracy not only in Africa, but throughout the world.

The people of Tanzania gave unstinting support to the liberation of South Africa. They gave recognition of the most practical kind to the principle that our freedom and theirs were interdependent.

Today, as free nations we have joined hands in recognition of the interdependence of our countries, our region and our continent in the achievement of peace and prosperity.

It is in this spirit that we affirm our support for Julius and the people of Tanzania in the goals they have set for themselves.

The expansion of economic ties of trade and investment between Tanzania and South Africa, and indeed between all the countries of the region, is an objective to which South Africa is firmly committed.

When we promote foreign business interest and investment in South Africa it is not in any spirit of beggar thy neighbour. Indeed South African firms have seized the opportunities that abound in a liberated Southern Africa and we encourage them in this.

We do so on the understanding that such investment will be conducted as we expected foreign investors to do in our own country: to promote the transfer of skills and technology; to make a permanent and sustainable expansion in the productive capacity of the host country; and wherever possible in the form of joint ventures to promote the development of local business, especially amongst those previously excluded from such opportunities.

Such a development is in the interest of our entire region. In particular we would like to see an expansion of South African business involvement in Tanzania along such lines. Some of the companies represented here tonight have already shown their interest by taking part earlier this year in a delegation to Tanzania led by our Deputy Minister of Trade and Industry.

That delegation reflected the spirit of co-operation between government and business, within a broader partnership of all social sectors which is the hallmark of reconstruction and development in South Africa, in Tanzania and throughout our region.

Non-governmental organisations form an essential component of that broader partnership. The Mwalimu Nyerere Foundation whose establishment we are marking tonight is, I am confident, destined to make a significant contribution in that regard.

There would be reason enough to welcome its formation as a commemoration of a great person. But it is more than that. It is also a contribution to the future. It gives substance to the goal of creating African capacity to resolve African problems.

The ideals of peace, unity and people-centred development for which it stands are essential for our continent's economic and political revival. We can only applaud its intention to promote these goals by drawing on Africa's collective intellectual resources.

It is through the upliftment and empowerment of the people of Southern Africa, and indeed the entire continent, that we will achieve the African Renaissance we so strongly desire.

I thank you. (CHECK AGAINST DELIVERY)

http://www.info.gov.za/speeches/1997/10200W91397.htm
 
...Juzi nilijisahau nikafungulia RTD (TBC Taifa) kwa redio ya Gari na nikasikia kipindi baada ya taarifa ya habari ya saa mbili usiku "Kama siyo juhudi zako Nyerere" hakika Mwalimu Nyerere ni Kichwa, alikuwa akihutubia wakuu wa shule za Sekondari kama sikosei, mwaka 1975... ile Hotuba ina kufanya uwaze mara mbili kuwa, Nyerere hakuwa tu mwalimu, bali alikuwa anaweza kutoa ujumbe ukaeleweka vilevile kwa watu wote na ujumbe huo hupasua anga toka kizazi hadi kizazi.

Alisema, kwa kifupi, "watu wanajifanya wasomi, na si mbaya kusoma, lakini si kusoma ili kupata prestige, uwadharau wengine. Kwa sababu kuelimika ni sawa na kuwa na afya nzuri. Mtu ukiwa na afya nzuri huwezi kufurahia hali hiyo kwa kuwadharau wagonjwa. Na kwa elimu ni hivyo hivyo, ukipata elimu itakuwa ni upumbavu kama utaitumia elimu yako kama prestige na kudharau wasio elimu, ukifanya hivyo wewe utakuwa ni mpuuzi na mpumbavu. Elimu itakufanya uwe bora tu ukiitumia kupambana na mazingira yako, mfano kunywa maji safi na salama, kujua madhara ya kuumwa na mbu, na nini ufanye" Iliendelea kidogo.

Hakika nili enjoy sana juzi.

Ningekuwa na furaha zaidi kama ningeweza kupata collection ya speech/hotuba za mwalimu! The guy was a visionary leader. Sio hawa wengine
 
Sasa kwenye hotuba hii kilichokufuraisha ni kipi?? Vitu vingine alivyozungumza ni vya no brainer kuelewa.
 
Nyerere didn't make Mandela. Stop misleading...

University of Dar-es-salaam in 60s and 70s was a place to be. Sorta like Berkeley in 60s. And that is to Mwalimus credits.

Mchango wa Mwalimu katika Africa is huuge. We need a God fearing leaders with moral courage to do/say what is right regardless of political ramifications.
 
Mbona hamchoki kudanganya hapa. UDSM mpaka miaka ya 70 ilikuwa inatoa wanafunzi 400 kwa mwaka. Hivyo basi idadi ya wanafunzi ilikuwa chini ya 1600 na idadi hiyo huwezi kulinganisha na Berkeley kwa ubora na kwa wingi.

Afu graduates wenyewe sio ndio hawa wakina Kikwete. Acheni watu kijipamba.
 
So Nyerere is not only a demigod, he is a full god now.

Complete with the capability of "making" people.

Pleease, what is this? Some mafiosi satirization of "made men" with Nyerere as the Capo di Tutti Capi?
 
Mbona hamchoki kudanganya hapa. UDSM mpaka miaka ya 70 ilikuwa inatoa wanafunzi 400 kwa mwaka. Hivyo basi idadi ya wanafunzi ilikuwa chini ya 1600 na idadi hiyo huwezi kulinganisha na Berkeley kwa ubora na kwa wingi.

Afu graduates wenyewe sio ndio hawa wakina Kikwete. Acheni watu kijipamba.

Afu hakuna cha maana UDSM walichofanya zaidi ya kuhitimisha mapropagandist wa siasa za ujamaa na kujitegemea. Hata dawa za kunyunyizia mbu na kutokomeza malaria walishindwa kutengenza!!!
 
Chama cha NAZI kilitegemea sana propaganda. Na mkuu wao wa propaganda, Dr. Joseph Goebbels anasema: Uwongo (lie) ukiurudia rudia sana unakuwa ni ukweli.

Chuo cha DSM kilianza kama University College mwanzo mwa 60 na kuwa Chuo kikuu kamili mwanzoni mwa 70. Sasa ukinimbia kilikuwa sawa na Barkeley inabidi nishtuke.

Zamani tuliambiwa kuwa Tanzania ni ya nne kwa upelelezi dunia. Baada ya CIA, KGB. Mossad, then UWT.

Katika nchi za KiAfrika ni Afrika kusini tu iliyoweza kupambana na Tanzania. Wengine ni vichaka tu.

Katika Afrika CCM ni chama bora kwani kina matawi vijijini kote.

Kwa muda wa saa moja Nyerere aliweza kupitia magazeti yote makubwa dunia.
 
Na kirungu cha Nyerere kilikuwa kizito kiasi kwamba mtu mwingine yeyote hawezi kukibeba.

Ganesh, ushawahi kubeba kirungu kile?
 
propaganda hizi kuhusu nyerere ndio zimetufanya tudumae.kuna watu kama kaunda
walijitoa vilevile.nchi kama china na russia vilevile.

let stop to worship nyerere .policies zake ndio zimetufanya poor,hakuna kukosoa viongozi,umungu mtu etc.kumbuka nyerere alimchagua mkapa kuwa rais.

Sasa kwenye hotuba hii kilichokufuraisha ni kipi?? Vitu vingine alivyozungumza ni vya no brainer kuelewa.
Mara nyingi (hili likiwa mojawapo) alikuwa anaongea masuala ya msingi ambayo wananchi, hasa wale wa kawaida walipaswa kuelezwa/kuyajua. Kwa siasa za sasa ni jambo lipi la msingi umesikia kutoka kwa viongozi??
 
Waswahili wanasema USIONE VINAELEA - VIMEUNDWA..
Ukielewa maana ya msemo huu, wala hutapata taabu kujazia!.
 
Back
Top Bottom